DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
.... maisha ndio aya aya ukiyakosea mwenyewe usitafute wa kumnunia..
Ni kweli mazee...
.... maisha ndio aya aya ukiyakosea mwenyewe usitafute wa kumnunia..
Umeona eenh, hii ni weka mbali na ......a.k.a shake b4 use!Heheheee.... Ni hatari sana mtoto wa kiume kujisifia sifia...!
Mbona anaongea kama mwanamke tatizo nini..?Tena shahhbabii haswa.
Heheheee.... Ni hatari sana mtoto wa kiume kujisifia sifia...!
hivi mama kakuruhusu wewe kweli,halahala usijegonga hiyo gari ya baba utachapwaa
Hivi jaman hata wanaume wanajipaga promo eh?basi sawa! Enjoy..!
Uwiiiii sitaki sema sana
Kwenda zako huko. Mwanaume kweli wewe.
Siifaaaaaaa tu!