TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

Tatizo la TCCL wameweka siasa katika kufanya biashara. Ukiwa na huduma nzuri utapata wateja hata kama hauna miundombinu ya kutosha. TCCL huduma mbovu wala usiwatetee. Wananchi wangapi wanalaini za TCCL? Wanaoutumia TCCL ni kwa ajili ya Internet.
TCCL huduma mbovu. Mimi wala sifikirii kuwa na laini ya TCCL mpaka keshokutwa. Vocha zenyewe ni shida
Najua utakuwa miongoni mwa wanaccm lkn hilo shirika ni tawi la CCM linalofanya kazi kumfurahisha mwenyekiti wao. Hilo shirika ni miongoni mwa mashirika ovyo sana ambayo hayajawahi kutokea katika zama hizi.
Halotel wamekuja juzi lakini kwa sasa Halotel anamzidi hata Airtel na huwezi kuilinganisha Halotel na takataka TTCL
Hilo la vocha ni moja ya uboreshwaji utakaofanyika pamoja na kuongeza minara.
Mkuu watu wanashangaa kampuni imepata faida mpaka kuweka kutoa gawio halafu inaomba hela tena hukohuko ilikozipeleka!!! Tuweke mahaba pembeni kidogo mkuu...
Wanataka kujitanua zaidi ndiyo maana wameomba pesa ya mtaji.
 
TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake


pic+ttcl.jpg


Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.

Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.

Source: Mwananchi

Hivi hiyo karibu trillion 2 si wanaanzisha shirika jingine jipya la simu.

Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.

Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.

Kwa utawala huu wa maigizo ya FUTUHI .......Usije ukashngaa ATCL wanatoa gawio kubwa kuliki TTCL.....! Jiwe anaweza akamwagiza mjomba Doto James wa Hazina akachota kitu kama 3B wakawaita wanahabari ktaka sifa za kipuuzi!
 
Ndio hoja yangu ilipo hawa walio kwenye maeneo yaliyo na signal nzuri awawezi ongezeka na kuna hata hizo jitihada?
Hicho ndiyo walichokuwa wakikifanya lakini imeonekana hakuta kuwa na ongezeko la wateja la maana.
 
Back
Top Bottom