Ndio kuzika nchiUongo na propaganda haipaswi kuwa sifa ya kiongozi wa kitaifa hata siku moja.
Jipange sasaInatia kichefuchefu kjona kuna watu leo bado wana mawazo ya kujikomba kwa mabeberu ili kjdowea misaada!! Ni aibu iliyoje? Hatutaki misaada, kinyume chake tuanze kujipanga kutoa misaada hata kwa hao mabeberu! Hesnima haitokani na kupewa misaada kinyume chake kudharauliwa kunatokana na kupewa misaada!! Misaada haiwezi kukufanya utembee kifua mbele bali itafunika uso wako na aibu!!
Taga huyoWenzenu wakutanike wakuu wa nchi nyie mnajivunia Balozi. Unadhani heshima ya balozi ni sawa na raisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu, kwa mfano huo wa "toothpick" ulioutoa hapa, hivi kweli bado unaamini misaada ndiyo itakayotuta hapa na kutupeleka mbele?Tutokeje wakati hata toothpicks Ni made in china
Jinga kweli JK alikuwa anaajiri almost watumishi 60k per year, sahivi mkiajiri 10k Hadi mfanye press[emoji1][emoji1]Mlipopata heshima je wananchi wenu walinufaika nini na hiyo heshima?
Unapewa heshima bila maisha mazuri kwa wananchi hiyo heshima mplekeni mjumbani kwenu.
Tuondolee hizo takatakaHeshima inaletwa na Uchumi mkubwa na pesa sio maneno matupu ya bwana yule..[emoji116]
View attachment 1949551
View attachment 1949553
View attachment 1949554
View attachment 1949555
View attachment 1949556
View attachment 1949557
View attachment 1949558
Acha tuTanzania Wajuaji Sana haya ndio Maneno ya RAIS wa Dunia Joe BidenView attachment 1949569
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Acha tu mkuuHeshima itoke wapi katika nchi iliyojaa udhalimu na dhuluma za kutisha? Katika nchi ambayo raia hawana uhuru na haki ya kujadili mustakabali wa nchi yao pia kuchagua Viongozi wawatakao, katika nchi ambayo Serikali haramu inawapora raia pesa zao chungu nzima? Kuwabambikia kesi FEKI na hata kuwaua kwa kuikosoa Serikali? Tanzania yetu inazidi kuangamia Tanzania ni Taifa MFU [emoji30][emoji30]
😀😀😀...kumbe sio Manka..Ni Kabula. Mwadela mayoo?Magu alikupiga nje ndani sio bure rozi
Yaani hawajifunzi Ila SSH atakuwa kajifunzaAnae injinia ukandamizaji wa demokrasi Tanzania ameiingia nchi Chaka sana
Tumechafuka mbaya tunajikomba hawatutaki
Rudisheni mifumo ya demokrasia otherwise tutatupwa kwenye shimo la kinyesi kama Taifa "Shithole country"
Sisiemu wanaelewa basiMoja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Bora nchi iuzwe kwa wazungu ili watutawale tu maana angalau wanathamini utu kuliko hawa weusi tulionao sasaWatu kam niny ndio mko tayar kuiuza nchi kwa mabeberu,endeleen kujiabisha kweny nchi za watu .Hichilema ni mwamba