Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

Chatto International Airport... Huu ni ubakaji wa kodi zetu mchana kweupe. To me ingekua na tija Kama angeongeza hadhi ya viwanja vilivyo jaribu na vivutio kwa watalii. Ila huko chatto labda watalii wataenda angalia zile taa za barabarani karibu na kwa naniii yule nani????...
 
Angalia sana isiwe kua umeandika huu Uzi kwa ajili ya kurejea uwanja unaojengwa huko chato .Kila mradi hua unafanyika kulingana na mikakati iliyopangwa awali na haitakua sahihi kuanza kumtumia lawama MH Rais kwa kutekeleza mradi ambazo tayari ulishapangwa kufanyika hata kabla ya yeye kuwepo madarakani kwakua tu eti mda wa utekelelezaji wa huo mradi umeangukia kipindi ambacho yeye ndiyo Rais aliyepo.Hayo maswala mengine ya ukabila na using nakubaliana na wewe kua ni ya kuepuka sana kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli tunataka kupandikiza ukabila udini na ukanda awamu hii kuliko kipindi chochote .

Serikali inapandikiza Ukanda, wananchi wanapandikiza ukabila

Dini zinapandikiza udini kwa kuleta mpaka CV za waslamu jamii forum sijui ndio zitusaidie nini.

Tumeamua kuondoa utaifa na kuwa wabaguzi lakini makosa makubwa yapo kwa rais wetu ambaye anaonekana wazi wazi kupendelea chato halafu kuna watu wanamsapoti.

Tatizo lipo tena kwa watanzania kuamini kutoendelea kwao ni kwa sababu kumesababishwa na watu wa kasikazini maana wao wameendelea yaani watu wa kasikazini kwa ujumla.

Leo hii tunashangilia uwanja wa ndege wa kiwango cha kimataifa kujengwa kwenye population ya ya watu 17,000 hii haijawai fanyika duniani kote.

Ukabila ukabila ukabila Nyerere hatukumuelewa alipokuwa akipigania utaifa kwanza.

Hivi wahaya,wachaga na wasukuma tukijifanya nchi hii ni yetu makabila mengine yakiungana nini kitatokea?

Waislamu hii nchi wakijifanya ni yao Christians wakiungana nini kitatokea

Christian hii nchi wakijifanya ni yao waislamu wakiungana nini kitatokea?

Huku mtaani tunaishi na watu wa kila aina mwingine mmakonde,Mjaluo,Waha wanyamwezi tunacheka tunakunywa tunafurahia lakini unaamka asubuhi unaanza kueneza ukabila kwa vile unatumia I'd fake jamii forum wakati ukute wewe ni kiongozi wa kitaifa au chama.

Wengine kama mimi ni wakatoriki lakini tulisoma shule za waislamu. Vijini waislamu na dini zingine wanashirikiana sana tena kwa upendo mkubwa .

Lakini mijitu misomi ndio inashinda jamii forum kupandikiza chuku na uhasama wa kidini ukanda na ukabila.

Lazima tukubali ukweli kuwa Rais anapopendelea kwao tuungane kama taifa tumshauri ajirejebishe.

Serikali inapotutangazia kuwa mkoa wa Kagera ni mkoa masikini wakati una umeme kila kijiji tena kila nyumba karibu ina luku lazima tutafakari kuwa kwanini watangaze kagera ni mkoa masikini?

Kumbukeni makabila yote ya Tanzania Tanzania sio kwenu ni waamihaji walio wengi ukiondoa wagogo ndio wazawa .
binafsi, kaskazini ikiendelezwa sina shida, kwasababu ninayo fursa ya kwenda kununua kiwanja nikajenga kule kama nataka.
 
Angalia sana isiwe kua umeandika huu Uzi kwa ajili ya kurejea uwanja unaojengwa huko chato .Kila mradi hua unafanyika kulingana na mikakati iliyopangwa awali na haitakua sahihi kuanza kumtumia lawama MH Rais kwa kutekeleza mradi ambazo tayari ulishapangwa kufanyika hata kabla ya yeye kuwepo madarakani kwakua tu eti mda wa utekelelezaji wa huo mradi umeangukia kipindi ambacho yeye ndiyo Rais aliyepo.Hayo maswala mengine ya ukabila na using nakubaliana na wewe kua ni ya kuepuka sana kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Hukusikiliza bajeti 2016/2017 ikisomwaa eeeh?
 
huu uba
Nilijua umeongea point mwishon ukaharibu yaan umehamasisha watu waachane na ukabila, udini na ukanda vzr baadae unawapandikiza chuki kwa kusema rais anapendelea kwao, mbona miaka ya nyuma enzi Msuya akiwa PM alijenga lami kwao mradi ambao haukua wa huko aliongea nani?, pili kuna miradi mikubwa ya maendeleo kwa sasa inayiendelea kujengwa sehemu mbalimbali za nchi hii je kila mkoa ukikosoa kwamba mradi fulan unapaswa kuwa mkoa wao unadhan itakuwaje?, halafu inaonekana kama watu wengi wa kaskazin ndio wanaotoka povu sana awamu hii sijui kwa nn au ubinafsi unawasumbua? Mbona mikoa ya kaskazin imeendelezwa sana toka Uhuru hakuna anayelalamika? Kwa hiyo hamtaki na mikoa mingine ipatiwe hata vimiradi kidogo?. Inasikitisha sana BUT sio mkaz wa kanda ya ziwa wala sio ccm nimeongea kama mtz anayekerwa na watu wabinafsi wanaotaka kila jambo zuri lifanyike mikoa yao tu
g
 
huu ubaguzi umezidi mpaka anamtafuta wajina wake kuliko amtafute Ben Saa Nane ambaye ni binadamu
 
mwenye macho haambiwi tazama vitu viko wazi watanzania ni mabingwa wa unafiki, mambo yako wazi wazi yakisemwa utasikia mkabila, mdini, mkanda. Nyerere aliwahi kusema nchi hii nafasi za serikali zikifuata sifa za shule viongozi wote watakuwa wachaga, na serikali huenda ikakosa pia waislamu, wanaonufaika watasema tunaangalia ufanisi zaidi sio dini ya mtu au kabila lake.
 
