.....""Tuache UNAFIKI""...Taja Mtu unaemchukia humu Jf....

.....""Tuache UNAFIKI""...Taja Mtu unaemchukia humu Jf....

Last edited by a moderator:
he he he, huyu unayemshtakia ni msumbufu kuliko wajukuu

Hakuna maneno Ta Bishanga,

Ni hawa wajukuu wanamsumbua Babu wakati anataka kupumzika....

In fwact...wanasumbua sana hawa watoto, na hawasikii kabisa!!

Babu DC!!
 
ahahhahahhaha unatamanije kunitafuna nyaaama!ahahhahah pole mwaya sa utafanyaje,sijui nikusaidiejee yailahi!mweh nimuulize mtani wangu
eti watu8 tunamsaidiaje huyu bintiyo?

huyu tumwache tu mtani maana ndio kitinda mimba...
 
Last edited by a moderator:
yan daddy nashangaa sana, mi ninafikiri nina dada kumbe hasidi.... mama measkron uko wapi ushuhudie mwanao kumbe anatuchukia??

si wamjua tena your young...kuwa kitinda mimba basi anaona kama kila mtu anamwonea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom