Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Uko sahihi mkuu, nimefurah kuona kumbe na wewe unafuatilia safar nzima Kama mm.

Na kwa nyongeza zaidi, juz wakati yule mkuu anahutubia kwenye ule mkutano,
Kuna ukweli kwamba maraisi na matajiri wengi walivua earphone wasisikilize yaan kwa dharau tu. Na baadae matajir wengi walitoka wakabaki mabalozi wengi tu.... Eti walidai hawawez kupoteza muda kusikiliza hotuba za kimasikin.. mm roho imeniuma sana
Mkuu sijakuelewa vizuri fafanua
 
Ila wabongo kila kitu twajifanya twajua... Ww una uhakika gan km Samia kakataliwa kukutana na biden au kamala? Hv ikitokea kabla hajarud wakaonana utasemaj juu ya hoja yako hyo!!! Nyie nyie ndio mlosema mama hatokutana na wakuu wenzake wa nchi wala kuhutubia UNGA. Hapa times Square picha za mama zko kwny billboard
ATA Tulban wakiwa wanachama wa UN kiongoz wao atahubia
 
Biden na Harris watakuwa wamemshushua sana Samia kama kweli aliomba na kukataliwa kukutana nao (hata kwa dakika 5 tu!) ili kupata picha za kuja kuthadaa nazo sisi walala hoi huku mitaani? Hapo kapewa ujumbe mzito sana.
Si wapo waliokuwa wanashangilia wakidai pamoja na mikwara yote ya wapinzani mbona SSH kakanyaga Marekani ! Haya basi kakanyaga Marekani na kupokelewa na akina Kimambi, kwa hiyo? Huwezi kupanda mchicha ukavuna biringanya!

Eti Watanzania tu matajiri kwa sababu tuna madini, bull shit! Hayo madini tutayala? Kuwa na madini si hoja, hoja ni kupata dola...unaweza kuwa na madini kibao huko chini ya ardhi lakini lazima uwe na uwezo wa kuyachimba na kuyauza ili upate dola.

Je wenye dola wakigoma kuyanunua? Kwa kasi hii ya technolojia ikipatikana bidhaa mbadala mtakula hiyo Tanzanite? Kumbuka kesho na kesho kutwa ikikosa thamani je? Kwanza wenye hela wanaoinunua ni kwa mambo ya urembo tu, period!
 
Naunga hoja mkono

IMG_20210923_180327.jpg
 
Nani alikudanganya kuwa ukiwa tajiri ni lazima uwe kila kitu? Unaweza ukawa tajiri lakini hauna elimu inabidi uajiri watu wenye elimu ndo dunia ilivyo kitegemeana.
Ahahahaaaa . Kwa hiyo Tz hawana akili lakini wana mali ?!!
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Duh...aisee...yaani kwenda White House ndio kuheshimika?
 
Wanamtegemea mange na kigogo,
Hawakujua ushawishi wa cdm ni cross borders,
 
Si wapo waliokuwa wanashangilia wakidai pamoja na mikwara yote ya wapinzani mbona SSH kakanyaga Marekani ! Haya basi kakanyaga Marekani na kupokelewa na akina Kimambi, kwa hiyo? Huwezi kupanda mchicha ukavuna biringanya!

Eti Watanzania tu matajiri kwa sababu tuna madini, bull shit! Hayo madini tutayala? Kuwa na madini si hoja, hoja ni kupata dola...unaweza kuwa na madini kibao huko chini ya ardhi lakini lazima uwe na uwezo wa kuyachimba na kuyauza ili upate dola.

Je wenye dola wakigoma kuyanunua? Kwa kasi hii ya technolojia ikipatikana bidhaa mbadala mtakula hiyo Tanzanite? Kumbuka kesho na kesho kutwa ikikosa thamani je? Kwanza wenye hela wanaoinunua ni kwa mambo ya urembo tu, period!
Mimi ningewaelewa sana wanaosema "Tanzania ni nchi tajiri" kama wangetambua kwamba utajiri uliopo unatokana na fikra zetu, wananchi na viongozi wao; kujuwa tunavyoweza kuzitumia raslimali tulizonazo kwa manufaa yetu.

Kama utajiri wetu ni kuwa na madini, tusiyojuwa hata jinsi ya kuyatumia, huo utajiri unatoka wapi? DRC inasemekana ina madini mengi kutuzidi, lakini watu wake ni mafukara wa ajabu; na kwa kukosa utajiri wa akili vichwani mwao, utajiri wa raslimali hauwanufaishi kiasi cha kutosha. Mali inazolewa tu na kwenda kuwatajirisha watu wengine.

Ninashawishika kuwajibu hawa watu wanaoimba kila siku wimbo wa Tanzania kuwa tajiri sana, kwamba hawajui wanachokisema, bali wanarudia maneno tu waliyosikia yakisemwa; maneno ambayo ni matamu sana kuyasikia, lakini kwa kukosa akili kichwani hawajui maana ya Tanzania kuwa nchi tajiri .
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Kuna watu humu wanampaisha sana Mama Royal Tour bila mafanikio. Ikitokea akarudi hajakutana hata na US Undersecretary of African Affairs litakuwa pigo kubwa sana kwake na wafuasi wake.
 
Kipindi cha Nyerere huenda haukuwepo unajua kama Nyerere alinyimwa misaada akakimbilia kwa Mao China, ulikuwa unga wa yanga wewe?
 
Bila misaada bado ata South Korea na pesa yake anapata misaada kutoka US
Mbona north korea hapati misaada na anavikwazo juu lakini lakini anadunda tu.
Demokrasia ni siraha kuu ya mabeberu kuibia raslimali nchi masikini.

Kwani mabeberu wakikaa na demokrasia yao wakatuacha tukafanya yetu wao inawauma nini??

Kama kweli wanatupenda, watupe technologia za kuendesha shughuli mbali mbali hata za Nuclear Ili Tues na mifumo sawa.

Sio kutupa demokrasia, dini zao, mitumba yao na masharti yao na Tabia za kishoga.

Waafrika amkeni. Demokrasia ni mtego hatari kwa nchi masikini.
 
Kuna watu humu wanampaisha sana Mama Royal Tour bila mafanikio. Ikitokea akarudi hajakutana hata na US Undersecretary of African Affairs litakuwa pigo kubwa sana kwake na wafuasi wake.
Victoria Nuland alipokuja alimwambi Amwachie Mbowe yeye hakujal so hawez kutana nae
 
Back
Top Bottom