Tuache unafiki, Tanzania hatuna tena heshima kimataifa

OIP.n4fgqlDvGf1bYEh7AyglWQHaHX
 
Naungana nawe ktk suala la Demokrasia na utawala wa Mabavu. Suala la Ugaidi kwa mfano, ni suala la Kimataifa....Sasa sijui hapa kwetu kama Serikali ilichukua jukumu la kuwaita wawakilishi wa Nchi mbalimbali Duniani na hasa Mabalozi na kuwaambia wakae mkao wa tahadhari, kwani Tanzania kuna ugaidi na unaongozwa na Mbowe....

Sasa kama hayo anayofanyiwa Rais huko Marekani ni kweli, basi inaonyesha kuna shida ktk Uongozi wa Taifa letu kwa sasa.

Isipokuwa, suala la kutegemea misaada "hapana", hembu tutoke huko na tufanye kazi kwa juhudi tuweze kujitegemea, sio kuendelea kutegemea misaada mpaka leo hii miaka 60 toka tupate Uhuru......
Tutokeje wakati hata toothpicks Ni made in china
 
Mataga wametutaarifu humu kwamba mission ya Mh. SSH huko US sio kukutana na Biden wala Kamala bali kuhutubia UNGA. Inawezekana HH alikuwa na ratiba ya kukutana na viongozi wa US ila SSH hakuwa nayo.
Pole
 
Unataka kunambia hadi mwanamke mwenzie Khamala kashindwa kumuona wakabadilishana mawazo...anakome kuonana na makamu wa rais wamwake wa nchi tena za kiafrika. Hata Angella Merkel....yaani gender imeshindwa kupenetrate wenzetu wanaangalia democracy na usawa tu na haki. Wao usawa sio gender bali ni matendo na mienendo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kibisa aisee
 
Kiherehere chake hicho, kimempeleka nini huko🤷, si angemtuma mulamula amuwakulishe😡❗ RIP our African hero 💔 JPM, Tunakukumbuka mno😡! Eti msaada, haya ngoja asugue benchi akisubiri msaada! JPM alijitambua saana i see🤭❗
Moja kwa moja kwenye mada.

Siku za nyuma enzi za J.K Nyerere hadi kipindi Cha Mkwere, Tanzania tulingaa Sana kimataifa,,, tulikuwa tunapendwa Sana, na tulikuwa na marafiki wengi wa kutoka magharibi hasa Ulaya na Marekani.

Kipindi Cha Mkwere (JK) Raisi George W Bush alikuja Bongo,, kipindi Cha Obama alikuja Bongo.

JK alikuwa the first African president kwenda white house kipindi Cha Obama, na kwakweli tulipata misaada mingi mno na ilitusaidia Sana.

Sasa hivi Tanzania imechafuka mno,, yaani barozi mulamula anaenda state department ili ku organize Kama SSH anaweza kuonana na Biden au Harris lakini anakataliwa, kisa Tanzania imekuwa adui wa demokrasia na haki za binadamu.

Angalia Raisi wa Zambia alivyopokelewa na Western Leaders, kila mtu ana wish kukutana nae,Jana kakutana na Kamara Harriss, sababu ni kuwa Zambia ni mfano Bora wa demokrasia.

Believe me Kama SSH angefata Democracy angetengeneza marafaki wengi mnoooooo, na angepata misaada mingi mno. Na hili likesi la Mbowe linamuharibia ata Kama CCM hatutaki kusema ukweli.
 
Samia kwa upande wa democracy alianza vizuri,alikosea kuwasikiliza wafuasi wa dikteta wakampotosha
 
Samia kwa upande wa democracy alianza vizuri,alikosea kuwasikiliza wafuasi wa dikteta wakampotosha

Mwanzo alianza vizuri mana alikuwa na washauri wazuri akiwemo mzee wa Msoga,
Lakini zikaanza kelele za wafuasi wa Mwendazake kwamba nchi inaongozwa na awamu ya 4,Msoga akakaa pembeni bora yakwake yanamnyookea.Sasa mama anapuyanga hana mshauri wa Maana
 
Back
Top Bottom