TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

Sijasema ni gawio ni kodi nilichosema ni kuwa mashirika ya umma yanatakiwa kutoa gawio kisheria kama vile tunavyotakiwa kulipa kodi kisheria.
Ungelikuwa wewe ndio mkurugenzi faida yako ni sh 8 billion una market share ya 1%-3% na strategy yako ni kukuwa kwa kuongeza idadi ya wateja.

Hiyo sh billoni 2 unadhani ina manufaa kuitumia kwenye promotional and marketing campaigns za kuvutia wateja wale ambao unaweza wafikia kwa sasa au kumpa serikari ambae nayeye anataka kuona unakuwa?

Ni hivi biashara sio politics mwisho wa siku kama wewe ndio serikari unataka kuona wanakuwa na kurudisha faida iliyonona kuwatetea hao watu ni kuwadumaza kiakili ata sehemu kubwa ya hotuba ya mkurugenzi imejaa wimbo wa mapambio kwa raisi kushinda malengo ya kibiashara.

Nyota njema uonekana asubuhi kama tu walichonacho hakuna jitihada zozote za kukitumia to the maximum kwa malengo ya kupata wateja walio kwenye range kwanini udhani wakiongezewa mtaji watabadilika.

Ni hivi kwa management ile kupeleka pesa za walipa kodi in reality ni kuwanyima watanzania wengine huduma muhimu ambazo serikari ina jukumu la kuziboresha pia.

Hawa wanatakiwa wapewe targets kwanza wanazoweza kufikia kutokana na resource capability walizo nazo kuona kama kuna weledi wa biashara kabla ya kuanza kuwafikiria mbeleni. Ingelikuwa mimi ndio serikari ningewata wafikie hata wateja milllion moja kwanza surely wanaweza wapata hao kupitia mijini ukijumlisha mikoa yote.

Ndiyo haya ya ATCL miaka nenda miaka rudi tuwe na ndege zetu, sijui tunaletewa ndege mbovu kila siku zinaharibika ndio maana sio reliable etc. Matokeo yake wameletewa ndege mpya tena model za kileo za kumwaga zimeishia kupaki kumbe tatizo alikuwa kukosekana kwa ndege tu bali na uwezo pia wa kufanya hiyo biashara.
 
Haya endeleeni kutoa pesa mfuko wa kuskoto na kuzipeleka kwenye mfuko wa kulia.
 
Ungelikuwa wewe ndio mkurugenzi faida yako ni sh 8 billion una market share ya 1%-3% na strategy yako ni kukuwa kwa kuongeza idadi ya wateja.

Hiyo sh billoni 2 unadhani ina manufaa kuitumia kwenye promotional and marketing campaigns za kuvutia wateja wale ambao unaweza wafikia kwa sasa au kumpa serikari ambae nayeye anataka kuona unakuwa?
Utafanyaje marketing campaign wakati huna miundombinu ya kutoa huduma, ukipata wateja lukuki huku huwezi kuwahudumia si utaua brand.
Ni hivi biashara sio politics mwisho wa siku kama wewe ndio serikari unataka kuona wanakuwa na kurudisha faida iliyonona kuwatetea hao watu ni kuwadumaza kiakili ata sehemu kubwa ya hotuba ya mkurugenzi imejaa wimbo wa mapambio kwa raisi kushinda malengo ya kibiashara.
Wakati Airtel inauza minara ya TTCL haikuwa politcs?
Nyota njema uonekana asubuhi kama tu walichonacho hakuna jitihada zozote za kukitumia to the maximum kwa malengo ya kupata wateja walio kwenye range kwanini udhani wakiongezewa mtaji watabadilika.
Uko sawa kabisa nyota njema huonekana asubuhi, faida ndogo TTCL inayotengeneza sasa baada ya kupata hasara kwa miaka 15 ni dalili nzuri.
Ni hivi kwa management ile kupeleka pesa za walipa kodi in reality ni kuwanyima watanzania wengine huduma muhimu ambazo serikari ina jukumu la kuziboresha pia.
Wakati TTCL inararuliwa vipande vipande na Celtel/Airtel mbona hukuumia kuona pesa za walipa kodi zikiiibwa?
Hawa wanatakiwa wapewe targets kwanza wanazoweza kufikia kutokana na resource capability walizo nazo kuona kama kuna weledi wa biashara kabla ya kuanza kuwafikiria mbeleni. Ingelikuwa mimi ndio serikari ningewata wafikie hata wateja milllion moja kwanza surely wanaweza wapata hao kupitia mijini ukijumlisha mikoa yote.
Unaambiwa minara zaidi ya 1300 iliuzwa na Airtel hao wateja watawezaje kupata signal?
Ndiyo haya ya ATCL miaka nenda miaka rudi tuwe na ndege zetu, sijui tunaletewa ndege mbovu kila siku zinaharibika ndio maana sio reliable etc. Matokeo yake wameletewa ndege mpya tena model za kileo za kumwaga zimeishia kupaki kumbe tatizo alikuwa kukosekana kwa ndege tu bali na uwezo pia wa kufanya hiyo biashara.
Ndege zimepaki wapi wakati kila siku kuna flights kutoka JNIA?
 
