.....""Tuache UNAFIKI""...Taja Mtu unaemchukia humu Jf....

.....""Tuache UNAFIKI""...Taja Mtu unaemchukia humu Jf....

Mi nawapenda wote hapa jf, hasa Arushaone na Bishanga walionipa talaka
ill-always-love-you.png
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaanzaje kumchukia mtu? Mi tangu siku nyingi nataka kumchukia sana sweetlady lakini nashindwa! Siku nikiweza, atanikoma!!! Hah hah hah hah
 
Last edited by a moderator:
Uanze tu kumchukia CHARGER! siepukiki so far as long as hakuna simu za solar yet.
 
Back
Top Bottom