TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

Gawio wanaotoa TTCL siyo kwamba wamepata faida hapana. Ni lazima watoe hilo gawio sababu serikali imewapa ku run mkongo wa taifa on behalf. Kwahiyo pesa wanayozalisha lazima wawape serikali.
 
Nilidhani hii post ni ya nyuma huko,kumbe ni ya Leo na ndo risala ilosomwa haahaa inashangaza kwa kweli....
 
Ukweli unaanza kujulikana sasa wametoa gawio hata hatujasahau kumbe mpo hoi aisee TTCL nadhani ni kichaka kingine cha kupigia kama ilivyokua Tanesco ambayo imeinuliwa na makato ya REA kwa wateja wake...
 
Unamnunulia lunch boss wako halafu unamwomba akuongezee mshahara 😂😂😂
 
Huyu Omary Nundu bado yupoga tu, ma CCM bwana hawawezi maisha tofauti na kujipachika kwenye taasisi za serikali na kuiba iba.

TZS 1.7 Trillion kwa ajiri ya kuboresha huduma za simu za mezani. Nani anatumia simu za mezani siku hizi? Yaani tutumie 1.7 Trillion kwenye obsolete life style? ndio ma strategists wa TTCL hawa?

Mi nilidhani wanaomba hela kwa ajiri ya 5G Technology?
Ukizoea maisha ya ajira, ni sawa na kuzoea kufanya NGOs, huwezi toka nje ya mfumo huo akili imezoea.
 
Purely contradiction. Njia ya mwongo ni fupi
TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake

pic+ttcl.jpg

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.

Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.

Source: Mwananchi

Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.

Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.
 
Ttcl haina tofauti na mluguru anayepeleka mihogo yake kwa mchoma mihogo kisha anainunua tens ikishachomwa na kumsifia mchomaji kuwa mihogo yake ni mitamu ajabu ilihali kamuuzia mwenyewe!
Mnagawa kwa mkono wa kulia na hapohapo mnanyyosha Wa kushoto kuomba zaidi ya mlizogawa!
Shirika hili ni bora lingefutiliwa mbali na kazi zake zikabidhiwe kwa tcra! Halina akili wala maana kabisa ya kuwepo!
 
TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake

pic+ttcl.jpg

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.

Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.

Source: Mwananchi

Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.

Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.
Utasikia watu wanasema Mdude anatumia lugha kali kukosoa....Hv mtu km huyu anayefanya ukomedy kwenye sereous issues ambiwe nn
 
Gawio wanaotoa TTCL siyo kwamba wamepata faida hapana. Ni lazima watoe hilo gawio sababu serikali imewapa ku run mkongo wa taifa on behalf. Kwahiyo pesa wanayozalisha lazima wawape serikali.
Au unamaanisha wanatoa kwa ajiri ya kupiga picha na kudanganya wananchi kwamba wakati wa Urais wa Magufuri Mashirika ya UMMA ufanisi uliongezeka kiasi cha kutengeneza faida na kuipatia serikali gawiwo.

Watupatie swift message ya Funds Transfer waliyofanya, kama sio unavyomaanisha.
 
TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake

pic+ttcl.jpg

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.

Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.

Source: Mwananchi

Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.

Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
 
TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake

pic+ttcl.jpg

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.

Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.

Source: Mwananchi

Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.

Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.

Hii kampuni ina faida gani kwa nchi. Kwani kuna shida ya simu🤔 wakati ujengaji wa barabara nyingine unasimama kwa uhaba wa pesa tutoe pesa kwa kampuni ya simu ambayo sio tatizo la nchi kwa sasa.
 
Huoni kuwa uongozi mpya chini ya Omary Nundu TTCL inafanya vizuri na ikiweza kuweka minara nchi nzima itaweza kuhimili vishindo vya akina vodacom?
Uweke minara wakati makampuni binafsi yabinafsisha minara, hii idea ya kuvamia biashara ambazo hatuzijui zinawaumiza watoto wenu hawataishi kamwe waajiriwe, leo hii simu penetration ni zaidi y 90% sasa unataka TTCL wa duplicate investment isiyo na shida wakati hata dawa hatuna stupid
 
Somebody must ensure the public money is spent on the issues relevant to the business intended. Haya mashirika yamekuwa kama ngo'mbe wa maziwa kwa corrupt officials
 
Back
Top Bottom