.....""Tuache UNAFIKI""...Taja Mtu unaemchukia humu Jf....

Yaani nakuchukia wewe hata nikiona thread na comment zako nahisi kujifungua kabla ya wakati.... Wadau hebu nisaidie ni jinsi gani naweza kumblock mtu ili nisione comment wala thread zake.. hata mtu akim-quote nisione... kha afu jitaje haraka kabla sijakutaja alaaa!!!!!!!!
 
calm down my daughter charminglady, wajua sio vizuri kuwa na hasira katika hali uliyonayo kwa sasa inamuathiri na mtoto tumboni.

mum kweli mum kweli me nachukiwa tena na dada yangu wa tumbo moja?????

crying-lady.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom