mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,692
- Thread starter
- #41
afu unaishi chumba kimoja gari unapaki CCM.hawa ndo vijana wa bongo daslaam
Ata wakati naanza maisha sikuanzia kwenye chumba kimoja....labda kama umeamua kujisema wewe.
afu unaishi chumba kimoja gari unapaki CCM.hawa ndo vijana wa bongo daslaam
ONGEZA NA BOXER YENYE CHATA YA Sir.ELTON JOHN.
Vest ya Michael scofield.
Mkanda toka kwa Martin Kadinda
Soksi toka kwa RIO PAUL
Na handkerchief toka kwa Ally Remtulah.
Mbona anaongea kama mwanamke tatizo nini..?
Mnhhhhhhh
ONGEZA NA BOXER YENYE CHATA YA Sir.ELTON JOHN.
Vest ya Michael scofield.
Mkanda toka kwa Martin Kadinda
Soksi toka kwa RIO PAUL
Na handkerchief toka kwa Ally Remtulah.
Mmmmh! Acha kutudanganya unavyonukia ugolo wa bibi na hizo chachacha zako kwendra huko!!! Weka picha !!
Usisahau kujikoki mfukoni make ndo siraha kuu unless hilo shati lako litalowa jasho na machozi watakapo kupokonya huyo demu wako huko muendako!
Enjoy bwana when you can as kuna watu wana wish saana wapate hiyo good time kama wewe ila sio size yao kamba yako ndefu. So big up koz unajikubali mwenyewe.
ONGEZA NA BOXER YENYE CHATA YA Sir.ELTON JOHN.
Vest ya Michael scofield.
Mkanda toka kwa Martin Kadinda
Soksi toka kwa RIO PAUL
Na handkerchief toka kwa Ally Remtulah.
Hahaahaa na miwani Kali toka kwa George Michael(original)
Usihofu mkuu,wallet iko tough...kama umezisoma dress code vizuri utaelewa...
Basi mkuu nenda kale ujana! achana na wenye stress. Hapa duniani tunapita so enjoy your life to the fullest!
naona umeamua kumuelezea boyfriend wako jinsi alivyo...ulitamani awe kama mimi...tatzo la waswahili tangia utoto mmezoea kusikia habari mbaya tu kutoka kwa watu habari nzuri kwenu ni mwiko,so sio kosa lako...