Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .
Hii mkumbushe yule mpangaji mpya wa magogoni aone shari anayotaka kuleta TZ ah kweli tuwe makini ameshatuambia ya ametoka kwenye ile nchi ambayo ukabila umeshamiri eti yeye ni kabila la abazilankende!!
 
Kuna Taasisi gani Tanzania imeongozwa na mtu wa kanda ya ziwa Ikasonga ? Jibu ni hakuna. Watu wa Kaskazini wana Vision hata Nyumbani kwao wanafanya maendeleo binafsi sasa kuna watu toka wamalize chuo kwao hawajaenda hawana hata kibanda hawana Muamko wa maendeleo .
 
Nilijua umeongea point mwishon ukaharibu yaan umehamasisha watu waachane na ukabila, udini na ukanda vzr baadae unawapandikiza chuki kwa kusema rais anapendelea kwao, mbona miaka ya nyuma enzi Msuya akiwa PM alijenga lami kwao mradi ambao haukua wa huko aliongea nani?, pili kuna miradi mikubwa ya maendeleo kwa sasa inayiendelea kujengwa sehemu mbalimbali za nchi hii je kila mkoa ukikosoa kwamba mradi fulan unapaswa kuwa mkoa wao unadhan itakuwaje?, halafu inaonekana kama watu wengi wa kaskazin ndio wanaotoka povu sana awamu hii sijui kwa nn au ubinafsi unawasumbua? Mbona mikoa ya kaskazin imeendelezwa sana toka Uhuru hakuna anayelalamika? Kwa hiyo hamtaki na mikoa mingine ipatiwe hata vimiradi kidogo?. Inasikitisha sana BUT sio mkaz wa kanda ya ziwa wala sio ccm nimeongea kama mtz anayekerwa na watu wabinafsi wanaotaka kila jambo zuri lifanyike mikoa yao tu
Well said Tanzania ni moja unazaliwa kagera unakulia moshi maisha unataftia dar mpaka mtwara
 
Nchi itaendelea tu,tumsaidie JPM kwakua amefanya,anafanya,na atafanya mambo makubwa kwa nchi hii, fahamu kua JPM hakuanza juzi wala Jana.Hayo ya uwanja charity begins at home.
SiwezI kumsapoti Magufuli kujenga uwanja wa KIMATAIFA wa ndege Chato. Huo ni ufujaji wa kodi za watanzania.

Kwa ndege zipi za kutua huko Chato??? . Ningemuelewa kama angeviboresha viwanja vilivyopo kama kile cha Dar na Mwanza.

UKABILA, UKABILA , UKABILA na kukosa vipaumbele
 
Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .
Kabla hujaandika fikiria kwanza unachotaka kuandika. Unaposema wewe kwenu kila kata ina shule 2 za sekondari maana yake ni kwamba unatumia pesa za almasi ya mwadui, dhahabu ya Geita na Buzwagi, pamba ya Mwanza, Shinyanga na tumbaku ya Tabora zaidi kulipia mishahara ya walimu, mitihani, ukaguzi wa shule hizo na ruzuku kwa shule hizo zaidi kwa ngazi ya primary, secondary, college na hata vyuo vikuu. Maana yake utapata watu wengi wanaomaliza vyuo na kupangiwa ajira na kulipwa mishahara na kuitumia mishahara hiyo kwa kuwasomesha watoto wao zaidi, kufungua biashara, kununua ardhi za watu wengine, kujenga nyumba nzuri, kula vizuri, kutibiwa vizuri na hatimaye good quality of life kuliko wale watu wa Mwadui, Shinyanga na Tabora inakotoka almasi, dhahabu, pamba na tumbaku. Inakotoka dhahabu hakuna barabara za lami lakini kwenu kuna barabara za lami, umeme, maji, n.k. Jambo hili limefanyika kwa miaka mingi sana kiasi cha watu kudhani ni haki yao kufanyiwa hivyo. Hili jambo wabunge wamelipigia kelele bungeni kwa miaka mingi lakini hakuna aliyewasikiliza, serikali ya CCM imekaa kimya miaka yote hii. Taifa linatumia rasilimali nyingi zaidi kwa uwiano sehemu moja tu ya nchi kuliko sehemu nyingine. Mfano, Watu wa Kigoma na Mtwara wanalipa kodi lakini kwa miaka mingi sana wameishi bila barabara, umeme, shule wala hospitali za kueleweka kiasi kwamba hata watumishi waligoma kwenda huko, je, wewe hiyo unaionaje? ni sawa?
 
SiwezI kumsapoti Magufuli kujenga uwanja wa KIMATAIFA wa ndege Chato. Huo ni ufujaji wa kodi za watanzania.

Kwa ndege zipi za kutua huko Chato??? . Ningemuelewa kama angeviboresha viwanja vilivyopo kama kile cha Dar na Mwanza.

