Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Heshima itoke wapi katika nchi iliyojaa udhalimu na dhuluma za kutisha? Katika nchi ambayo raia hawana uhuru na haki ya kujadili mustakabali wa nchi yao pia kuchagua Viongozi wawatakao, katika nchi ambayo Serikali haramu inawapora raia pesa zao chungu nzima? Kuwabambikia kesi FEKI na hata kuwaua kwa kuikosoa Serikali? Tanzania yetu inazidi kuangamia Tanzania ni Taifa MFU 😩😩

Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
 
Samia atarudi uso mdogooo! kama angelijuwa wala asingelikwenda. Sijui ni nani aliempa aidea ya kwenda ? LOL!!
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Yaani hiyo safari imegeuka fedheha kubwa,anatamani siku ziishe haraka arejee Tanzania!

She will learn in a hard way
 
Naungana nawe ktk suala la Demokrasia na utawala wa Mabavu. Suala la Ugaidi kwa mfano, ni suala la Kimataifa....Sasa sijui hapa kwetu kama Serikali ilichukua jukumu la kuwaita wawakilishi wa Nchi mbalimbali Duniani na hasa Mabalozi na kuwaambia wakae mkao wa tahadhari, kwani Tanzania kuna ugaidi na unaongozwa na Mbowe....

Sasa kama hayo anayofanyiwa Rais huko Marekani ni kweli, basi inaonyesha kuna shida ktk Uongozi wa Taifa letu kwa sasa.

Isipokuwa, suala la kutegemea misaada "hapana", hembu tutoke huko na tufanye kazi kwa juhudi tuweze kujitegemea, sio kuendelea kutegemea misaada mpaka leo hii miaka 60 toka tupate Uhuru......
Anae injinia ukandamizaji wa demokrasi Tanzania ameiingia nchi Chaka sana

Tumechafuka mbaya tunajikomba hawatutaki

Rudisheni mifumo ya demokrasia otherwise tutatupwa kwenye shimo la kinyesi kama Taifa "Shithole country"
 
Rest In Peace Magufuli, I cannot imagine siku ambayo ungefika huko watu wangeuana kwa kukanyagana. You are a hero. May Your Soul Continue to Rest In Peace Amen!
Sukuma gang bana hamuachi vituko,nani akanyagane wewe,kwanza alijua hana sifa za kufika huko akisingizia ati anabana matumizi aliongoza nchi kwa mkono wa chuma,akazima demokrasia angalau walioijenga watangulizi wake,mauaji,utekaji,maiti kwenye viroba kwenye fukwe,asieshaurika,SSH alisema amekuja kuifungua nchi nani aliifunga wewe Sukuma? Jamaa yenu alikuja na maono ya kuwainua wasukuma na kufarakanisha nchi kawahiwa na Mungu.?zaidi sana kiingereza hata cha kusoma hotuba shidaaa, unaleta wakalimani ikulu haijawahi tokea nenda kahiji Chato.Mungu alisikia kilio chetu na kutenda makuu.
 
Unataka kunambia hadi mwanamke mwenzie Khamala kashindwa kumuona wakabadilishana mawazo...anakome kuonana na makamu wa rais wamwake wa nchi tena za kiafrika. Hata Angella Merkel....yaani gender imeshindwa kupenetrate wenzetu wanaangalia democracy na usawa tu na haki. Wao usawa sio gender bali ni matendo na mienendo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Tofauti yao ni

Mmoja ni Pro democracy

Mwengine ni Anti-democracy
 
Jiwe kaacha legacy ambay ni ngumu kufutika na alikuwa mwamba anayeishi ndani ya watu na sio ndani ya tozo
Legacy ipi?
..ya kuua watu?
..kuiba uchaguzi?
..kuteka raia?
..kuiba hela kwenye accounts binafsi za raia?
..kutukana development partners kuwa ni mabeberu?
Sijui angeenda UN kuhutubia ingekuwaje? Thank God!
He was primitive and arrogant!
 
Hangaya bado anaupiga ye hajui Kama umetoka ni wa kurusha...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nchi hii ni tajiri sana ndugu zangu, tuache kujikomba kwa ajili ya misaada.
acha Ujinga Arif tusipojikomba mna kiwanda Cha ARVs hapa bongo?
Za maralia je?
Haya ukikataa kujikomba na wenyewe wakakataa kununua madini yenu na kuyablacklist yasiingie kwao utamuuzia nani?
Haya tusipojikomba wakazuia watalii kutoka kwao kuja utaenda wewe kule Serengeti Kila week?

Kiufupi tuanawahitaji sana wao kuliko wao wanavyotuhitaji Arif!

Acha kiburi na jeuri wanaweza hata kukulalisha njaa wale
Sio watu wazuri haya utabisha lakini wakizuia mbolea kuingia nchini mazao yatadumaa na yatapanda Bei mara kumi mwisho muombe msaada wa unga wa yanga!
 
Legacy ipi?
..ya kuua watu?
..kuiba uchaguzi?
..kuteka raia?
..kuiba hela kwenye accounts binafsi za raia?
..kutukana development partners kuwa ni mabeberu?
Sijui angeenda UN kuhutubia ingekuwaje? Thank God!
He was primitive and arrogant!
Watu kam niny ndio mko tayar kuiuza nchi kwa mabeberu,endeleen kujiabisha kweny nchi za watu .Hichilema ni mwamba
 
Unajua Unaweza Ukaenda Kumwambia Omba Omba Pale Mjini Kila Siku kuwa Yeye ni Tajiri. Ukimwambia Mara 100 kila Siku Atajiona Kweli Ni Tajiri ila Uhalisia kuwa Yeye si Tajiri ila Ushamwekea Mindset Ya Utajiri Hewa
Hujawai kuona ombaomba type ya kina matatonya wamekuja mjini kuomba uku nyumbani kwao dodoma wameacha ardhi kubwa yenye rutuba!? Sababu ya uvivu na kutokujua kuwa ardhi inaweza ikamtoa kwenye wimbi la kuomba omba.?
 
acha Ujinga Arif tusipojikomba mna kiwanda Cha ARVs hapa bongo?
Za maralia je?
Haya ukikataa kujikomba na wenyewe wakakataa kununua madini yenu na kuyablacklist yasiingie kwao utamuuzia nani?
Haya tusipojikomba wakazuia watalii kutoka kwao kuja utaenda wewe kule Serengeti Kila week?

Kiufupi tuanawahitaji sana wao kuliko wao wanavyotuhitaji Arif!

Acha kiburi na jeuri wanaweza hata kukulalisha njaa wale
Sio watu wazuri haya utabisha lakini wakizuia mbolea kuingia nchini mazao yatadumaa na yatapanda Bei mara kumi mwisho muombe msaada wa unga wa yanga!

Kumbe mnajikomba ili mpate ARVs na Vyandarua!

Dawa acheni ngono, ni aibu kushindwa kujiepusha na malaria kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.

Kujilamba sio ujanja.
 
Back
Top Bottom