Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

technically Uzi huu umekumaliza na kukuvunjia heshima hasa uwezo na nguvu yako ya kupost. Unao ushahidi wa wasukuma kupendelewa?, unajua kabila la kisukuma wewe? Wasukuma tukipendelewa na tukaamua kuwa wakabila utakaa nchi hii? Je unaijua kanda ya Ziwa? Mwanzo na ukomo wake? Unajua wahaya na wachaga wangapi alioteua rais hadi sasa? Usiruhusu hasira ikafafanua kibovu kilichopo moyoni kwako! Nchi hii ni yetu sote. Kaskazini ilpoendelezwa hatukutukana, DSM na Dodoma vivyo. Chadema hatukuikimbia Bali ilitufukuza ilipompokea waliyemtangaza wenyewe fisadi namba 1. Nalaila na Change waliwahi kuwa mawaziri, je walizuia kuendeleza kaskazini? Tumia akili ndogo kuwaza na kuleta uzi wenye maana. Waachie chitchat, jokes na mmu thread za namna hii
 
Of course makabila kama wachagga, wasukuma na wahaya hayakutakiwa kutoa raisi. Tumefanya kosa moja litatugharimu dearly. Nasubiri kwa hamu kuona 2020 na 2025 hali itakuwaje katika suala la umoja wa kitaifa
Unataka wasukuma tutoe rais 2025? Zamu yetu bado hii labda Wazilankende
 
Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .
Kwani chato kuna wasukuma tu hakuna makabila mengine? Kwann ulalamikie hilii wakati aliyeamua hajatoa sababu za yeye kujenga chato uwanja wa ndege? Mengine tunaumizana vichwa tu bure....
 
viongozi wote serikali ya awamu hii ni upande wa pili na wasukuma wamejaa sasa.

swissme
Usipandize ukabila hapa wasukuma wangekuwa na ukabila wangekuwa wamejaa kila sehemu maana robo ya watanzania wote ni wasukuma.
 
Hakuna mtu wa kanda ya Ziwa ana fikra potofu Kama ulizo nawe. Wewe ni wa Kaskazini haswa kwa matusi uliyoporomosha, maana ndio mnayojua hayo...matusi,wizi,ujambazi na uchawi siku hizi mmebobea.
Mnatokwa mapovu (Foma Gold) dhahiri hamjifichi siku hizi. Eti umetoka kanda ya Ziwa!!!! Sayanora
Mimi kwetu ni kanda ya ziwa iko hivyo nimekulia mitaa ya Kiloleli hapo baada ya big bite....

Mitaa yote ya Mwanza hawezi kunidanganya kitu.....

Kuanzia kisesa ,Kishiri,Ndofe,Nyakato buzuruga,Mabatini ,mkolani ,Ghana,Bwiru,nyegezi,pasiasi ilemela mpaka airport. ..

Hadi igome ,kayenze kote nimeenda huko maana Mimi ni mzawa wa huo mji......

Tatizo lako ni mentality mama yangu ni msukuma pure na kwao ni Mwanza baba yangu ndio mtu wa musoma .....

Mawazo yenu kufikiria kuwa kila anayeikosoa Serikali ni mkasikazini poleni sana .......

Lazima kwenye ukweli tuwe wakweli tu wasukuma walioenda shule hawanaga ukabila ndio maana wanaishi sehemu yeyote ..

Na wewe nina uhakika sio mtu wa kanda ya ziwa sio msukuma kama ni msukuma nifate inbox tuongee kisukuma.....

Nakubaliana sana na mambo mengi yanayofanywa na rais lakini Swala la ujenzi wa uwanja chato ni kupoteza tu resources za nchi wala hakuna umuhimu ....

Na lazima ukweli usemwe kwa vile Mimi sio mnafiki na wala sitaki unafiki....

Awe mbowe lowassa Magufuli lazima tuwaambie ukweli hata kama unauma ..
 
Mimi kwetu ni kanda ya ziwa iko hivyo nimekulia mitaa ya Kiloleli hapo baada ya big bite....

Mitaa yote ya Mwanza hawezi kunidanganya kitu.....

Kuanzia kisesa ,Kishiri,Ndoge,Nyakato buzuruga,Mabatini ,mkolani ,Ghana,Bwiru,nyegezi,pasiasi ilemela mpaka airport. ..

Huyo unayemtuhumu ana ukabila, inamaana kumbe hajaenda Shule...?!
 
Mimi kwetu ni Kanda ya Ziwa, sio Msukuma Ila baadhi ya ukoo wangu umekulia na kufanya biashara na shughuli za Maendeleo Mwanza.

