Mimi ndo natatizo au wewe ndo shida..mtoto wa kiume unajichambua kama mwanamke..au una XXYningesema sina nguo ya kuvaa ningekuwa naongea kama mwanaume??....umeshaliona tatizo lako?...
nijipe promo kwani kuna anayenijua umu?? mmezoea kusikia matatizo tu mtu akiongea upande mzuri kuhusu yeye. ni kachokoza vita...alafu tunajiuliza kwa nn waTz hatuendelei..!!
Fainali kifo
ha ha ha! Yani beby wangu avae chachacha mi nipo wap?Ujue maneno bila picha haviendi kabisaaa! Ebu sababisha tuone sasa ulivyotokelezea.....!!
duh!!. hivi wanaume wa hivi wapo?!mh na wasiwasi,nashukuru sikuzaliwa muhaya
Mimi ndo natatizo au wewe ndo shida..mtoto wa kiume unajichambua kama mwanamke..au una XXY
mhhh Cameroon njoo huku kunakijana wako huku anajinadi huku bana
Wewe ni mpiga kelele tu kama vipi ungeweka picha humu kukata mzizi wa fitina..kuna jamaa mmoja aliendaga kujitambulisha kwa wakwe humu aliweka picha kila kitu nin...sasa wewe kujisifiiiiiaaa tuu mixa haujiamini..etc etc...Over..!!
Mi binafsi nimependa sana Mavazi uloyataja ndo mavazi yangu I wish one ntatupia mtoko huo mpaka baasi
Unatamani baby ndio awe wa kwanza kukusifia,hii thread umefungua ya nini kabla hajakuona akakusifia?