Utafanyaje marketing campaign wakati huna miundombinu ya kutoa huduma, ukipata wateja lukuki huku huwezi kuwahudumia si utaua brand.

Wakati Airtel inauza minara ya TTCL haikuwa politcs?

Uko sawa kabisa nyota njema huonekana asubuhi, faida ndogo TTCL inayotengeneza sasa baada ya kupata hasara kwa miaka 15 ni dalili nzuri.

Wakati TTCL inararuliwa vipande vipande na Celtel/Airtel mbona hukuumia kuona pesa za walipa kodi zikiiibwa?

Unaambiwa minara zaidi ya 1300 iliuzwa na Airtel hao wateja watawezaje kupata signal?

Ndege zimepaki wapi wakati kila siku kuna flights kutoka JNIA?
Hao waliopo wanafikiwa vipi? na unataka kusema awawezi ongezeka kwa sababu ya limitations za miundo mbinu?
 
Watu huwa wanatembea tembea sasa kuna sehemu nyingi wanakosa coverage na ndicho watumiaji wa TTCL wanacholalamika ila kwa sehemu wanazopata signal huwa wanafurahia sana huduma hiyo.
 
OK naelewa kuna changamoto za miundo mbinu lakini kwa iliyopo sasa awawezi ongeza idadi ya wateja kufikia ata million 1 tu?
 
TTCL kwa kukosa miundombinu wanabaki na hao hao wateja wanaopata coverage (yaani wamesha exhaust all options) hata wakifanya guerilla marketing ya aina gani bado hawataweza kuongeza idadi ya wateja kwakuwa coverage haipo.
 
OK hao waliopo wanaishi wapi na wanapatiwa huduma vipi?

Maana kwenye hoja yako ni sawa na kusema basi linapoleka abiria morogoro huku likibakiza nusu ya viti vyake vitupu, aliwezi jaza abiria ata wafanyaje.
 
Watakuwa maeneo yenye signal nzuri.
Maana kwenye hoja yako ni sawa na kusema basi linapoleka abiria morogoro huku likibakiza nusu ya viti vyake vitupu, aliwezi jaza abiria ata wafanyaje.
Kwa kutumia mfano wako, fikiria kuna abiria wengi sana njiani kati ya Dar na Morogoro tatizo ni kuwa, abiria hao wako nje kidogo ya barababra kuu, kuwafikia (ili kujaza basi) inabidi kufanyike utaratibu wa kuwafata na kuwaleta kwenye barabara kuu. Sasa huo utaratibu ndiyo uwekezaji wa miundombinu ya minara unaohitajika TTCL
 
TTCL kwa kukosa miundombinu wanabaki na hao hao wateja wanaopata coverage (yaani wamesha exhaust all options) hata wakifanya guerilla marketing ya aina gani bado hawataweza kuongeza idadi ya wateja kwakuwa coverage haipo.
Tatizo la TCCL wameweka siasa katika kufanya biashara. Ukiwa na huduma nzuri utapata wateja hata kama hauna miundombinu ya kutosha. TCCL huduma mbovu wala usiwatetee. Wananchi wangapi wanalaini za TCCL? Wanaoutumia TCCL ni kwa ajili ya Internet.
TCCL huduma mbovu. Mimi wala sifikirii kuwa na laini ya TCCL mpaka keshokutwa. Vocha zenyewe ni shida
Najua utakuwa miongoni mwa wanaccm lkn hilo shirika ni tawi la CCM linalofanya kazi kumfurahisha mwenyekiti wao. Hilo shirika ni miongoni mwa mashirika ovyo sana ambayo hayajawahi kutokea katika zama hizi.
Halotel wamekuja juzi lakini kwa sasa Halotel anamzidi hata Airtel na huwezi kuilinganisha Halotel na takataka TTCL
 
TTCL wanaakili wanamzuga na gawio alafu wanaomba parefu zaidi washamwona ana midadi atatangaza chapu bila hata kujadili na washauri wake.
Katika hali ya kawaida huwezi kugawana faida wakati uwekezaji zaidi unahitajika,unawekeza kiasi kwa kubalansi cha kugawana mnagawana. Ila ukotaka mjaza MTU upepo unampa mia tano alafu unamwomba buku.
 
kilichofanyika kwene gawio ni watu kulinda vibarua vyao
ki uhalisia hali ni mbaya ya shirika
 
Very very shame! Halafu wanahitaji trl.1.7 wakati wametoa gawio.....
Mimi kwanza nlijiuliza hiyo faida ya harakaharaka hivo wameitoa wapi mpka kutoa gawio?? Nikaona hapa jiwe kacheza kamchezo hapa...
 
Sasa kama kulikuwa na viongozi wa serikali waliofanya juu chini kuiua TTCL ili makampuni ya nje waliyoyaleta yafanikiwe, unategemea itashindana vipi?
Mkuu watu wanashangaa kampuni imepata faida mpaka kuweka kutoa gawio halafu inaomba hela tena hukohuko ilikozipeleka!!! Tuweke mahaba pembeni kidogo mkuu...
 
Back
Top Bottom