Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Hawa warembo ninawapenda mpaka kupitiliza.Kaka vipi tena waitu?
Watu wengine wana allergy na mashavu ujue.....
Au unataka tutandaze list of shem hapa kwa public??
Babu DC!!
Hawa warembo ninawapenda mpaka kupitiliza.Kaka vipi tena waitu?
Watu wengine wana allergy na mashavu ujue.....
Au unataka tutandaze list of shem hapa kwa public??
Babu DC!!
Hii thread tayari imeshachakachuliwa!
Inaenda kinyumenyume.
Yaani nakuchukia wewe hata nikiona thread na comment zako nahisi kujifungua kabla ya wakati.... Wadau hebu nisaidie ni jinsi gani naweza kumblock mtu ili nisione comment wala thread zake.. hata mtu akim-quote nisione... kha afu jitaje haraka kabla sijakutaja alaaa!!!!!!!!
BADILI TABIA kweli fanyeni la kumwokoa, Kongosho anakoelekea siko,
anashangaa kupigwa vibuti na theboss, Bishanga, Asprin na nani vileee,
wenzio tunajua kuachwa ni suna.
Ndo matatizo ya kutumiaga limbwata, likiishaga nguvu ndo mnaachwaga hadi na ma zombie
umeona eeeh,
yaani tupo hima hima.....
Haiwezekani kumpoteza kongosho kirahisi rahisi, lazima arudishwe kwenye mstari.....
Wamepitiwa na ule msemoKongosho whattsup? Mbona unasimangwa hapa kunani?
Hujui mie gogo ya kitaa?Kongosho kumbe unayajua eeh.
Ndo nshajitaja hivo,naitwa bishanga,what next?
Warembo gani?
Hawakuhuu,acha mawivu.
Mshaachana na Chimbuvu au bado unatoka naye?
Afu wewe nakuchukia sana yani....opps sorry kumbe bifu letu lilikwisha..
Ila kuna hichi kibabu kikaguzi... kinaniudhi vibaya...kinaitwa Asprin