Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Kesi yenyewe aliyombambikia Mbowe, hizo hila za kesi anazirithi kutoka kwa mtangulizi wake dekteta Magu ambapo pamoja na ukatili wa Magu aliona aibu ya uso kumfunfulia Mbowe kesi ya kubumba ya ugaidi.
Mama haoni aibu ya uso kubambika Mbowe kesi ila uzuri wa hii kesi umeharakisha mno kumfahamu ssh ndani nje
Hawezi aminika tena!
 
unakopa kila siku halafu unasema wewe ni tajiri akili matope?
Kukopa sio ishara ya umasikini, kama marekani yenyewe inakopa china na china inafanya the same kwa marekani ije kuwa tanzania! Tunachozungumza ni kupunguza kukopa na kupunguza mzigo kwa watanzania kutokana na mapato yatokanayo na maliasiri zetu ambazo mimi na wewe tunazijua.
 
Hapana tusilamu mh SSH kwasasa bali malalamiko yote tuyaelekeze kwa mtangulizi wake hyo ndo kaalibu Democrasia ya Tanzania
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Mange anatosha sio lazima hao uliowataja waliompokea rais wa Zambia
 
Ni lini tuliwahi kuwa na hiyo heshima?
 
Uko sahihi mkuu, nimefurah kuona kumbe na wewe unafuatilia safar nzima Kama mm.

Na kwa nyongeza zaidi, juz wakati yule mkuu anahutubia kwenye ule mkutano,
Kuna ukweli kwamba maraisi na matajiri wengi walivua earphone wasisikilize yaan kwa dharau tu. Na baadae matajir wengi walitoka wakabaki mabalozi wengi tu.... Eti walidai hawawez kupoteza muda kusikiliza hotuba za kimasikin.. mm roho imeniuma sana
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
 
Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Kuna wakati Magufuli alipitiliza akidhani ndio njia sahihi yakukabiliana na nchi za magharibi.
Lakini alivyoziba milango ya magharibi akashindwa kuwashawishi China ifanye mabadiliko katika mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,akajikuta njia panda,labda kwa miradi midogo midogo.
Kibaya zaidi tulishuhudia wanasiasa na taasisi za haki za binadamu za watanzania zikishindikiza nchi inyimwe misaada,kitu ambacho wakenya wasigefanya kwa nchi yao.
Hata hiyo katiba mpya tumeishagawanyika kwa makundi,tumekosa muelekeo kama taifa hadi watu wanaombeana vifo.
 
Legacy ya mwendakombo hiyo
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Yaani tujikite kuifurahisha amerika na marafiki zake? Kwanza ni kujiabisha kwa nini kwenda omba kuonana nao badala ya kualikwa. Matokeo yake kupata aibu. Watu wanakupima kwa viwango na utamaduni wao halafu unakubali. Si nfio ujinga huo.
 
Legacy ya mwendakombo hiyo
Magufuli alikuwa na kipaji cha propaganda za akina Gobelis msaidizi na naibu wa Adolf Hitler. Japo hakumfikia,tulilishwa matago poli ya kasi ya miradi na maendeleo ya taifa tukidhani ni kodi zetu kumbe,mjoba akikopa trillioni 30.
Pammoja na hayo aliweza kusimamia miradi kuongeza kasi ya kukamilisha miradi kwenye muda uliopangwa.
 
Uongo na propaganda haipaswi kuwa sifa ya kiongozi wa kitaifa hata siku moja.
 
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
EeeenHeeee!

Tumefika hadi huko?

Ninakuomba kama unaweza kufuatilia: leo wakati mama anatoa hotuba yake, jaribu kuangalia umati wa watu atakaokuwa anawahutubia. Hilo litakupa picha nzuri zaidi kuhusu hadhi ya Tanzania iliyo nayo sasa hivi kimataifa.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.

misaaada? damn! probably hata china imepoteza heshima
 
Bila misaada bado ata South Korea na pesa yake anapata misaada kutoka US
Sio kweli.
Marekani analipa ushuru wa kuwepo jeshi lake Korea Kusini.

Lakini misaada siyo hoja, hoja kuu ni jinsi gani hiyo misaada inatunufaisha. Kama ni misaada ya kuuza utu wetu, kutudhalilisha, kututaka tufanye yasiyokuwa ndani ya manufaa yetu, misaada hiyo haina maana.

Misaada inatakiwa ichangie juhudi zetu; isiwe ndio tegemeo la sisi kujiondoa katika umaskini.

Biden na Harris watakuwa wamemshushua sana Samia kama kweli aliomba na kukataliwa kukutana nao (hata kwa dakika 5 tu!) ili kupata picha za kuja kuthadaa nazo sisi walala hoi huku mitaani?
Hapo kapewa ujumbe mzito sana.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Misaada ya nini, unalilia kuwa kijakazi wa mabeberu, mwanaume ni masikini jeuri na sio mwanaume kila siku unakuwa ombaomba na kutembeza kibaba kuna siku utaporwa hata uhuru wako wa kuamua ufanye nini. Wazungu sio wajomba zetu, kwani ukipokewa na raisi wa Marekani ndio utaondoa shida na matatizo yetu? Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe, kama alivyoimba marehemu Banza
 
Ukipata uongozi kwa njia ya Haki kila mtu atakuheshimu , utaalikwa na kila mwenye akili timamu na hasa kama Utawasamehe wote waliokufanyia unyama , huku ukisisitiza Demokrasia ya kweli kwenye Nchi yako hata Mungu atakulinda .

Wakati wengine wakipambana kwa njia za Panya ili kuingia Ikulu ya Marekani , Haikainde Hichilema yeye ametafutwa na Ikulu yenyewe ya Marekani . Hili ni fundisho kubwa sana kwa waafrika..
Tusubiri Mama Samia akapige picha na Mange Kimambi..
Haaaaaaa
 
Back
Top Bottom