Pili, unaweza kuwa mtu wa Kaskazini unayeishi Mwanza na kutaja maeneo yote Kama ulivyofanya.
Suala hapa sio kuikosoa Seikali, suala ni kutumia maneno ya kejeli na matusi kwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mmekuwa na chuki za ajabu sana kiasi kwamba zinawatia Upofu na Uziwi.
Tulieni dawa iwaingie. Hii ni awamu mpya na kitabu chake.
 
technically Uzi huu umekumaliza na kukuvunjia heshima hasa uwezo na nguvu yako ya kupost. Unao ushahidi wa wasukuma kupendelewa?, unajua kabila la kisukuma wewe? Wasukuma tukipendelewa na tukaamua kuwa wakabila utakaa nchi hii? Je unaijua kanda ya Ziwa? Mwanzo na ukomo wake? Unajua wahaya na wachaga wangapi alioteua rais hadi sasa? Usiruhusu hasira ikafafanua kibovu kilichopo moyoni kwako! Nchi hii ni yetu sote. Kaskazini ilpoendelezwa hatukutukana, DSM na Dodoma vivyo. Chadema hatukuikimbia Bali ilitufukuza ilipompokea waliyemtangaza wenyewe fisadi namba 1. Nalaila na Change waliwahi kuwa mawaziri, je walizuia kuendeleza kaskazini? Tumia akili ndogo kuwaza na kuleta uzi wenye maana. Waachie chitchat, jokes na mmu thread za namna hii
Wewe acha siasa ni wapi ni nimesema wasukuma wamependelewa achakuongea kitu usichokijua wewe...

Njoo na ushahidi wapi nimewatuhumu wasukuma?......

Wewe ndiye umejivunjia heshima
 
Mimi kwetu ni Kanda ya Ziwa, sio Msukuma Ila baadhi ya ukoo wangu umekulia na kufanya biashara na shughuli za Maendeleo Mwanza.

Pili, unaweza kuwa mtu wa Kaskazini unayeishi Mwanza na kutaja maeneo yote Kama ulivyofanya.
Suala hapa sio kuikosoa Seikali, suala ni kutumia maneno ya kejeli na matusi kwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mmekuwa na chuki za ajabu sana kiasi kwamba zinawatia Upofu na Uziwi.
Tulieni dawa iwaingie. Hii ni awamu mpya na kitabu chake.
Haaaah wewe mkuu ....

Acha siasa Mimi sijatoa kejeri lakini naamini nlingekuwa nimesema uongo kuhusu huo uwanja wa ndege huu Uzi ungefutwa .....

Ukweli ulio wazi nikwambie sio kwamba ukitoka kanda ya ziwa ndio mwisho wa kuikosoa Serikali......

Ndio maana Mawazo alikufa na kuuliwa kwa sababu za kijinga wakati ni msukuma....

So usifikirie kwamba kila anayeingia humu kuikosoa Serikali basi ni mchaga ..

Ondoa kwanza hiyo mentality ndio utaeleweka.........kanda ya ziwa bado kuna watu makini wanaopenda kukosoa mambo yaliyo mabovu ....

Na kusifia yaliyo mazuri tena wengine ni viongozi kabisa wabunge wa ccm na mawaziri.....

Mimi kwa mama yangu ni Mwanza na ni msukuma na wala sidanganyi mdio maana hata Mwanza ilipotangazwa kuwa ni mkoa masikini kuliko hata pwani na Lindi nilikuja hapa nikakataa kuwa Mwanza ni mkoa tajiri .......
 
We umeona wapi duniani uwanja Wa ndege upo katikati ya mji?
QUOTE="Titicomb, post: 19271316, member: 68387"]Mkuu tupeni kwanza jiografia ya Chato na Geita, inaweza kuwa uwanja ulipelekwa kule sababu za landmarks, terrains na meteorological reasons, au technical issue zingine kuliko kuangalia social na economical issues pekee. Kwanini uwanja wa KIA ukapelekwa kule mbali na Moshi mjini badala ya kuwekwa Moshi mjini pale? Tutafute tathimini za mradi kabla haujaanza kwanini walichagua Chato?[/QUOTE]
on
 
7"]mbna hukusema.wakati wachagga walivyo jaaa kila.idara mkuu?

napita kwangu kusini hatuna shida hata Ben alipo pewa jukumu akatusahau tukasema ..we are Tanzanian[/QUOTE]

Wakati wachaga wanasoma nyie mlikimbia umande ulitaka wajaxane wamatumbi au waluguru?
Tatizo shuleee
 
Wewe ndiye m binafisi mpumbavu mkubwa hivi ukiwa mkosoa Serikali yeyote ni wa kasikazini?....

U masikini wenu umewafanya muone kuwa kila aliyesababisha umasikni wenu ni mkasikazini? Au ni fisadi?...

Kweli wewe ni mpumbavu wa mwisho tafuteni maendeleo....

Acheni kulia lia na kasikazini......

Mimi binafisi ni mtu wa kanda ya ziwa lakini kutetea ujinga unaofanywa na mkuu wenu na mabwana zanu sitaunyamazia ....

Nitaongea tu ukweli , kama wewe ni masikini ni masikini tu wala usifikirie kujenga uwanja wa ndege chato kutakutoa kwenye u masikini....

