Excel VBA
JF-Expert Member
- Oct 27, 2025
- 707
- 1,581
hapo ndo namshangaa anapoteza mda tuUmeanzisha uzi wa kuaga toka jana halafu unajibu kila comments!
Muda huu ulitakiwa usiwepo kabisa hapa,au hujui maana ya kuaga?
hapo ndo namshangaa anapoteza mda tuUmeanzisha uzi wa kuaga toka jana halafu unajibu kila comments!
Muda huu ulitakiwa usiwepo kabisa hapa,au hujui maana ya kuaga?
hapo ndo namshangaa anapoteza mda tu
Nawakumbusha woote, ambao mnadhani natania, kuwa this is serious. Kama nilikukwaza, kama kuna kitu unataka kuniambia I'll open till leo saa 6 mchana, baada ya hapo I'll be gone for good. Mpka majaaliwa tena
Fayaaa! 🔥Kufa ni kufa tu mkuu. Hata wewe ukifa kesho no one really gives a damn in here
Na humu no body cares especially with them fake id's ndo inakuwa ngumu hata mtu kujali.
🤣🤣🤣🤣,first born tunapenda uspesho🙌,,,,kujipa umuhimu🙌Niamini mimi mkuu, last born huwa hawapo hivi. Wenye tabia kama hizi huwa ni Firstborn
Acha gubu we wewee,ulikuwa unaforce uwe verified,kwani mods walichomoa?Ama yupo manzi alikuzingua humu😀Katika maisha kuna muda unafikia a point of no return..
Ndugu zangu, niwaweke tu wazi ya kuwa am now saying a final farewell to y'all..
JF has been a wonderful place,
Sincerely speaking nimegrow humu, nilikuja as a naive young guy in 2021 and now full of wisdom.
Nataka kusema kuwa najiweka kando na hili jukwaa kwa muda, Nitakuwa naingia occasionally Kusoma tu basi.
Sitanii ila nataka hii post iwe funga kazi, kama kuna mtu nilikukwaza, una kitu unataka kuniuliza, au unataka tu kuchat na mm via comments, do it in this post.
Nataka ni focus on my goals, na kuna vitu vingi nimegundua vinataka my full presence and determination ili viweze kuzaa matunda.
So, I'll be off, kabisa.
Thanks for the time we shared na wale wote tulio cross paths.
Na uongozi wa jf poleni kwa zile drama zangu... Nilikuwa nafanya for fun.. Ila hili jukwaa ni bomba kabisa. Mello keep it up brother, haujui how impactful una badilisha maisha ya watu.
Edit: nilisahau ku specify, saa 6 mchana Nitakuwa out officially
Asanteni sana. 🙏
kama wewe😂 throw that egoHe's got chains in his mind😂
😁😁 Asante kwa kukubali ukweli🤣🤣🤣🤣,first born tunapenda uspesho🙌,,,,kujipa umuhimu🙌
😁😁😁 Au sioMtu kama hana mazoea na ww afu anataman kua karibu nawe hua anaibua hoja yoyote ili mjibishane apate sababu ya kukuzoea. Achana nao wapuuzi hao
😄😄Saa 6 imewadia... 😔
Nina log out, IT WAS pleasure jf 👋
Alafu unaamsha zile 10 zingine au sio ?Saa 6 imewadia... 😔
Nina log out, IT WAS pleasure jf 👋
Kweli kabisa.😁😁 Asante kwa kukubali ukweli
Huyu mdogo angu nimejikuta navutiwa naye ,sio kwa maandishi yake ila kwa psychology behind maandish yake, ni kama kuna namna watu wazima tunatakiwa tu kurekebisha vitu vichache ndani yake atakua vizuri sana. Shida yake kubwa kijana wangu de Gunner ni Ego ambayo ni dalili ya insecurity. Sasa sisi kaka zake tushapita huko ni yeye tu ubishi wa kusikiliza wakubwaThe Icebreaker LiFe 2-point-0 bado hamjaamka?
Nkajua ni platinum member Sasa 2021 si ni juzi hapo mbona umechoka mapemaKatika maisha kuna muda unafikia a point of no return..
Ndugu zangu, niwaweke tu wazi ya kuwa am now saying a final farewell to y'all..
JF has been a wonderful place,
Sincerely speaking nimegrow humu, nilikuja as a naive young guy in 2021 and now full of wisdom.
Nataka kusema kuwa najiweka kando na hili jukwaa kwa muda, Nitakuwa naingia occasionally Kusoma tu basi.
Sitanii ila nataka hii post iwe funga kazi, kama kuna mtu nilikukwaza, una kitu unataka kuniuliza, au unataka tu kuchat na mm via comments, do it in this post.
Nataka ni focus on my goals, na kuna vitu vingi nimegundua vinataka my full presence and determination ili viweze kuzaa matunda.
So, I'll be off, kabisa.
Thanks for the time we shared na wale wote tulio cross paths.
Na uongozi wa jf poleni kwa zile drama zangu... Nilikuwa nafanya for fun.. Ila hili jukwaa ni bomba kabisa. Mello keep it up brother, haujui how impactful una badilisha maisha ya watu.
Edit: nilisahau ku specify, saa 6 mchana Nitakuwa out officially
Asanteni sana. 🙏
Huwa namwambia sana hii kauli, Watu hujifunza kutokana na uzoefu wa watu wengine.Sasa sisi kaka zake tushapita huko ni yeye tu ubishi wa kusikiliza wakubwa
Dogo mmempiga spana mpaka kaacha Ndala.Huwa namwambia sana hii kauli, Watu hujifunza kutokana na uzoefu wa watu wengine.
Yupo kwa I'd nyingine
Yupo humu kwa I'd ya Eugene Krabs 😂😂😂 tunamjenga tuDogo mmempiga spana mpaka kaacha Ndala.