Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Ni kweli tusipandikize ukabila na udini, lakini tuite nyeupe nyeupe na si vinginevyo....

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ni Msukuma,
Mkuu wa mkoa wa Kigoma ni Msukuma,
Mkuu wa mkoa wa Katavi ni Msukuma,
Mkuu wa mkoa wa Dar ni Msukuma,
Mkuu wa mkoa wa Rukwa ni Msukuma
Mkuu wa mkoa wa Pwani ni Msukuma
Mkuu wa mkoa wa Mara ni Msukuma
Mkuu wa mkoa wa Tanga ni Msukuma
Mkuu wa mkoa wa Iringa ni Msukuma
Mkuu wa mkoa wa Mwanza ni Msukuma.

Sasa ukiweka habari kama hii mtu anaweza kusema wewe ni mkabila lakini kumbe umefanya uchambuzi tu wa orodha ya wakuu wa mikoa. Tanzania kuna makabila 130, na mikoa 30 lakini wakuu wa mikoa 10 kati ya 30 wanatoka kabila moja na raisi
 
Nakuja na list nyingine ukabila na udini umekuwa kwa kasi sana niko hapa wizara ya Ujenzi nafuatilia mambo yangu naona wote ni kabila lile na dini ya upande wa pili ccm na ukabila.

swissme
 
Ila hili swala la Magufuli kujenga uwanja chato naona wengi wamelifumbia macho. Tuache unafki maguful mbaguz sana.
Wamenyamaza sababu mchakato wake umeanza kabla Magufuli hata hajafikira kuwa ataingia madarakani. Hili sio shati kusema utatungua dukani, kuna kutayarisha michoro, upembuzi yakinifu, upatikanaji na uidhinishaji wa pesa. Wabunge wetu wanajua mchakato wake ndiyo maana wamekaa kimya.
 
viongozi wote serikali ya awamu hii ni upande wa pili na wasukuma wamejaa sasa.

swissme
upande wa pili ndo wap huko? hebu acha kuwaaandama wasukuma kwan ata kwa ratio ya population kitaifa si ndo wanaongoza kwa wingi, acha wawe ata 20% ya viongozi wa kitaifa ni haki yao kinachomata wana sifa basi, hizi polojo za kibaguzi achanazo nazo, mm mwenyewe mkurya wa tarime lkn sion sababu ya kuwaandama wasukuma eti kisa rais ni msukuma
 
Wamenyamaza sababu mchakato wake umeanza kabla Magufuli hata hajafikira kuwa ataingia madarakani. Hili sio shati kusema utatungua dukani, kuna kutayarisha michoro, upembuzi yakinifu, upatikanaji na uidhinishaji wa pesa. Wabunge wetu wanajua mchakato wake ndiyo maana wamekaa kimya.
Niletee mpango huo wa kujenga international airport chato kama uliwekwa kipindi cha kikwete nijitoe jamii forum sasa hivi
 
wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya asilimia 48 ni kutoka kanda ya ziwa zilizobaki jumlisha kanda zote hapo ndipo utajua kuwa kanda ya ziwa tu ina 48% kusini kati na kwingineko wanagawana asilimia 52% ukabila tu hapo no comment.

swissme
hii sio kwel hebu tupe data zilizo kamil ili tukuelewe, hiyo 48% umeitoa wap?
 
Nilijua umeongea point mwishon ukaharibu yaan umehamasisha watu waachane na ukabila, udini na ukanda vzr baadae unawapandikiza chuki kwa kusema rais anapendelea kwao, mbona miaka ya nyuma enzi Msuya akiwa PM alijenga lami kwao mradi ambao haukua wa huko aliongea nani?, pili kuna miradi mikubwa ya maendeleo kwa sasa inayiendelea kujengwa sehemu mbalimbali za nchi hii je kila mkoa ukikosoa kwamba mradi fulan unapaswa kuwa mkoa wao unadhan itakuwaje?, halafu inaonekana kama watu wengi wa kaskazin ndio wanaotoka povu sana awamu hii sijui kwa nn au ubinafsi unawasumbua? Mbona mikoa ya kaskazin imeendelezwa sana toka Uhuru hakuna anayelalamika? Kwa hiyo hamtaki na mikoa mingine ipatiwe hata vimiradi kidogo?. Inasikitisha sana BUT sio mkaz wa kanda ya ziwa wala sio ccm nimeongea kama mtz anayekerwa na watu wabinafsi wanaotaka kila jambo zuri lifanyike mikoa yao tu
well said mkuu
 
Wachaga mna kelele nyie mkiwa 50 mahali utasikia we are competent!!!! kakabila kakiweka wawili kelele haziishi utasikia ukabila ukabila!!! Kuna watu wenye ukabila kama nyie nchi hii? KAANGALIE CHADEMA mlivyojazana kuanzia uongozi ndani ya CHADEMA,UBUNGE,UBUNGE VITI MAALUMU NK

Wacha Magufuli arekebishe mlijazana mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anarekebisha kwa kujaza wake???sie tusio katika wao TULIE TU
 
Nilijua umeongea point mwishon ukaharibu yaan umehamasisha watu waachane na ukabila, udini na ukanda vzr baadae unawapandikiza chuki kwa kusema rais anapendelea kwao, mbona miaka ya nyuma enzi Msuya akiwa PM alijenga lami kwao mradi ambao haukua wa huko aliongea nani?, pili kuna miradi mikubwa ya maendeleo kwa sasa inayiendelea kujengwa sehemu mbalimbali za nchi hii je kila mkoa ukikosoa kwamba mradi fulan unapaswa kuwa mkoa wao unadhan itakuwaje?, halafu inaonekana kama watu wengi wa kaskazin ndio wanaotoka povu sana awamu hii sijui kwa nn au ubinafsi unawasumbua? Mbona mikoa ya kaskazin imeendelezwa sana toka Uhuru hakuna anayelalamika? Kwa hiyo hamtaki na mikoa mingine ipatiwe hata vimiradi kidogo?. Inasikitisha sana BUT sio mkaz wa kanda ya ziwa wala sio ccm nimeongea kama mtz anayekerwa na watu wabinafsi wanaotaka kila jambo zuri lifanyike mikoa yao tu
Mimi si msukuma wala mchaga,ila kuna haja ya kujenga Chato International Airport????
Why wasingeendeleza kiwanja cha Dodoma au wangejenga Morogoro ili watalii wawe wanatua pale na Kupelekwa MIKUMI????
 
