Akili yetu Watz ni Mungu tu anayeijua!
Wakati washindani wao akina Voda, Tigo nk wanaitafuta hiyo pesa usiku na mchana kutoka kwa wateja wao TTCL wanaomba kwa serikali ambapo hizo pesa ni kodi za washindani wao. Lakini kwenye gawio hawaiombi serikali "kuwapa pesa ya kutoa gawio kwa serikali"!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwani gawio ni Tsh ngapi na kilichoombwa ni Tsh ngapi?
huu unaitwa ushamba
Vizuri, hao viongozi ni akina nani na unaamini hivi tunavyoongea hawapo tena kwenye mfumo wa maamuzi!?Sasa kama kulikuwa na viongozi wa serikali waliofanya juu chini kuiua TTCL ili makampuni ya nje waliyoyaleta yafanikiwe, unategemea itashindana vipi?
Huyu Omary Nundu bado yupoga tu, ma CCM bwana hawawezi maisha tofauti na kujipachika kwenye taasisi za serikali na kuiba iba.
TZS 1.7 Trillion kwa ajiri ya kuboresha huduma za simu za mezani. Nani anatumia simu za mezani siku hizi? Yaani tutumie 1.7 Trillion kwenye obsolete life style? ndio ma strategists wa TTCL hawa?
Mi nilidhani wanaomba hela kwa ajiri ya 5G Technology?
Nimekusoma.= ajili
Mbona unaipenda sana "ajiri" au unataka kuajiri? Au unatafuta ajira?
TTCL Bwana sijajua kama kuna wahasibu wenye CPA
Huoni kuwa uongozi mpya chini ya Omary Nundu TTCL inafanya vizuri na ikiweza kuweka minara nchi nzima itaweza kuhimili vishindo vya akina vodacom?Hoja hapa ni kwa njia gani tunazozitumia ili kampuni yetu iweze kuhimili vishindo mkuu lakini kwa hizi ruzuku daima zinaishia mifukoni mwa mafisi.
Wakikujibu nitagsasa haina fedha na hilo gawaio imepeta wapi.
Cha kustaajabishaWamegawa wakati wanahitaj?
Kwani hawa ttcl wanataka trillioni 1.7 wanataka kulunch satelite yao huko angani au maana sijaelewa bado..TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake
![]()
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.
Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.
Source: Mwananchi
Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.
Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.
Tusipoteze pesa zetu kwa hilo shirika linaloendeshwa kisiasa,tunataka tuumie mara ngapi?TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake
![]()
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.
Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.
Source: Mwananchi
Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.
Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.
Hapo kuna tatizo unaombawanahitaji hicho kiasi cha pesa kutoka kwa nani tena wakati huu ni mwaka wa pili mfululizo wao kuigawia serekali yetu pendwa?