Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
he heeee, mwaka huu mazombie yatatuchonganisha na wengi, lol!
he heeee, mwaka huu mazombie yatatuchonganisha na wengi, lol!
he heeee, mwaka huu mazombie yatatuchonganisha na wengi, lol!
BADILI TABIA kweli fanyeni la kumwokoa, Kongosho anakoelekea siko,
anashangaa kupigwa vibuti na theboss, Bishanga, Asprin na nani vileee,
wenzio tunajua kuachwa ni suna.
he heeee, mwaka huu mazombie yatatuchonganisha na wengi, lol!
na tulidai pakubwa haswaaaaaaaaaaaaa.hahhahahhahahah dada mkubwa pole!yani zombie la konnie siku ya kulijua lazima linilipe fidia ,haliwezi kunichonganisha na konnie kiasi hiki!
!
Sweet funguka funguka
Hivi Zubedayo ushawahi kutolewa manundu wewe???????????
sa hizi kawekwa mtu kati na zombie!kila siku anajing'ata vidole humu mara obssesion,mara zombie linataka ndoa,mara surrogate mother,kwa hiyo msameheni tu Kongosho wa zombie yupo kwenye sintofahamu ya kihisia hata hajui amchukie nani wala hampendi nani!
Chuki ni bureee!
Mhusika uliyereply kwa account yangu na kuccoment kwa kipipi umeniudhi sana.
nikianza na mm hapa patachimbika ujue ww sweetlady ndio mana kazi kunianzima magauni ya mitoko siku nikiwa siko basi unajidai umepata zarura ya kutotoka kumbe cute siko.....Dady tutayaongea nyumbani acha niendelee kufunguka kwanza... List inaendelea snowhite, Catherine, Nicas Mtei, Mr Rocky, gfsonwin, figganigga, CUTE, chardams, Smile, LiverpoolFC , wengine wajiongeze wenyewe
Ally Kombo hajambo? Halafu mchungaji Masanilo nilikuona jukwaa la chini kabisa mwisho.(Wakubwa) Ulienda kuhubiri injili?