TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

Hivi inakuingia akilini kabisa kwamba wakupe gawio la elfu 50 kisha wakuombe mtaji wa laki 5????.....by the way, unaelewa mahana ya gawio??????.
Kuna kosa gani kuraise capital?
 
Unaijua trillion wewe walizoomba karibu trillion 2 ni zaidi ya kuanzisha shirika jipya.

Wanacheza hao TTCL hela ya nyingi sana hiyo wanataka expansion ya nini ? Kama ni towers siku hizi zipo chini ya companies kama Helios tower , wangeeda kukodi kule then the revenue that will be generated from TTCL ingelipa Helios bila kutumia hela za serikali
 
hee kwaio wapate faida au wasipate ni lazimaa watoe gawio. ...eee mungu wanguuuu hili kampuni haliji kusimama kama ndo hivooo
Gawio wanaotoa TTCL siyo kwamba wamepata faida hapana. Ni lazima watoe hilo gawio sababu serikali imewapa ku run mkongo wa taifa on behalf. Kwahiyo pesa wanayozalisha lazima wawape serikali.
 
Wakipewa 1.7 T mwakani gawio litakuwa 1T.
Hiiiiiii
 
Yaani shirika linalohitaji kupigwa jeki kwa kupewa trilioni 1.7 ndio liwe na uwezo wa kutoa gawio serikalini kiasi cha shilingi bilioni 2.1?!!!!!

Wajue tu watanzania sio wajinga!!
 
Kibiashara, faida inaweza kugawiwa kama gawio kwa wana hisa lakini pia kama kuna uhitaji inaweza kiasi ikaongeza Mtaji ili Kampuni iendelee kutatua changamoto zake kwa nia ya kukua zaidi. Je hili Board of Directors walioverlook?
 
Huoni kuwa uongozi mpya chini ya Omary Nundu TTCL inafanya vizuri na ikiweza kuweka minara nchi nzima itaweza kuhimili vishindo vya akina vodacom?
Outwardly inaonekana hivyo lakini uhalisia ni pa CAG anaposema shirika liko hoi lakini wakati huo huo linatoa 'surplus on profif a.k.a gawio' kwa godfather wake! Au nalo likaguliwe na 'mangesho'!?
 
Outwardly inaonekana hivyo lakini uhalisia ni pa CAG anaposema shirika liko hoi lakini wakati huo huo linatoa 'surplus on profif a.k.a gawio' kwa godfather wake! Au nalo likaguliwe na 'mangesho'!?
Watumiaji wa TTC wamekuwa wakilalamika kuhusu coverage ya mtandao huo, wao wameomba fedha kuwekeza kwenye minara ili huduma iwepo nchi nzima, tatizo liko wapi?
 
Watumiaji wa TTC wamekuwa wakilalamika kuhusu coverage ya mtandao huo, wao wameomba fedha kuwekeza kwenye minara ili huduma iwepo nchi nzima, tatizo liko wapi?
Tulivyokuwa wadogo nakumbuka TTCL wakati huo walifunga minara nchi nzima na mpaka miaka ya tisini mwishoni zinaingia hizi kampuni nyingine ndipo wakagundua kuwa ile minara matumizi yake yalikuwa yamepitwa na wakati. Cha tahadhari ni kwamba hizi kampuni zingine hazimiliki minara yao tena bali zinakodisha na wakodishaji hawamiliki mitandao bali expertise zao ni kweye kujenga na kumanage minara sehemu kubwa duniani.
Hoja yangu hapa nina wasiwasi kama TTCL wana business plan inayotarget miaka 15 - 25 badala ya focus yao kuwa kuangalia voda, tigo wamefanya nini (introduce) then wanaomba ruzuku kukifanya hicho hicho kwa kasi zaidi. Safaricom na hata hizo MTN sio kampuni za serikali lakini zinafanya vizuri huko ziliko na zinalipa kodi kubwa serikalini na serikali za huko zinafaidi zaidi kwa njia hiyo badala ya kuziombe zife!
 
Tuwe wa kweli kuwa TTCL ilirubuniwa ndiyo maana imekuwa ikisuwa suwa.

Hiyo safaricom unayoisifia siyo kuwa wanajua sana biashara bali serikali ya Kenya wamezuia kabisa makampuni mengine kufanya biashara ya simu Kenya.

Mawasiliano kwa sasa siyo kama zamani tulipokuwa na shirika la posta na simu, maisha ya wananchi yamekuwa yakihusika moja kwa moja na mitandao.Tunapokuwa na makampuni ya nje kumiliki sekta ya mawasiliano nchini ni hatari sana kwa Taifa. Nchi zote zinazojielewa hutumia kampuni zao wenyewe kwenye mawasiliano ziwe binafsi au za kiserikali.
 
Back
Top Bottom