Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Tulifaidika nini mkuu, maana sioni tofauti ya sasa na zamani, tatizo letu Africa hatutaki kujaribu kujitegemea hata kidogo tunataka uhuru wa kujitawala lakini hatutaki uhuru wa kiuchumi.
Sipingi ni kweli JPM upande wa Utawala wa sheria ,demokorasia na haki za binadamu hakutimiza kwa kiasi kikubwa,lakn amejaribu kuonesha jinsi gani sisi waafrika au TZ hatuwezi kujitegemea. Wazungu wanachotumia kutupima ni ,Demokorasia,Utawala wa sheria na Haki za binadamu , hapo ndo hautatoka kwenye ndimi zao pamoja na kupewa misaada mingi. Hiyo misaada na heshima awamu ya nne tumepata sana maana kunasiku moja Marais wa marekqni aliyepo madarakani na mstaafu walikuwa hapa TZ. Shida ni Ujinga wetu wakutokutumia furusa nakuamua kujinufaisha sisi na familia zetu.
 
Huu ujinga muachage kwann kila kukicha tunaomba misaada kwa wafadhil? Ni vizr kujiuliza nan katufikisha hapa mpka tuwe ombaomba

Misaada si jambo la kujivunia hata kidogo, ni aibu na fedheha.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
ukweli unauma
 
Nchi tajiri watoto wanakaa Mia moja chumba kimoja Cha darasa?
Nchi tajiri Kuna baadhi ya sehemu Dar hakuna maji ya bomba?
Labda utajiri wa Ukatili wa polisi
Mkuu tatizo ni mfumo, wasomi kuficha CVs zao nakudemka na siasa,Wizi,wivu na chuki nyingi sana,kuiona watawala ndo kilakitu,upinzani kushindwa kuwasoma watawala jinsi ya kupambana nao.
 
Mwanzo alianza vizuri mana alikuwa na washauri wazuri akiwemo mzee wa Msoga,
Lakini zikaanza kelele za wafuasi wa Mwendazake kwamba nchi inaongozwa na awamu ya 4,Msoga akakaa pembeni bora yakwake yanamnyookea.Sasa mama anapuyanga hana mshauri wa Maana
Hapqna mkuu hawezi kujitoa yule bwana navyo mjua. Lazima amshike mkono.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Mlipopata heshima je wananchi wenu walinufaika nini na hiyo heshima?

Unapewa heshima bila maisha mazuri kwa wananchi hiyo heshima mplekeni mjumbani kwenu.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Heshima inaletwa na Uchumi mkubwa na pesa sio maneno matupu ya bwana yule..👇

Screenshot_20210923-135712.png

Screenshot_20210923-135640.png

Screenshot_20210923-135618.png

Screenshot_20210923-135442.png

Screenshot_20210923-102207.png

Screenshot_20210923-102350.png

Screenshot_20210921-102138.png
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Tanzania Wajuaji Sana haya ndio Maneno ya RAIS wa Dunia Joe Biden
Screenshot_20210923-105510.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mkoloni kama wakoloni wengine Tu uliyeleta Uzi wa kinafiki
 
Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Usimwingize LISU Acha Unafiki Joe Biden kachukizwa na Siasa za kutumia MKONO WA CHUMA KUTESA WAPINZANI
Screenshot_20210923-105510.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona Neno Linazungumzwa Sana hili Kujikomba Komba. Inabidi Uanze Pia Kujiuliza Mara Mbili Pia. Tusifuate tu Mkumbo. Nchi yako Ni masikini Ingekuwa Tajiri Usingeongea neno kujikomba ungekuwa Unatoa ww Misaada Nchi zingine

Kula Ya Wananchi wako ni Shida Unaanza Kusema Nchi Tajiri

Wananchi fanyeni kazi, sio jukumu la serikali kukugawia chakula.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.

Yale masikio yetu tena. Huwa angalau viwepo vi damu damu. Vinginevyo vinginevyo hakuna cha sheikh wala machoni, hasikii mtu!
 
Ila hii kauli ya bibie kupokelewa na makahaba nimeanza kuielewa sasa.
 
Nchi tajiri watoto wanakaa Mia moja chumba kimoja Cha darasa?
Nchi tajiri Kuna baadhi ya sehemu Dar hakuna maji ya bomba?
Labda utajiri wa Ukatili wa polisi

Anza kwanza kwa kujifunza maana ya utajiri, hasa kwenye ngazi ya Kitaifa.
 
Naungana nawe ktk suala la Demokrasia na utawala wa Mabavu. Suala la Ugaidi kwa mfano, ni suala la Kimataifa....Sasa sijui hapa kwetu kama Serikali ilichukua jukumu la kuwaita wawakilishi wa Nchi mbalimbali Duniani na hasa Mabalozi na kuwaambia wakae mkao wa tahadhari, kwani Tanzania kuna ugaidi na unaongozwa na Mbowe....

Sasa kama hayo anayofanyiwa Rais huko Marekani ni kweli, basi inaonyesha kuna shida ktk Uongozi wa Taifa letu kwa sasa.

Isipokuwa, suala la kutegemea misaada "hapana", hembu tutoke huko na tufanye kazi kwa juhudi tuweze kujitegemea, sio kuendelea kutegemea misaada mpaka leo hii miaka 60 toka tupate Uhuru......
Unaweza kuwa na bajet yako nzur ya kufanikisha shughul yako fulan iwe harusi au chochote lkn pia unaitaj msaada sio wa fedha tu ata ushauri na nguvu kazi kutoka kwa wengine unaweza usishirikishe ata ndugu yako mmoja lakin bado utaitaji msaada kutoka wa watu utalazimika utumie ela kukodi wapish wazaz na mengine,maan a yangu nin ata kama tunaitaji kuendelea kwa kufanya kaz kwa bidii hatuwez kupata ayo maendeleo ikiwa tutajitenga wenyewe tunaitaji misaada ushauri na mengine kutoka ndani na nje ili tuweze kutoka apa vinginevyo kila miaka itabak stori hizi hizi maendeleo wakat tunarud nyuma watanzania wengi ni wanapenda kaz sana si kwel kwamba hatufany kaz au atupendi kaz je izo kaz zipo ,msaada haukufanyi usiendelee ukiwa na akil ni nyenzo ya kukutoa sehem fulan kwenda nyngne na ndio maana hakuna tajir anaekataa msamaha au punguzo la kodi japo ana pesa inawezekana misaada ya vyandarua au dawa au chochote isiwafae viongoz au watu fulan lkn waitaji ni weng so aya mambo yaende pamoja kwamba tuendelee kufanya kaz tuendelee kujitaid ili ifike tujitegemee lkn pia vzur sana kushirikiana kwa uzur na wengine ili kupata misaada
 
Back
Top Bottom