Tuache kuwaletea dharau, kebehi na kiburi wale wenye mzuka wa kuandamana kwani kufanya hivyo ni kuwachochea watekeleze kile walichokuwa wanakipanga

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,020
Reaction score
4,027
Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu

Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana

Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali pekee

Tunachotakiwa ni kushukuru Mola kwa kuwalainisha mioyo waliokuwa na nia ya kuandamana wakarudisha moyo nyuma wasifanye hivyo

Mpaka sasa huwezi kujua mtu anapanga au anawaza nini moyoni mwake

Tusiache kuwaombea na kuwapa elimu sahihi ya kudai haki pamoja na kushirikiana nao kudai haki hizo

Pia tuendelee kuepuka yale yote ambayo yanaamsha hisia za wananchi hao

Viongozi wa serikali, chama cha Mapinduzi na wadau wanaopinga maandamano ni vyema tukajiepusha na kauli/vitendo vya kuwaona kama watu wale ni wajinga au waoga sana kwa kutokufanya kile walichokuwa wamekusudia kukifanya

Kauli kama hizi na nyinginezo mfanowe hazifai
WAOGA
KIKO WAPI?
SI TULISEMA!
MNGEJARIBU MUONE

Kuna watu humu kila baada ya muda fulani wanaleta mabandiko yenye maudhui hayo. Serikali iwachukulie hatua watu hawa kwani wanachochea maandamano kwa njia ya mlango nyuma

Nawasilisha
 
Una hoja nzuri mno
Haya sio mashindano kwamba ashinde fulani.
Tujenge umoja
Tuvuke hiki kipindi
Tupate katiba mpya
Tupate tume huru ya uchaguzi
Wauwaji wawajibishwe
 
Wataeka mapolisi barabarani milele waache 🤣🤣🤣
 
Na washaanza mipango yao leo lazima kuna jambo litatokea wapo live huko
 
Kuna hawa members wawili stakehigh na Pakome. Ni kielelezo tosha ya unachokiongea. Maandiko yao yanatibua machungu ya watu. Kama ishu ni hizo buku saba saba wanazopewa lumumba kwa siku, hata mimi naweza kuwalipa hiyo hela ili wasiendelee kuchochea hasira za watu.
 
Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu

Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana

Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali pekee

Tunachotakiwa ni kushukuru Mola kwa kuwalainisha mioyo waliokuwa na nia ya kuandamana wakarudisha moyo nyuma wasifanye hivyo

Mpaka sasa huwezi kujua mtu anapanga au anawaza nini moyoni mwake

Tusiache kuwaombea na kuwapa elimu sahihi ya kudai haki pamoja na kushirikiana nao kudai haki hizo

Pia tuendelee kuepuka yale yote ambayo yanaamsha hisia za wananchi hao

Viongozi wa serikali, chama cha Mapinduzi na wadau wanaopinga maandamano ni vyema tukajiepusha na kauli/vitendo vya kuwaona kama watu wale ni wajinga au waoga sana kwa kutokufanya kile walichokuwa wamekusudia kukifanya

Kauli kama hizi na nyinginezo mfanowe hazifai
WAOGA
KIKO WAPI?
SI TULISEMA!
MNGEJARIBU MUONE

Kuna watu humu kila baada ya muda fulani wanaleta mabandiko yenye maudhui hayo. Serikali iwachukulie hatua watu hawa kwani wanachochea maandamano kwa njia ya mlango nyuma

Nawasilisha
Nilimsikiliza Simbachawene, aliongea kwa busara kidogo jana. Hawa matako wengine tutakuja kuwasalimia at the right time
 
Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu

Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana

Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali pekee

Tunachotakiwa ni kushukuru Mola kwa kuwalainisha mioyo waliokuwa na nia ya kuandamana wakarudisha moyo nyuma wasifanye hivyo

Mpaka sasa huwezi kujua mtu anapanga au anawaza nini moyoni mwake

Tusiache kuwaombea na kuwapa elimu sahihi ya kudai haki pamoja na kushirikiana nao kudai haki hizo

Pia tuendelee kuepuka yale yote ambayo yanaamsha hisia za wananchi hao

Viongozi wa serikali, chama cha Mapinduzi na wadau wanaopinga maandamano ni vyema tukajiepusha na kauli/vitendo vya kuwaona kama watu wale ni wajinga au waoga sana kwa kutokufanya kile walichokuwa wamekusudia kukifanya

Kauli kama hizi na nyinginezo mfanowe hazifai
WAOGA
KIKO WAPI?
SI TULISEMA!
MNGEJARIBU MUONE

Kuna watu humu kila baada ya muda fulani wanaleta mabandiko yenye maudhui hayo. Serikali iwachukulie hatua watu hawa kwani wanachochea maandamano kwa njia ya mlango nyuma

Nawasilisha

Kina kigogo siku ya Oct 29 walianza kuwaponda Gen Z lakini a few moments later waliona mziki wake.

Kilichotokea Oct 29 vyombo vya ulinzi vilipata somo hivyo wamerudisha mpira kwapani ,wamerudisha mpira kwa kipa ,only curfew ndiyo solution kwao! Bora tupoteze mabilioni kwa siku kuwaweka waTZ ndani...Bora tutumie mabilioni kuwaweka askari./jwtz juani wakati wangeweza kusolve issue za gen Z pasipo kupoteza pesa.....Kwani kumaliza utekaji unahitaji Tsh ngapi? Si kauli tu moja kwamba NO MORE UTEKAJI then unaisha siku hiyo hiyo.
 
Kuna hawa members wawili stakehigh na Pakome. Ni kielelezo tosha ya unachokiongea. Maandiko yao yanatibua machungu ya watu. Kama ishu ni hizo buku saba saba wanazopewa lumumba kwa siku, hata mimi naweza kuwalipa hiyo hela ili wasiendelee kuchochea hasira za watu.
Na lazima utekaji uendelee kwa wanaotaka kuvuruga amani
 
Back
Top Bottom