nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,962
- 14,789
......Hewallah....Acha matani na siwezi fanya hivyo.
......Hewallah....Acha matani na siwezi fanya hivyo.
usiendeHahaha,
Mkuu hata mm nilikuwa Unalijua hilo, it was good kuchangamsha genge, ila ndo hivyo inabidi ni answer call ya kile kimeniita kufanya kwa sasa, who knows miaka ijayo nitarudi tena jukwaani? Au ndo naenda mazima?... Bado nina Wacha kina ephen, Icebreaker, min -me Mshana Jr win-one na wengineo wengi ambao wanajua kuchangamsha jukwaa
These are just false accusations you have on your mind..Ulikua unatafuta attention watu wakakupa sio kwamba wamejaa kwenye mfumo watu wengi humu wana Entertain Ujinga ujinga kupunguza stress tu na kusogeza masaa Sio kwamba wanajali Why unafikiri wanakupa attention?wanakujua?kuna mtu juu huko kasema unaweza kuzusha jambo baya hili tu uwe center of attention hapo unawaza DO THEY STILL CARE ABOUT ME?bro we never cared in the first place..
Soma post zako mara zote you create drama ambazo watu wata respond regardless iwe negative or positive..
Na usipopata attention Unasema platform ya kisenge haina faida and blah blah hiyo kitaalamu inaitwa emotional escalation,..
Kwenu,kwa friends,mtaani,kazini,kwa mpenzi hupati attention??kwanini unafikiri wanakuupuza or wamatumbi wajinga sana with your intelligence hamuwezi kuelewana?
Ni sawa kuwa na mtazamo kama huo mkuu. Ila hujui what's happening behind the keyboardInaonekana kunasehemu unapata free lunch na hii ndio vijana wengi wanapenda.
Unaamka unakula unalala full wifi ,Big screen ndio maana unapata muda mzuri wa kuandika mada kama hizi tena kwa kujirudia ili kutafuta attention za kijinga.
basi kwa heriMalengo yangu yatakwama nikibaki
Kama umekubali ulikua unatafuta attention jambo zuri mgonjwa utaponaThese are just false accusations you have on your mind..
Mbona kuna nyuzi zangu nzuri na zilikuwa engaging?
Kutafuta attention was just one side of me. Na nilifanya hivyo kwa sababu ya fun..
By the way, who doesn't want to be the center of attention?
Si dhani kutaka kitu positive kama attention ni kitu kibaya kama inavyosemekana, tena as long inakupatia sense of worth..Kama umekubali ulikua unatafuta attention jambo zuri mgonjwa utapona
Kila mtu anapenda kuonekana,kupendwa,to entertain others,Kua socially visible but tatizo likiwa una crave kwa hivyo vitu inakua mental illness
Usipopata hiyo attention unakua kama mwehu
na tunasema mental illness ikiwa tabia ya kujirudia rudia kutaka attention(so badly) Ambayo ushaonesha zaidi ya mara moja
Kuna mtu jana analalamika kupewa Dislike reaction ila hajalalamika kuhusu watu wanao Like kila post kila comment.
Ni saa 6 mchana leo mkuu.... Uzi nilipost jana usikuSaa sita bado kwani, ooh hukusema saa sita ya lini kwa hiyo inaweza kuwa hata mwakani. Uzuri unakiri mwenyewe kuwa unapenda attention kwa hiyo hata hapa waweza kuwa unataka attention tu
Niamini mimi mkuu, last born huwa hawapo hivi. Wenye tabia kama hizi huwa ni FirstbornUnaaga na hauondoki🤣🤣🤣🤣,
Wewe ni last born??
Naona bado unatuaga tu...Kwa tabia niliyo kuwa na onesha humu, hasa kwa nyuzi za mizaha unaweza kuni perceive hivyo... But am so very serious
Kuna watu walisema eti mnafananaharakati za siri una muona rafiki ako
Umesoma nilichoandika ila ndio huwezi kuelewa, nimesema attention sio kitu kibaya ila Kuna degree ikifika reaction zako ndio tunasema una tatizo la akili namna unavyotaka hiyo attention..Si dhani kutaka kitu positive kama attention ni kitu kibaya kama inavyosemekana, tena as long inakupatia sense of worth..
Ila kutaka vitu negative kama ku harm watu, addiction zenye madhara hapo ndo tunasema mtu kaathirika, lakini sio mental illness..
Mental illness haiwezi Kuwekwa humo mkuu, hicho ni kitu tofauti kabisa, na mara nyingi hutolea baada ya severe and repeated negative addictions. Kitu ambacho kitaufanya ubongo u dissorient.
Tuombe radhi firstborn wote hapa jukwaani, unatudhalilisha sana.Niamini mimi mkuu, last born huwa hawapo hivi. Wenye tabia kama hizi huwa ni Firstborn
Naelewa ila mm siko katika hatua hizo.Umesoma nilichoandika ila ndio huwezi kuelewa, nimesema attention sio kitu kibaya ila Kuna degree ikifika reaction zako ndio tunasema una tatizo la akili namna unavyotaka hiyo attention..
Mental illness lazima iwekwe humo nimejifunza sababu nilikua napenda kusoma asubuhi,mtoto wa nyumba ya jirani analia hanyamazi nashindwa ku focus.
Low-key nikaanza kumchukia yule mtoto maana kila asubuhi analia na mama yake hajali anafanya kazi zake..
Katika kutaka kujifunza kwanini watoto wanalia bila sababu ndio nikagundua kumbe why baadhi ya watu wanakua prone to suicidal thoughts,why watu wanapenda attention kama wewe.
Mtoto mchanga akilia ni call for help,akilia muda mrefu bila kusikilizwa wala kubembelezwa akiwa anakua na mindset ya kufikiri kua
“Mahitaji yangu hakuna anaejali unless I make myself impossible to ignore”