sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Last edited by a moderator:
Afu mwambie hazibendi ana migodi shinyanga, akicheza atampoteza !kaa naye mbali,ni mke wa mtu.
SL marahaba! Merry Xmass and happy new Year in advanceMchungaji shikamoo
SL marahaba! Merry Xmass and happy new Year in advance
BADILI TABIA kweli fanyeni la kumwokoa, Kongosho anakoelekea siko,
anashangaa kupigwa vibuti na theboss, Bishanga, Asprin na nani vileee,
wenzio tunajua kuachwa ni suna.
Yani mimi huyu sweetlady huwa ananikera sijui nimfanyeje tu?