si kweli, labda wewe na matatizo yakoMoja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Huyu bibi angekuwa anajielewa asingeenda, ni aibu tupuMoja kwa moja kwenye mada.

Sio kujikomba bali tunautaka uhuru na haki kwa wote.Nchi hii ni tajiri sana ndugu zangu, tuache kujikomba kwa ajili ya misaada.
Ashajifunza kawekwa kindi moja na madikiteta wakati wa kuhutubiaLabda mama huko atajifunza kitu. Maana maccm wanadhania matumbo yao ndo bora kuliko wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rest In Peace Magufuli, I cannot imagine siku ambayo ungefika huko watu wangeuana kwa kukanyagana. You are a hero. May Your Soul Continue to Rest In Peace Amen!Moja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Ukipata uongozi kwa njia ya Haki kila mtu atakuheshimu , utaalikwa na kila mwenye akili timamu na hasa kama Utawasamehe wote waliokufanyia unyama , huku ukisisitiza Demokrasia ya kweli kwenye Nchi yako hata Mungu atakulinda .Moja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Hawezi kukuelewa. Mfano kaacha Jambo kubwa sana lililoharibu thamani yetu utekaji mauwaji na kupigwa Lisu risasiSikubaliani na hoja kuwa uropokaji wa Lissu ndio sababu, in actual fact, Lissu anaisaidia Nchi kuwa na muelekeo utakao kubalika na wengi Duniani....
Inatia kichefuchefu kjona kuna watu leo bado wana mawazo ya kujikomba kwa mabeberu ili kjdowea misaada!! Ni aibu iliyoje? Hatutaki misaada, kinyume chake tuanze kujipanga kutoa misaada hata kwa hao mabeberu! Hesnima haitokani na kupewa misaada kinyume chake kudharauliwa kunatokana na kupewa misaada!! Misaada haiwezi kukufanya utembee kifua mbele bali itafunika uso wako na aibu!!Moja kwa moja kwenye mada.
Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.
Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.
JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.
Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.
Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.
Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Ukiona Neno Linazungumzwa Sana hili Kujikomba Komba. Inabidi Uanze Pia Kujiuliza Mara Mbili Pia. Tusifuate tu Mkumbo. Nchi yako Ni masikini Ingekuwa Tajiri Usingeongea neno kujikomba ungekuwa Unatoa ww Misaada Nchi zingineNchi hii ni tajiri sana ndugu zangu, tuache kujikomba kwa ajili ya misaada.
Wenzenu wakutanike wakuu wa nchi nyie mnajivunia Balozi. Unadhani heshima ya balozi ni sawa na raisi?Ila kuna Balozi wetu wa kudumu UN hivi sasa ndiyo Makamo wa Rais wa huu mkutano wa UNGA na ndiyo anaeuongoza mkutano huo,hii ni heshima tosha kwa Taifa..
Mzee alikuwa kiongozi R.I.P
unakopa kila siku halafu unasema wewe ni tajiri akili matope?Kwani ni uongo hii nchi sio tajiri?