Fafanua badala ya kuuliza swali ili uitete hoja yako.
Nimekujibu swali lako kwamba Ujenzi wa uwanja wa Chato kwamba ni mpango uliokuwepo kabla ya yeye kuingia madarakani, Jibu ni hapana, rejea bajeti katika uk.76 sehemu (x).
 
Kitu pekee ambacho inatakiwa tukielewe ni kwamba kila mmoja wetu apiganie Umoja wa Kitaifa.
Tujitahidi kutenda haki maana Haki huinua Taifa.Tofauti na hapo,tumekwisha.

Umoja wa kitaifa haushuki kama mana la hasha lazima misingi ya umoja wetu iheshimiwe,ilindwe na kusahihishwa pale inapotikishwa.

Unaposikia mbunge mwakilishi wa wananchi anatamka hadharani "safari hii ni zamu yetu" ambao zamu yao imepita ni kina nani ?.
 
Nyie watu mnalipeleka wapi taifa hili?Mtoa mada umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu..

Viongozi katika ngazi zote huteuliwa kwa kigezo cha sifa na si vinginevyo, hata ikatokea wote wametoka kanda flani kama vigezo vimetimia tatizo liko wapi?

Msitumie advantage ya mitandao ya kijamii kueneza hii sumu ya ukabila,ukanda na udini!Kabla hujaanzisha mada angalia madhara yake kwa taifa, kuna watu ni vilaza na wanachukua lolote mnaloandika humu na kuyasambaza mtaani..Tufiikirie vyema uhuru tuliopewa humu tusije kulivuruga taifa letu!Ninachojua mimi kabila la mtanzania ni 'mswahili' na kila mtanzania ana haki ya kuishi na kufanya kazi popote ndani ya jamhuri..Haya mengine mnayoyaleta ni ajenda zenu za siri kulivuruga taifa hili kitu ambacho hamtaweza!
 
Hakuna anayeeneza ukabila zaidi ya Rais....

Kuwabagua wazi wazi watu wa kagera na kula rambi rambi yao na kutoenda uko ni ushahidi tosha kuwa yeye ndiye anapandikiza ukabila ....
 
Dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu.

Chuki dhidi ya watu wa kaskazini naona sasa inaenea nchi nzima.

Wakati wa kampeni nilimkemea yeyote aliyeipandikiza na wengi walidharau. At least yanaanza kudhihirika na kuwaumiza baadhi ya mashabiki wake. Yetu macho. Tusipokemea kwa nguvu kwa sababu ya wivu au kupendelea upande Fulani TUTASEMA KWA SAUTI KUU, BURIANI TANZANIA!!!!!!!!!!!!!
 
Hakuna anayeeneza ukabila zaidi ya Rais....

Kuwabagua wazi wazi watu wa kagera na kula rambi rambi yao na kutoenda uko ni ushahidi tosha kuwa yeye ndiye anapandikiza ukabila ....
You are very wrong!
Rais ana wasaidizi wake waliopo huko na alishasema anafuatailia step by step kila siku kuhusu issue ya Kagera..Si rahisi kuyaongelea yote anayofanya rais kwenye media but kwa hakika hulala late hours kwa ajili ya watanzania wote!

Cha msingi wenye shida wanatatuliwa matatizo yao, nikiwa na maana walioatyhirika wanapata misaada kuliko kuuza sura.
Pia kwa akili yako hata angeenda mngesema kanda ya ziwa inapendelewa maana Kagera ipo kanda ya ziwa..Hamkosi cha kuongea!Kitu ambacho hamko fair..Tukosoe kwa hoja zenye maana ila sio dizaini mnayokuja nayo mabayo sio kabisa maana mnahatarisha umoja wetu.
 
Hapo tatizo sio wasaidizi yaani kula pesa ya rambi rambi nayo ni wasaidizi wake ....

Ndio wamekula kwanini asiwafukuze Kazi?
 
Hapo tatizo sio wasaidizi yaani kula pesa ya rambi rambi nayo ni wasaidizi wake ....

Ndio wamekula kwanini asiwafukuze Kazi?
Do you have any proof kuwa hizo pesa zimeliwa?
Usiongee au kuropoka kitu usichokijua kisa unatumia ID fake hapa JF..
 
Wachaga mna kelele nyie mkiwa 50 mahali utasikia we are competent!!!! kakabila kakiweka wawili kelele haziishi utasikia ukabila ukabila!!! Kuna watu wenye ukabila kama nyie nchi hii? KAANGALIE CHADEMA mlivyojazana kuanzia uongozi ndani ya CHADEMA,UBUNGE,UBUNGE VITI MAALUMU NK

Wacha Magufuli arekebishe mlijazana mno
Kabisa mkuu
 
Mwache magufuli aendeleze kanda ya ziwa.mbona sarungi alipendelea sana kaskazini?
Magu twende kazi baba
 
Back
Top Bottom