BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,644
- 22,204
Kabla hujaondoka nipe kwanza.
Kaka kwani Kuna mtu kakuzingua kaka, we ni mtu muhimu kaka hapa jukwaaani,Naaam na mimi huwa si fake katika hilo, na huwa na admit kabisa kuwa mimi ni fulani so this is a final farewell
Kaka sasa tunafanyaje ilihali nilitaka uniunge Kwa @ ephen_ kwanza alafu ndo udisspass mkuu, si unajua nataka niichape b4 end of next yearHapana mkuu, naona kuna vitu havitaenda nikiendelea kukaa humu kwa sasa... Ila naweza kurudi baada ya muda mrefu sana
Hapana mkuu, naona kuna vitu havitaenda nikiendelea kukaa humu kwa sasa... Ila naweza kurudi baada ya muda mrefu sana
mUnataka nini?
Huuuuuuuuuuush nimeshusha pumzi ndefuuuu, kaka haeleweki kabisa, niliomba detail zake sijapata, unajua unaweza kua unasotea Dem kumbe ni mke wa mtu mkuuMmefikia hatua gani katika kufahamiana nae?
Sijajua kuhusu hilo kwa kweli tafuta marafiki zake na ujue tunafanyaje uweze kumpata.. Do all you can, pisi ya kwenda ileHuuuuuuuuuuush nimeshusha pumzi ndefuuuu, kaka haeleweki kabisa, niliomba detail zake sijapata, unajua unaweza kua unasotea Dem kumbe ni mke wa mtu mkuu
Usinambie mkuu usha Iona🤔🤔🤔Sijajua kuhusu hilo kwa kweli tafuta marafiki zake na ujue tunafanyaje uweze kumpata.. Do all you can, pisi ya kwenda ile
Kuchoka sio tabia yangu,,Kila la kheri nje ya JamiiForums nilijua tu kwa kasi uliyokuja nayo ungechoka tu.
Sasa mkuu ni ngumu sana kujudge bila KUMUONA mlengwa, any way Ngoja tuoneHapana natoa mtazamo wangu sijamwona wala nini
Samahani kwa msiohusika ila kwa uzoefu wangu watu wenye tatizo la kujipa umuhimu na .kutaka sana attention ni FirstbornsTuombe radhi firstborn wote hapa jukwaani, unatudhalilisha sana.