UKABILA, UKABILA , UKABILA na kukosa vipaumbele
lakini kujenga KIA na Arusha pia ni sawa? Ilibidi barabara ya Mtwara ijengwe na Mh. Mkapa ambaye ni kwao, hata kule Bagamoyo hali ilikuwa mbaya sana kama asingekuwa Mh. Kikwete hali ingekuwa mbaya mno, milaradi yote wajanja wanataka iende Moshi
 
Mimi ayo ya ukabila,udini ubaguzi upendeleo sijawahi kuyawaza ndo maana naishi kwa furaha na matumaini ninyi wavivu kaeni na mawazo mgando yenu
 
Nimekupa Likes 100 mkuu.
Haya majitu ni mabinafsi kupita ubinafsi. Ndio maana Mh Rais anayashughulikia ipasavyo na dawa inawaingia.
Hakuna kiongozi hata mmoja anaweza kushughulikia watu ambao wameshasonga mbele yake. Waki jiorganize kudili naye habaki trust me!!
 
Kagera kina kijiji kina umeme na kila nyumba imeunganishwa?
Si kagera haiko hata kwenye grid I ya taifa?
 
Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .
Koote ulikuwa unazunguka,hoja yako ipo kwenye kiwanja cha ndege kwa population ya watu 17,000,sijui hao watu hawahitaji huduma za ndege?Huoni haja ya kuwekeza katika kuendeleza na kupanua miji?
Sijaona popote ukimlaani mbunge Nassari kwa kutangaza kuwa chadema itajitenga na kuanzisha Taifa lao huko kskazini
 
Don't ever blame other for ur failures waarabu wanawalaumu wahayudi wakidhani ndio wamesababisha matatizo Tao kumbe wanasahau toka Hitler anaua wayahudi wao wArabu walikuwa na matatizo Tao Yale yale
 
Nilijua umeongea point mwishon ukaharibu yaan umehamasisha watu waachane na ukabila, udini na ukanda vzr baadae unawapandikiza chuki kwa kusema rais anapendelea kwao, mbona miaka ya nyuma enzi Msuya akiwa PM alijenga lami kwao mradi ambao haukua wa huko aliongea nani?, pili kuna miradi mikubwa ya maendeleo kwa sasa inayiendelea kujengwa sehemu mbalimbali za nchi hii je kila mkoa ukikosoa kwamba mradi fulan unapaswa kuwa mkoa wao unadhan itakuwaje?, halafu inaonekana kama watu wengi wa kaskazin ndio wanaotoka povu sana awamu hii sijui kwa nn au ubinafsi unawasumbua? Mbona mikoa ya kaskazin imeendelezwa sana toka Uhuru hakuna anayelalamika? Kwa hiyo hamtaki na mikoa mingine ipatiwe hata vimiradi kidogo?. Inasikitisha sana BUT sio mkaz wa kanda ya ziwa wala sio ccm nimeongea kama mtz anayekerwa na watu wabinafsi wanaotaka kila jambo zuri lifanyike mikoa yao tu
Wanazingua sana jamaa.
 
Kagera kina kijiji kina umeme na kila nyumba imeunganishwa?
Si kagera haiko hata kwenye grid I ya taifa?
Umeme wa kagera unatoka Uganda naskiaga ni compulsation ya vita ya kagera ndo maana hakunaga mgawo
 
I
Nilijua umeongea point mwishon ukaharibu yaan umehamasisha watu waachane na ukabila, udini na ukanda vzr baadae unawapandikiza chuki kwa kusema rais anapendelea kwao, mbona miaka ya nyuma enzi Msuya akiwa PM alijenga lami kwao mradi ambao haukua wa huko aliongea nani?, pili kuna miradi mikubwa ya maendeleo kwa sasa inayiendelea kujengwa sehemu mbalimbali za nchi hii je kila mkoa ukikosoa kwamba mradi fulan unapaswa kuwa mkoa wao unadhan itakuwaje?, halafu inaonekana kama watu wengi wa kaskazin ndio wanaotoka povu sana awamu hii sijui kwa nn au ubinafsi unawasumbua? Mbona mikoa ya kaskazin imeendelezwa sana toka Uhuru hakuna anayelalamika? Kwa hiyo hamtaki na mikoa mingine ipatiwe hata vimiradi kidogo?. Inasikitisha sana BUT sio mkaz wa kanda ya ziwa wala sio ccm nimeongea kama mtz anayekerwa na watu wabinafsi wanaotaka kila jambo zuri lifanyike mikoa yao tu

Acha kupiga yowe kenge wew kaskaxini wameendelea kwa uchapakaxi wao nyie endeleeni kurogana na huo uwanja wa ndege porini sijui watatua tai au tetere
Endeleeni kucheamza ngoma na kuoa wanawakr wa5 au3
Ovyooo
 
Koote ulikuwa unazunguka,hoja yako ipo kwenye kiwanja cha ndege kwa population ya watu 17,000,sijui hao watu hawahitaji huduma za ndege?Huoni haja ya kuwekeza katika kuendeleza na kupanua miji?
Sijaona popote ukimlaani mbunge Nassari kwa kutangaza kuwa chadema itajitenga na kuanzisha Taifa lao huko kskazini
Umenena
 
OTE="enock yusto, post: 19270875, member: 228685"]Umeme wa kagera unatoka Uganda naskiaga ni compulsation ya vita ya kagera ndo maana hakunaga mgawo[/QUOTE]

Ok but kweli kila nyumba/kijiji kina umeme?
 
Nakuja na list nyingine ukabila na udini umekuwa kwa kasi sana niko hapa wizara ya Ujenzi nafuatilia mambo yangu naona wote ni kabila lile na dini ya upande wa pili ccm na ukabila.

swissme
LerTa mkuu
 
Back
Top Bottom