Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Nilijua umeongea point mwishon ukaharibu yaan umehamasisha watu waachane na ukabila, udini na ukanda vzr baadae unawapandikiza chuki kwa kusema rais anapendelea kwao, mbona miaka ya nyuma enzi Msuya akiwa PM alijenga lami kwao mradi ambao haukua wa huko aliongea nani?, pili kuna miradi mikubwa ya maendeleo kwa sasa inayiendelea kujengwa sehemu mbalimbali za nchi hii je kila mkoa ukikosoa kwamba mradi fulan unapaswa kuwa mkoa wao unadhan itakuwaje?, halafu inaonekana kama watu wengi wa kaskazin ndio wanaotoka povu sana awamu hii sijui kwa nn au ubinafsi unawasumbua? Mbona mikoa ya kaskazin imeendelezwa sana toka Uhuru hakuna anayelalamika? Kwa hiyo hamtaki na mikoa mingine ipatiwe hata vimiradi kidogo?. Inasikitisha sana BUT sio mkaz wa kanda ya ziwa wala sio ccm nimeongea kama mtz anayekerwa na watu wabinafsi wanaotaka kila jambo zuri lifanyike mikoa yao tu
Lami ipi Msuya alijenga kwao? Mimi nimefanya kazi wilaya ya Mwanga ambako ndiko kwa Msuya. Hakuna barabara yoyote ya lami zaidi ya ile inayotoka Dar ambayo inapita hapo kuelekea Moshi, Arusha hadi Nairobi. Maeneo yote ya Mwanga kuanzia kwake Usangi, Ugweno (Shighatini), Kigonigoni, Chomvu, Kivisini, Jipe, Kwakoa, Ngujini, Kifula, Kirya na kwingineko kote nilizunguka hakukuwa na lami, na hiyo ilikuwa 1996-2000 wakati Msuya alishaondoka madarakani. Tuwe wakweli.
 
Mkuu lazima nikiri ukweli ni kuwa upande wa bara enzi za Nyerere nilikuwa na wasomi wachache bara ambao ni waislamu......

Labda Zanzibar kama walionewa ni sawa lakini bado Nyerere alikuja kuwa fair kwa kuwapa wa Zanzibar Rais Mwinyi....

Ambalo kwa sasa marais wote waliofuata ni watanganyika kitu ambacho ni hatari kwa mstakabali wa muungano......

Nyerere alikuwa binadamu na mapungufu yake lakini hakuwa roho mbaya alijitahidi sana kuwapenda watanzania....


SIKILIZA NINI VITABU VYA KIKATOLIKI VINASEMA

 
Wewe ujanielewa ndio maana unafikiria tofauti mtu makini hawezi kushangilia ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege chato na si geita!!




Kwani wa chato siyo watz,mkuu kashasema kuna viwanja vingi vya ndege vitajengwa au kupanuliwa sasa povu za nini .
 
Back
Top Bottom