Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

Mbona north korea hapati misaada na anavikwazo juu lakini lakini anadunda tu.
Demokrasia ni siraha kuu ya mabeberu kuibia raslimali nchi masikini.

Kwani mabeberu wakikaa na demokrasia yao wakatuacha tukafanya yetu wao inawauma nini??

Kama kweli wanatupenda, watupe technologia za kuendesha shughuli mbali mbali hata za Nuclear Ili Tues na mifumo sawa.

Sio kutupa demokrasia, dini zao, mitumba yao na masharti yao na Tabia za kishoga.

Waafrika amkeni. Demokrasia ni mtego hatari kwa nchi masikini.
Rubbish unataka tuwe Kama North Korea yenye GDP ya 65b $
 
Asante Sana mkuu, mm nimeumbiwa uvumilivu, tuvumiliane Katika mitazamo yetu. Ila angalia isije ikawa uwezo wako wakuona mabo uliopungua ndo ikawa sababu ya kutoa comment yako.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Wewe ni mpumbavu kwelikweli .Unawajua wazungu au unawasikia tu.Usidhani wanampenda sana kisa kukaribishwa Ikulu.Hata kwa Chiluba walianza hivyohivyo. baada ya kumshinda Kaunda.Fuata kile unachoamini wewe siyo kupenda kukaribishwa kwa watu ili upate misaada.Itakutokea puani.Na wapo wengi wana Hangover ya kupendwa na wazungu kama ya kwako na tunawaona kila jambo hukimbilia EU ili kupata huruma.Tubadilike,tupo huru.
 
Swala sio Mbowe/demokrasia, bali Rais SSH hana uwezo ambao wazungu wanaupenda, hapa wanamfanyia timing tu kumuingiza chaka. Huyo Rais wa Zambia ni chambo, you know the target. You need to know these guys, they've calculated President SSH and their mission is on track. If Tanzanians do not watch out imekula kwao.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tuling'aa Sana kimataifa, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
Dhahiri Shahiri !
 
Wewe ni mpumbavu kwelikweli .Unawajua wazungu au unawasikia tu.Usidhani wanampenda sana kisa kukaribishwa Ikulu.Hata kwa Chiluba walianza hivyohivyo. baada ya kumshinda Kaunda.Fuata kile unachoamini wewe siyo kupenda kukaribishwa kwa watu ili upate misaada.Itakutokea puani.Na wapo wengi wana Hangover ya kupendwa na wazungu kama ya kwako na tunawaona kila jambo hukimbilia EU ili kupata huruma.Tubadilike,tupo huru.
Tikiti kabisa wewe, mbona Samia anawapigia magoti wampe chanjo
 
Kwenye utawala wa Edga Lungu Zambia ilikuwa mikononi mwa Wachina, hadi polisi wa Kichina waliajiriwa Zambia..

HH huyu nifanyabiashara mwenye Mahusiano makubwa na wafanyabishara wa Magharibi..

Ukiacha na Demokrasia nzuri ya Zambia, lengo kuu ni kuirudisha Zambia kwenye mahusiano na Marekani.
 
Legacy ya Mwendazake kuita wazungu mabeberu na kupoteza watu ukijumlisha na uropokaji wa Tundu Lissu na Siasa za fujo za CDM zinashusha sifa na hadhi ya kidoplomasia nchi..
Acha kuwa mtumwa wa kifikra, ukiona unapendwa sana na rafiki yako ujue ananufaika vitu vingi kutoka kwako acha kuwa popoma tutafute maendeleo yetu wenyewe tuache kujipendekeza kwa mabeberu ambao wanakupa moja then wanachukua mia kuwa makini bro mtakuja kuombwa tigo na hao mabeberu je mtawapa?
 
Watanzania ni lini tutakuwa na mawazo ya kujitegemea? Maana kila siku tuna waza twende Ulaya au USA kuomba misaada na bado hatuendelei, mfano JK alitegemea sana misaada ya nchi bado alikusanya Million 800 tu Kwa mwezi, hayo ni maendeleo kweli? , Yaani taifa zima lime kuwa affected na misaada , hatuwezi kujenga taifa lenye uchumi Imara Kwa kutegemea misaada Kwa ufupi tuna poteza muda, miaka 100 itatukuta hivi hivi tukiwa bado masikini.
 
Marais wa nchi zilizokwisha endelea wanasimamia masilaahi ya mataifa yao
Hakuna urafiki wa masikini na tajiri.

Ukiona hvyo ujue unatumiwa.
NO MERCY UNDER CAPITALIST
 
Haiondoi ukweli kuwa Mwalimu Nyerere ndiye Kiongozi aliyeheshimika na nchi yoyote aliyoenda alipata mapokezi ya heshima sana na ndugu yako Kikwete ndiye aliyetupotezea heshima hiyo.
Huna unalolijua.
 
Samia kwa upande wa democracy alianza vizuri,alikosea kuwasikiliza wafuasi wa dikteta wakampotosha
Mama hana maamuzi kabisa. Yeye ni mtu wa kupata briefings tu. Hawezi chambua kichwani mwake. Issue ya mbowe ilishatungwa tangu enzi za MagufuliJP lakini MagufuliJP akawatimua kuwa hiyo itatutia aibu kama taifa. Sasa alivyo kufa tu mama aka mezeshwa desa lisilo iva sasa hivi ni aibu tu mahakamani.

Mama ni yeye kama yeye. Atumie akili kupambanua asiwaamini watendaji watamwangusha. Issue ya tozo the same kapigwa desa linamuumbua sasa
 
Hahah Aisee nyie ni wapumbavu mnataka heshima gan wakati mnajisaidia vichakani? Jikomboeni acheni ujinga
 
Huna unalolijua.

..kuwa Raisi wa Afrika na mwana-demokrasia ni dili na inasaidia kupata marafiki na wawekezaji.

..Magufuli alii-brand nchi vibaya, kitu ambacho SSH anatakiwa ajitahidi kukibadilisha.
 
Back
Top Bottom