Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Nimekupa Likes 100 mkuu.
Haya majitu ni mabinafsi kupita ubinafsi. Ndio maana Mh Rais anayashughulikia ipasavyo na dawa inawaingia.
Wewe ndiye m binafisi mpumbavu mkubwa hivi ukiwa mkosoa Serikali yeyote ni wa kasikazini?....

U masikini wenu umewafanya muone kuwa kila aliyesababisha umasikni wenu ni mkasikazini? Au ni fisadi?...

Kweli wewe ni mpumbavu wa mwisho tafuteni maendeleo....

Acheni kulia lia na kasikazini......

Mimi binafisi ni mtu wa kanda ya ziwa lakini kutetea ujinga unaofanywa na mkuu wenu na mabwana zanu sitaunyamazia ....

Nitaongea tu ukweli , kama wewe ni masikini ni masikini tu wala usifikirie kujenga uwanja wa ndege chato kutakutoa kwenye u masikini....

Very foolish.....
 
19088776, member: 76758"]Kwenye vyeo vyote vikubwa vyenye maamuzi ukimtoa JPM mwenyewe simuoni yeyote mwenye asili ya usukuma akiwapo. Mfano halisi ni kutokuwapo waziri yeyote (siyo naibu waziri) msukuma kwenye baraza la JPM. Kwa hali hiyo Bado ni ngumu kumweka JPM kwenye lawama za ubaguzi.[/QUOTE]

Luhaga mpina kabila gani
 
Awateue tu ila akumbuke pasipo na mchaga hakuna uhai(kiuchumi) cc Mimi sio mchaga ILS msg sent and delivered
 
nically, post: 19271055, member: 373722"]Wewe nenda kagera kule ndio kuna umeme wa uhakika kuliko mikoa yote Tanzania[/QUOTE]



Mkuu hata kigoma nimekaa upo umeme Wa uhakika (Hanna mgao)lakini sio kila nyumba au kijiji kina umeme Mimi nadhani unasemea las Vegas au Singapore mana hata Johannesburg kuna nyumba hazina umeme
 
viongozi wote serikali ya awamu hii ni upande wa pili na wasukuma wamejaa sasa.


swissme
mbna hukusema.wakati wachagga walivyo jaaa kila.idara mkuu?

napita kwangu kusini hatuna shida hata Ben alipo pewa jukumu akatusahau tukasema ..we are Tanzanian
 
Mkuu hayo ndio tunayakataa ukija njoo na data wasukuma ni wangapi kwenye teuzi lakini kuendelea kuongea tu ni kupalilia chuki isiyo na maana
Msamehe hakuelewa somo kwakuwa ukabila umempofusha fikra zake.
 
nically, post: 19271055, member: 373722"]Wewe nenda kagera kule ndio kuna umeme wa uhakika kuliko mikoa yote Tanzania



Mkuu hata kigoma nimekaa upo umeme Wa uhakika (Hanna mgao)lakini sio kila nyumba au kijiji kina umeme Mimi nadhani unasemea las Vegas au Singapore mana hata Johannesburg kuna nyumba hazina umeme[/QUOTE]
Mkuu kagera vijijini umeme ni 85 % upo sasa hiyo ni karibu watu wote .......

Yaani kwenye swala la umeme kagera usishangae tena hiyo nakwambia nimetoka Mara ya mwisho mwaka 2008 lakini karibu 85% watu walikuwa na umeme .

Kuna mzee mmoja nilienda kumtembelea uko vijijini ndani kabisa lakini nyumba yake iko na umeme.....
 
Wewe ujanielewa ndio maana unafikiria tofauti mtu makini hawezi kushangilia ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege chato na si geita!!
Mkuu tupeni kwanza jiografia ya Chato na Geita, inaweza kuwa uwanja ulipelekwa kule sababu za landmarks, terrains na meteorological reasons, au technical issue zingine kuliko kuangalia social na economical issues pekee. Kwanini uwanja wa KIA ukapelekwa kule mbali na Moshi mjini badala ya kuwekwa Moshi mjini pale? Tutafute tathimini za mradi kabla haujaanza kwanini walichagua Chato?
 
lakini kujenga KIA na Arusha pia ni sawa? Ilibidi barabara ya Mtwara ijengwe na Mh. Mkapa ambaye ni kwao, hata kule Bagamoyo hali ilikuwa mbaya sana kama asingekuwa Mh. Kikwete hali ingekuwa mbaya mno, milaradi yote wajanja wanataka iende Moshi

Kwahiyo Arusha unaifananisha na Chato?? au Mwanza jiji uifananishe na Chato??.

Kikwete hakujenga barabara kwake tu , aliunganisha nchi hii kwa lami by more than 80%

Mchaga huwezi kumfananisha na Msukuma mshamba kwa kutafuta hela. Kaskazini wengi wanajielewa na wamesoma na ndo mana Kuna maendeleo makubwa kuliko sehemu nyinginge.

Hata kama unapengelea kwenu, basi fanya mambo yatakayo nufaisha wengi.

INTERNATIONAL AIRPORT Chato?????? Watanzania tumerogwa si bure
 
Hata kabila furani wakiwa wengi ktk taasisi Fulani kwetu kigoma haitusumbui maana tulinyimwa elimu tangu uhuru sasa tutapewaje madaraka ?
 
Technically, acha uchochezi wewe, wewe ndo unapandikiza chuki, naamini nikwasababu ya chuki yako dhidi ya viongozi wetu, mbona kilimanjaro kuna uwanja wa ndege, na hapo hapo kuna mikoa ambayo iko kama kilimanjaro,but wewe hujaongea chochote, mie naamini kuna watu mna chuki binafsi na viongozi wetu, kwahiyo mnakuza mambo ili kufanikisha agenda zenu za kipuuzi. Kuna mikoa kama kilimanjaro, arusha, huduma za jamii kama maji, umeme, shule na hata viwanja vya ndege vipo tofauti na mikoa mingine kama simiyu, geita,,kigoma, ambapo baadhi ya huduma za jamii haziko improved sana ukicompare ta kilimanjaro, sasa sijua technically, unatatizo gani, au unalipwa kwa ajili ya kumchafua mh. rais. naamini kama unalipwa kwa kazi ya kumchafua kiongozi et kisa tu wa kwako ulie mtaka alishindwa, basi jiandae kupata laana kwasababu,Mh. RAIS ANAFANYA MENGI KWA AJILI YETU SISI WANYONGE, NA SI kwa ajili ya wapiga dili ulio wataka.

mbegu ya chuki inapandikizwa na CCM. Tusimtafute mchawi wakati tunajua alipo
 
...Mchaga huwezi kumfananisha na Msukuma mshamba kwa kutafuta hela...
Hebu ondoa haya mawazo ya kipuuzi kichwani kwako tafadhali. Kati ya Msukuma na Mchaga wote ni watanzania. Hakuna aliye bora juu ya mwingine.
 
Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .
mchotaraCCM.jpg


Huwezi kuficha kikohozi utakohoa tu

CCM bila ukabila na udini haiwezekani
 
Mimi ninachoshuhudia awamu hii ina mzizi mirefu ya ukanda udini na ukabila na siko peke yangu.
 
Back
Top Bottom