WEKA majina yao hapa na uweke taarifa za kila mmoja acha uongo.Halima mdee ANA jina la kilimanjaro lakini ni wa DAR.mTU AWEZA itwa masunga lakini ni wa DAR huko kanda ya ziwa wala hakujui.

Unataka tusemeje inakuweje CHADEMA mbunge basi wa viti maalumu geita awe wa kilimanjaro? HEBU tufafanulie hilo au inakuwaje DEVOTA MINJA awe mbunge wa viti maalum CHADEMA morogoro mjini wakati yeye ni wa kilimanjaro? INAKUWAJE SUZAN lyimo AWE MBUNGE viti maalum toka DAR wakati yeye ni wa kilimanjaro? JE CHADEMA ni KILIMANJARO tu? INAKUWAJE ukienda hivyo CHADEMA ni worse.MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA DAR ES SALAAAM NI MCHAGA kwani wenyeji hawapo? NINGEKUANIKIA wote hapa ungechoka
Swala la UKABILA na UDINI nchi hii mbona lipo wazi mkuu?ww unataka ushahidi gani?ushahidi wa udini umeshawah kuletwa hapa,ushahidi wa ukabila umeshawekwa hapa tafuta.
 
Kwa jinsi wachaga walivyo wezi na wabinafsi hawatakaa watoe rais.
Of course makabila kama wachagga, wasukuma na wahaya hayakutakiwa kutoa raisi. Tumefanya kosa moja litatugharimu dearly. Nasubiri kwa hamu kuona 2020 na 2025 hali itakuwaje katika suala la umoja wa kitaifa
 
Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .
Nakubaliana na wewe uliposema:
-Wapo watu wanataka kupandikiza udini, ukanda na ukabila awamu hii kuliko kipindi chochote (Na lengo lao hasa ni kuhakikisha Raisi wa awamu ya tano John Magufuli anashindwa kwenye kila kitu-hii sio siri tena).
-Wananchi wanapandikiza ukabila
-Kuna wanadini wanapandikiza udini mpaka wanaleta CV za wana dini wenzao hapa JamiiForums, Mfano ni yule Sheikh Khalifa Khamisi.
-Wasomi au Watu wenye uelewa pia hushinda JamiiForums kupandikiza chuki na uhasama wa kidini, ukanda, na ukabila. Bila kusahau uhasama wa kisiasa.
-Kuna upotoshaji kuwa kutoendelea kwa maeneo mengine ya nchi kumesabishwa na mikoa ya kaskazini, jambo ambalo si kweli. Hoja hii inafanana na madai ya hovyo ya baadhi ya waislamu (extremist) kuwa tabu zao, umaskini wao, na kuwa kwao nyuma kwenye mambo mbalimbali kunatokana na Wakristo (A. K. A mfumo kristo).

Sikubaliani na wewe uliposema:

-Serikali inapandikiza Ukanda
-Rais wetu anapendelea kwao Chato
 
Mimi si msukuma wala mchaga,ila kuna haja ya kujenga Chato International Airport????
Why wasingeendeleza kiwanja cha Dodoma au wangejenga Morogoro ili watalii wawe wanatua pale na Kupelekwa MIKUMI????
mm kiwanja kujengwa chato wala sion shida kwa sababu nchi ni ya kwetu sote, chato kuna watz wenzetu ambao pia wanataka maisha mazur na huduma za jamii nzuri, nchi yetu inatakiwa kuwa na huduma kama hizi kila mkoa sema umasikin tulionao miaka mingi ndo unatufanya tuchunguliane kila ktu, nafikir plan ya serikal kujenga kiwanja chato ni kwa sababu ya kuifanya chato ionekane kwel imetoa rais, ukizingatia asa hv iko kwenye moja ya miji itakayojengwa viwanda vikubwa vya sukar kulingana na kwamba iko ktk ukanda wa maji na rasilimal za kutosha, hebu tuwaache chato nao waonekane kwny raman ya nchi, wilaya kutoa mkuu wa nchi si jambo dogo angalia ata pale msoga enzi ba'riz hajawa rais na baada ya kuwa rais ikoje halafu ndo unpe jibu.
 
Pinder kajenga kiwanja nani anakitumia?
MV DSM nani anaitumia leo?
 
"kila mtu akafanye mkutano alikochaguliwa"
"ni marufuku mpinzani kutia mguu kwenye serikali yangu"
"nikupe mkono uukatae,halafu nisaini stahiki zako?! heeeeeee..."

wale waliomzomea tutawasahau..

sasahivi tunaona hata ziara ni kanda ya ziwamaji..
miradi ya umeme,reli ya kisasa,airport kuelekezwa kanda ya ziwamaji..

**hili la udini kuongoza teuzi sina hakika,japo ndio takwimu zinavyoonesha
**hili la majina ya kanda kuwa mengi nalisikiasikia..
 
Back
Top Bottom