tungatagaga
JF-Expert Member
- Aug 18, 2024
- 619
- 794
Wewe unaongelea kutembelewa Kigamboni, hiyo ni baada ya miaka minigi tu. Hata Nchimbi atatembelewa tu. Issue je Abood Jumbe alitolewa leo kesho yake watu wakaenda kumtembelea?Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi watu wamemtembelea Mjimwema Kigamboni, kaandika mpaka kitabu.
Sisemi hili au lile kuhusu Nchimbi, lakini mfano wako wa Jumbe haulinganishi vinavyolinganishika.
Haya wewe mwenye akili tuambie, Jumbe alipopigwa chini ni kesho yake tu ulijua aliko?Ukiwa Mzanzibari ni lazima ukose akili?
Issue ya Jumbe na ya Nchimbi vina uhusiano gani?
Makosa yana fanana?
Ndio maana nimekuuliza Samia analipa kisasi kwa Jumbe na huu ndio utetezi wake?
Nchimbi yupo kwake kahamua awe kimiya tu.Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
p
Ukute hiyo 1984 hata wazazi wako walikuwa bado hawajaja mjini halafu leo wajiita eti na wewe una akili!Ukiwa Mzanzibari ni lazima ukose akili?
Issue ya Jumbe na ya Nchimbi vina uhusiano gani?
Makosa yana fanana?
Ndio maana nimekuuliza Samia analipa kisasi kwa Jumbe na huu ndio utetezi wake?
Mkuu wewe ni mtu mwerevu, ni lini ulisikia familia yake haijui chochote?Hivi hakuwa na mke, ndugu wa karibu kama kaka au dada, na hata marafiki wa karibu kabisa ambao wangejuwa chochote juu yake?
Au hao wote wamenunuliwa na pesa ya Abdul, kama wale wa Tundu Lissu waliodaiwa kumuuza ndugu yao?
Naona hii imekuwa biashara ya watu kuneemeka kwa kuwauza ndugu zao.
Sasa hata wale wa Polepole wamepozwa; hawasikiki tena kumdai ndugu yao.
Nyinyi ndio wapuuzi wanaharakati uchwara mliovamia Chadema na kukigeuza kuwa Chama cha majungu.Chimbi has already killed with this natorius regime of mama
Analindwa, au yuko jela?Nafasi ya Vice President analindwa mpaka kifo chake na PSU wa usalama wa Taifa.
Kwa hiyo tuseme kuwa yupo kizuizini. Ndugu wakisemma hili watakiuka masharti waliyopewa?Hata kama hayuko nyumbani serikali ina safe house zake za VIP kama yupo huko kwa sababu na muda maalum.
Usalama wake ni wa asilimia 100 kwa 100 kama hana access na internet ni kwa sababu maalum na muda maalum tu hakuna shaka juu ya hilo.
Awamu hii watu duni huficha udhaifu wao kwa kujiita watoto wa mjini...Ukute hiyo 1984 hata wazazi wako walikuwa bado hawajaja mjini halafu leo wajiita eti na wewe una akili!
Mpaka hapo tu unalinganisha vitu visivyolinganishika. Unamlinganisha Nchimbi mara baada ya kujiuzulu (allegedly) na Aboud Jumbe ambaye aliishi miaka mingi sana.Wewe unaongelea kutembelewa Kigamboni, hiyo ni baada ya miaka minigi tu. Hata Nchimbi atatembelewa tu. Issue je Abood Jumbe alitolewa leo kesho yake watu wakaenda kumtembelea?
Tena hiyo Kigamboni kapelekwa after years..
Mkuu 'Matola' unanishangaza sana na mtiririko wa fikra zako za aina hii unapolinganisha yaliyompata Polepole na haya ya ulinzi unayoyavalia njuga wewe.Msifananishe Polepole na Nchimbi, Balozi hana ulinzi wa serikali, lakini Majaliwa analindwa, Lowasa alihamia Chadema lakini alikuwa analindwa na bodygurd wa PSU Usalama wa Taifa, sasa mnategemea nchimbi ni wa kupotezwa na wahuni watekaji?
It's abnormal to act normally during abnormal situations!Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kuna mambo mawili:Unamuhurumia vipi mtu ambaye alikaa kimya wakati wa matukio ya mauaji ya Oktoba 29 na watu kutekwa?
Kama ndugu zake, jamaa zake na watu wake wa karibu wamekaa kimya na hawajatoa hata taarifa kuhusu hali yake, wewe ni nani hadi uwe na shauku kubwa ya kutaka kufahamu habari zake?
Wakati mwingine, ukimya wa watu wa karibu nao una ujumbe wake. Si kila jambo linahitaji wewe kuingilia au kulazimisha kujua kinachoendelea kwa mtu ambaye hata walio karibu naye wameamua kukaa kimya.
Muda utaongea tu.Hebu tukumbushe kwanza ni lini uliwahi kuambiwa alikokuwa Abood Jumbe mara baada ya kufukuzwa Umakamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzbar. Au ulikuwa bado mtoto?