Very foolish.....
Usitoke povu, ni kweli kabisa valves za bomba la pato la taifa zilifunguka zaidi kuelekea watu wa kaskazini katika kila sector. Ni kweli ni wachapa kazi lakini ndani ya uchapakazi wao ndani yake kuna nguvu ya taifa inatumika zaidi kwao kwa njia moja au nyingine. Nenda katika kila mkutano, semina, na mafunzo ambako posho inatolewa utawakuta wa kaskazini kibao ndio waliojaa huko, wanaitana na kualikana kwenye mikutano, semina, ajira, nk unaposema umejenga shule nyingi sana mkoani kwako ujue kuwa ndani yake kuna kodi kubwa zaidi za watanzania wote zinazoelekea kwako kwa njia ya mishahara ya watumishi, ukaguzi wa shule, ruzuku kwa shule, kutunga, kusambaza, kufanya, kusimamia na kusahihisha mitihani ya shule na wanafunzi wenu. Hii ina maana pia wanafunzi wengi kutoka mkoani kwako watachaguliwa kwenda vyuoni ambako nako hela nyingi itaelekezwa kwenu kuwahudumia watoto wenu ambao bila shaka watakuwa ni wengi pia kwa uwiano kwa tuition fee, chakula, mabweni, mikopo, na baada ya kumaliza shule bila shaka watoto wenu watakuwa wengi kwenye kupangia ajira, hivyo kodi za watanzania wote zitaelekea huko pia kulipia ajira za watumishi wenu ambao bila shaka watakuwa ni wengi kwa uwiano. Kinachosemekana sasa kwatumia wingi wenu huu wa ajira kwenye sehemu mbalimbali nchini mnautumia vibaya kwa kujitengenezea mtandao mpana wa kuonyeshana fursa kabla wengine hawajaziona. Hili limekuwa likifanyika hivyo kwa miaka mingi tangu nchi ipate uhuru.
 
Usitoke povu, ni kweli kabisa valves za bomba la pato la taifa zilifunguka zaidi kuelekea watu wa kaskazini katika kila sector. Ni kweli ni wachapa kazi lakini ndani ya uchapakazi wao ndani yake kuna nguvu ya taifa inatumika zaidi kwao kwa njia moja au nyingine. Nenda katika kila mkutano, semina, na mafunzo ambako posho inatolewa utawakuta wa kaskazini kibao ndio waliojaa huko, wanaitana na kualikana kwenye mikutano, semina, ajira nk
Sema wewe ndugu yangu, tukisema sisi tunaambiwa umaskini unatusumbua.
 
Mimi kwetu ni Kanda ya Ziwa, sio Msukuma Ila baadhi ya ukoo wangu umekulia na kufanya biashara na shughuli za Maendeleo Mwanza.

Pili, unaweza kuwa mtu wa Kaskazini unayeishi Mwanza na kutaja maeneo yote Kama ulivyofanya.
Suala hapa sio kuikosoa Seikali, suala ni kutumia maneno ya kejeli na matusi kwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mmekuwa na chuki za ajabu sana kiasi kwamba zinawatia Upofu na Uziwi.
Tulieni dawa iwaingie. Hii ni awamu mpya na kitabu chake.
Ukanda na ukabila mwingine
 
Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .

NYERERE WAKO ALIKUWA NDIYE MDINI NAMBARI MOJA

Desemba 1993

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
 
Mkuu lazima nikiri ukweli ni kuwa upande wa bara enzi za Nyerere nilikuwa na wasomi wachache bara ambao ni waislamu......

Labda Zanzibar kama walionewa ni sawa lakini bado Nyerere alikuja kuwa fair kwa kuwapa wa Zanzibar Rais Mwinyi....

Ambalo kwa sasa marais wote waliofuata ni watanganyika kitu ambacho ni hatari kwa mstakabali wa muungano......

Nyerere alikuwa binadamu na mapungufu yake lakini hakuwa roho mbaya alijitahidi sana kuwapenda watanzania....
 
Kwani chato kuna wasukuma tu hakuna makabila mengine? Kwann ulalamikie hilii wakati aliyeamua hajatoa sababu za yeye kujenga chato uwanja wa ndege? Mengine tunaumizana vichwa tu bure....
Ikiwa hivi italazimika urais uwe kwa mikoa au kikanda kama kila rais anakumbuka kwao kwenye ufalme wake. Hata hivyo inakera sana, baadhi ya mikoa na kanda iliachwa nyuma sana kwenye mipango. Wakati wengine wakihangaishwa na maji tu kunywa wengine wanahangaika na kujenga mashule maana maji sio tatizo tena tangu wakati wa mkoloni. Mtu ambaye hata maji (basic need) ya kunywa hana hawezi kujali elimu (tertiary need) (Maslow's hierarchy of needs)
 
Back
Top Bottom