- Thread starter
- #81
Asante.Mbona Tanesco ipo peke yake lakini hakuna Tofauti na TTCL? Acheni kutafuta sababu, mchawi ni CCM.
Asante.Mbona Tanesco ipo peke yake lakini hakuna Tofauti na TTCL? Acheni kutafuta sababu, mchawi ni CCM.
Omari Nundu ni telecoms engineer....was working huko Canada, JK akamtoa kumleta bongo....Huyu Omary Nundu bado yupoga tu, ma CCM bwana hawawezi maisha tofauti na kujipachika kwenye taasisi za serikali na kuiba iba.
TZS 1.7 Trillion kwa ajiri ya kuboresha huduma za simu za mezani. Nani anatumia simu za mezani siku hizi? Yaani tutumie 1.7 Trillion kwenye obsolete life style? ndio ma strategists wa TTCL hawa?
Mi nilidhani wanaomba hela kwa ajiri ya 5G Technology?
Shirika halijaimarika unatoa gawio la nini badala ya kuliimarisha unaomba nini sasa?nyie wasomi nyie empty upstair bure kabisa. Kwanini msiseme ukweli hakuna gawio tunaboresha shirika.
CPA nyingi ni vilaza mkuu....hasa hizi CPA za vijana wa sasa ndiyo bure kabisa...TTCL Bwana sijajua kama kuna wahasibu wenye CPA
TTCL Bwana sijajua kama kuna wahasibu wenye CPA
Mahakama ya mafisadi inafanya nini...?Sasa kama kulikuwa na viongozi wa serikali waliofanya juu chini kuiua TTCL ili makampuni ya nje waliyoyaleta yafanikiwe, unategemea itashindana vipi?
Omari Nundu ni telecoms engineer....was working huko Canada, JK akamtoa kumleta bongo....
Unfortunately siasa za majitaka zimemshinda...
Anyways....wanatoa gawio wakati wana shida ya mtaji....holy crap.
Telecommunication market share in Tanzania
Vodacom 32%
TIGO 27.6%
Airtel 27.1%
Halotel 9.5% (hawa wana miaka mitatu tu tangu waanze kufanya operation Tanzania)
TTCL 1% of market share
TTCL wanawateja 429,735 kati yao 127,094 ni land lines ambapo kwa sasa ni (0.4%) of telecommunication in Tanzania na wao ndio wana monopoly.
Source https://www.tanzaniainvest.com/telecoms/telecom-penetration-2017
Haya Dar-Es-Salaam pekee kuna potential customers wangapi wakuwafungia land line na internet services?
Ni hivi hapo hakuna mfanyabiashara ni watu hawa hawa mwaka jana walikuwa wanalilia wapewe Airtel na wateja wao, leo wamekuja na kilio kingine cha kupewa mtaji tsh 1.7 trillion.
Kampuni yenyewe kumbe katika mapato ya zaidi ya billion 160 baada ya makelele yote net profit ni tsh billion 8 tu nyingine zote zinarudi kama gharama ya kuendesha shirika, Halafu mkurugenzi anajisifu kuajiri watu wengi kushinda wengine hao watu wanafanyanini kwenye kampuni yenye smallest market share and smallest profit.
Hawa watu awajaweza ata utilise monopoly waliyonayo katika baadhi ya mikoa kwa sababu ya kukosa ubunifu kuwapa hizo ni kucheza na hela za walipa kodi; hakuna mfanyabiashara hapo.
Kuna sheria inayozuia makampuni binafsi kusambaza umeme Tanzania.Mbona Tanesco ipo peke yake lakini hakuna Tofauti na TTCL? Acheni kutafuta sababu, mchawi ni CCM.
Unafikiri waliokuwa wanafanya hivyo hawakufikiria jinsi ya kujilinda kisheria?Mahakama ya mafisadi inafanya nini...?
Kwani wanakodisha hiyo minara bure? TTCL imekuwa ikilipa milioni 700 - 800 kwa mwezi kutumia minara ya watu binafsi, huoni kuwa hiyo ni liability?Uweke minara wakati makampuni binafsi yabinafsisha minara, hii idea ya kuvamia biashara ambazo hatuzijui zinawaumiza watoto wenu hawataishi kamwe waajiriwe, leo hii simu penetration ni zaidi y 90% sasa unataka TTCL wa duplicate investment isiyo na shida wakati hata dawa hatuna stupid
Excuses, excuses, excuses.... tangu 1961 ni lichama hilo hilo na serikali ya hao hao......[emoji2][emoji2][emoji2]Kuna sheria inayozuia makampuni binafsi kusambaza umeme Tanzania.
Unafikiri waliokuwa wanafanya hivyo hawakufikiria jinsi ya kujilinda kisheria?
Kwani wanakodisha hiyo minara bure? TTCL imekuwa ikilipa milioni 700 - 800 kwa mwezi kutumia minara ya watu binafsi, huoni kuwa hiyo ni liability?
Agreed....Hii mambo ya Nundu kama Board Chairperdon na CEO wa TTCL ni maigizo ya KISIASA tu...! Remember Nundu anataka kurudi Serikalini/Siasa kupitia TTCL. CEO naye mwaka 2015 aligombea Ubunge Kinondoni nasikia kura haxikutosha....!
Hivo hawa jamaa wanataka au wanaitumia TTCL kama mtaji wa kisiasa tu..!
Ntakuwa mtu wa.mwisho kushangaa kama hawa wawili hawatakuwemo kwenya Baraza la Mawaziri baada ya Uchaguzi Mkuu 2020!!
Hamna porojo hapo.Excuses, excuses, excuses.... tangu 1961 ni lichama hilo hilo na serikali ya hao hao......[emoji2][emoji2][emoji2]
Kama wanatoa gawio tajwa ni kwamba wana pata faida, warudishe gawio hilo kwenye matumizi badala ya kulitoa na kurudi kuomba.Sasa kama kulikuwa na viongozi wa serikali waliofanya juu chini kuiua TTCL ili makampuni ya nje waliyoyaleta yafanikiwe, unategemea itashindana vipi?
Ndo watumie hiyo pesa wanayo igawa kujengea minara taratibu taratibu.Huoni kuwa uongozi mpya chini ya Omary Nundu TTCL inafanya vizuri na ikiweza kuweka minara nchi nzima itaweza kuhimili vishindo vya akina vodacom?
Kwani wakati TTCL inafanyiwa sabotage ili vodacom iteke soko unafikiri walifanya taratibu?Ndo watumie hiyo pesa wanayo igawa kujengea minara taratibu taratibu.
Wanatakiwa kisheria kutoa gawio.Kama wanatoa gawio tajwa ni kwamba wana pata faida, warudishe gawio hilo kwenye matumizi badala ya kulitoa na kurudi kuomba.
Hivi inakuingia akilini kabisa kwamba wakupe gawio la elfu 50 kisha wakuombe mtaji wa laki 5????.....by the way, unaelewa mahana ya gawio??????.Kwani wakati TTCL inafanyiwa sabotage ili vodacom iteke soko unafikiri walifanya taratibu?
Wanatakiwa kisheria kutoa gawio.