Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

Unataka kuniamnia halikua shinikizo la kumtaka ajiuzulu?mbona mnakwepa ukweli?
 
Kwa mkatoliki ni lazima kwenda kushiriki misa...labda kwa mgonjwa mahututi ndo anaweza kupata ekarist akiwa nyumbani..
Sasa anasalia nyumbani kama misa au anaomba tuu mwenyewe
kwa usalama wake ni sawa ibaki kuwa siri yeye na padri wake maswal mengie sio kwaajili ya umma ni ya mtu binafsi
 
Mkuu,

Mpaka sasa hivi haijulikani kwa uhakika kwamba Nchimbi alijiuzulu.

Tumeona barua tu inayodaiwa kuwa Nchimbi aliandika lakini hatujahakikisha kwamba kaiandika yeye na kajiuzulu au kashatazamishwa mashariki.
Dr Nchimbi aliandika barua kwa Rais ya kujiuzulu, si ile public noticeniliyosambaa mitandaoni.

Rais aliyeandikiwa barua akaridhia official resignation ya Dr Nchimbi public, mpaka hapo hakuna mkanganyiko wowote Dr Nchimbi ni mstaafu kisheria na anastahili mafao yote ya wastaafu ikiwemo ulinzi wa Usalama wa Taifa, hili halina mkanganyiko wowote.
Mambo yao Ccm ni vita zao za Urais 2030 huko waachieni wenyewe wamalizane, ila kwenye mambo ya kisheria Dr Nchimbi ni mstaafu kisheria na anastahili haki zote kama anazopata Dr Phillip Mpango na Kasim Majaliwa.
 
Punguza ujuaji. Nani alikuambia anapewa miezi sita? Sheria Gani hiyo?. Mtu kafukuzwa chama kama mbwa Bado mnadai analindwa na serikali.
Tatizo Wabongo ujuwaji mwingi wakati hamjui lolote.

Swala la utumishi na Ccm ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mjifunze hata Kenya hata kama wao wako mbele lakini Ruto hana cha kumfanya Kenyatta, na Rutto ndio Rais lakini Kenyatta anasapoti upinzani.

Rutto ana jeuri ya kugusa mafao na haki za kisheria za mstaafu Kenyatta.

Ccm wana haki ya kumfukuza Nchimbi lakini hakuna mwenye uwezo wa kupindisha sheria za utumishi na stahili za viongozi.

Keep this comment kwa ajili ya future refference.
 
Unataka kuniamnia halikua shinikizo la kumtaka ajiuzulu?mbona mnakwepa ukweli?
Kwa nini umshinikize mtu kujiuzuru? Hapo ndipo Dr Nchimbi alipokuwa mbele ya muda.

Kisheria Nchimbi aliandika barua kwa Rais na Rais akaridhia kwa Public announcement hapo unahitaji uthibitisho gani tena?

Watanzania tuna safari ndefu sana, kwa poor understanding kama hizi basi Ccm bado ina muda mrefu wa kutawala kwa ujanjaujanja tu maana hata huko mahakamani kesi ya uhainiWakili anahoji jezi ya Arsenal.
 
Hivi Mange Kimambe aendeshe hizi harakati zake kajifungia kwenye nyumba Kinondoni utasema ana akili timamu.

Polepole ni jitu jinga tu.
 
Sasa mpaka hapo huoni tatizo kwamba barua inayosambaa mitandaoni si aliyoandika Nchimbi?

Na kwa nini iwe hivyo?

Na huoni tatizo tunaambiwa Nchimbi kajiuzulu lakini mpaka sasa hatujamsikia mwenyewe akisema hilo?

Unajiuzulu vipi kazi ambayo on paper umeipata kwa kuchaguliwa na mamilioni ya wananchi, bila hata ka press conference ka kujieleza na kuruhusu maswali?

Sasa hivi kama Nchimbi kauawa na hizi habari za kujiuzulu ni story tu, utajuaje?
 
Hivi Mange Kimambe aendeshe hizi harakati zake kajifungia kwenye nyumba Kinondoni utasema ana akili timamu.

Polepole ni jitu jinga tu
Sijui maana yako ya kuwataja hao wawili katika kujibu niliyoandika mimi ni nini; lakini kama unataka kujuwa msimamo wangu juu yao ni kuwa I've lilttle respect for both,.

Hawa si wapambanaji kwa vyovyote juu ya ufanisi wa Tanzania
 
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Umewasiliana na mke au watoto wake? Au hata ndugu yake wa kariibu?
 
Kwakuwasaidia mwenye nia hasa ya kujuwa Nchimbi yuko wapi aende akamuulize Askofu wake.

Ukiona wana Parokia wamekaa kimya wanaelewa mwanaparokia mwenzao alipo.
Sasa unadhihirisha upumbavu.
Huyo askofu alishirikishwa kwenye tukio lililompata Nchimbi?
Kwa nini wewe unayejuwa haya mambo usitueleze ukweli, kuliko kubaki unazungusha akili za watu bila ya sababu zozote.
 
Umeanza kuzeeka, ni hivi sliyeandikiwa barua ni Rais, then Nchimbi akatowa Public notice mitandaoni kwamba amemuandikia barua Rais ya kujiuzuru.

The same day usiku Rais akajibu kwa official Public announcement ameridhia resignation ya Dr Nchimbi.

Kutoonekana hadharani ni issue nyingine, System haiwezi kufanya kosa hilo hata kwa bahati mbaya nakuthibitishia hilo, usalama wa Dr Nchimbi upo chini ya usalama wa Taifa kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi waliopo madarakani na wastaafu wanaostahili ulinzi akiwemo Nchimbi.

Time will tell, lakini ondowa hofu kabisa Nchimbi yupo salama kabisa na analindwa na usalama wa Taifa nakuhakikishia hili siandiki porojo naandika kitu ninachokijuwa kwa ufasaha.

Kama amepumzishwa kwenye safe house kwa muda hayo ni mambo yao wenyewe, kinachoitesa Ccm ni mitandao yao ya Urais 2030 Urais Tanzania na Zanzibar Mwinyi anastaafu, kuna vita kubwa ambayo haionekani kwa macho mitandao iko kazini na mtaona uchaguzi wa ndani wa Ccm mwakani 2927 utakavyokuwa ndio wengi mtaondoka gizani na kugunduwa kumbe all this bullshit ni fighting for power.
 
Sasa unadhihirisha upumbavu.
Huyo askofu alishirikishwa kwenye tukio lililompata Nchimbi?
Kwa nini wewe unayejuwa haya mambo usitueleze ukweli, kuliko kubaki unazungusha akili za watu bila ya sababu zozote.
Wewe ndio mpumbavu mkubwa usiyejuwa nafasi ya Kanisa Katoliki Tanzania.

Siku chache kabla ya Dr Nchimbi kujiuzuru alikutana na Tec Dodoma.

Vatican ina uwezo wa kuihoji Tanzania kama kuna shida ya mtu wao kwa level ya VP.

Muulize Joseph Kabila atakufafanulia vizuri ni maana ya Roma Locuta. Causa Finita Est.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…