Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..

..uropokaji na ukatili wa utawala wa Magufuli ndio ulioporomosha heshima ya Tz kimataifa.

..mnasahau kwamba kuna balozi za mataifa mbalimbali hapa Tz ambazo hukusanya taarifa na kuzipeleka kwa serikali zao.

..Kwa kilichokuwa kikiendelea wakati wa Magufuli ni lazima mabalozi walikuwa wanapeleka taarifa mbaya.
 
Na CCM mlikaa kimya
 
..kuwa Raisi wa Afrika na mwana-demokrasia ni dili na inasaidia kupata marafiki na wawekezaji.

..Magufuli alii-brand nchi vibaya, kitu ambacho SSH anatakiwa ajitahidi kukibadilisha.
Abadilishe nini wakati kashaharibu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mama hana maamuzi kabisa. Yeye ni mtu wa kupata briefings tu. Hawezi chambua kichwani mwake. Issue ya mbowe ilishatungwa tangu enzi za MagufuliJP lakini MagufuliJP akawatimua kuwa hiyo itatutia aibu kama taifa. Sasa alivyo kufa tu mama aka mezeshwa desa lisilo iva sasa hivi ni aibu tu mahakamani.

Mama ni yeye kama yeye. Atumie akili kupambanua asiwaamini watendaji watamwangusha. Issue ya tozo the same kapigwa desa linamuumbua sasa
Ashaharibu
 
Back
Top Bottom