Ttcl kuzindua 4.5G

Ttcl kuzindua 4.5G

Sio Kwamba wanatoa 4G services tu hata 3G service kwa wakazi wa DSM ipo!

Kwa kweli napenda Sana speed ya TTCL kwa sasa nilikua nawakandia ila kwa sasa wako
kamili kabisa!

100%

View attachment 425847
me nimenunua line yao lakini cha ajabu mpaka uweke kwenye simu yenye uwezo wa 4g then ndio utatumia 3g kawaida!!!
 
Vocha tu kuzipata ni baadhi ya sehem na sehemu wajitahid kuboresha kila kitu
 
Hii mitandao yetu ingefanya la maana kama wangeboresha hizi internet zao za 3g kwanza ili sehemu zote speed ifike atleast 1MB/s. Maana hapa nilipo tu airtel 3g inanipa 40KB/s hii ni 3g hspa or 2g?
mkuu mtandao wa simu ni ngumu kuuboresha, hapo unapopata 40KB/s zinaweza hama familia kadhaa speed ikapanda ukapata 1MBps. ni miundombinu ya mobile data ilivyo na speed yake munashare. mpaka uwe na internet za majumbani kama broadband ndio utapata speed ya uhakika. sasa hivi ni kuhama tu mtandao wenye watu wachache eneo lako
 
NDUKI BROADBAND ni hatar Nduki kweli kwa watu binafsi haikufai ila kama una matumiz makubwa au kwa ofisi ni nzuri sana na wateja wao wengi ni Banks na Taasisi kubwa tu,mtu binafsi kwa matumizi lazma uone gharama kubwa compared na matumiz yako
 
mkuu mtandao wa simu ni ngumu kuuboresha, hapo unapopata 40KB/s zinaweza hama familia kadhaa speed ikapanda ukapata 1MBps. ni miundombinu ya mobile data ilivyo na speed yake munashare. mpaka uwe na internet za majumbani kama broadband ndio utapata speed ya uhakika. sasa hivi ni kuhama tu mtandao wenye watu wachache eneo lako
Kama watu wanaongezeka na infrastructure wanabidi waongeze kumudu idadi ya watu.
 
Sio Kwamba wanatoa 4G services tu hata 3G service kwa wakazi wa DSM ipo!

Kwa kweli napenda Sana speed ya TTCL kwa sasa nilikua nawakandia ila kwa sasa wako
kamili kabisa!

100%

View attachment 425847
Mkuu hii hatari sana almost inakaribia 1GBps ila mkuu napata shida kwa sababu modem zao ni 150Mbps sasa wewe umepataje hiyo MB au unatumia wired connection? halafu mkuu hizo modem zao za 4G zitaendesha hiyo 4.5G yao au wataboresha hadware zao? halafu mkuu navyofahamu mimi flagship zote za simu zinishia 4G LTE sasa huko 4.5G sijawahi ona hizo simu.
 
broadband ndo hiyo wired connestion au ndio ipi wakuu naombeni mnieleweshe hapa.

Nimewahi kutumia internet ya ttcl kwa wire zao wallah hata uingie katikati ya bahari speed ni ile ile haibadiliki yani kubwa kinoma
 
Unachanganya Mkubwa 1GBps(One GigaByte per Second) sio kitu kidogo kama umavyokitamka labda ulikusudia 1Gbps(1 Gigabit per second).

Hiyo Speed nayopata mm natumia MiFi ya kawaida yenye 150Mbps Downlink na sio wired connection,Speed 6MB/sec au kwa maneno mengine 48Mbps sio ya kutisha sana.

Na si kweli kwamba flagship zote za simu zinaishia 4G LTE mimi simu yangu inasoma 4.5G kwa Tigo na Vodacom 4G

Angalia picha sehemu ya network

20161029_140958.png
 
broadband ndo hiyo wired connestion au ndio ipi wakuu naombeni mnieleweshe hapa.

Nimewahi kutumia internet ya ttcl kwa wire zao wallah hata uingie katikati ya bahari speed ni ile ile haibadiliki yani kubwa kinoma
wired connection ni aina ya broadband, kuna broadband nyingi kama
-satelite internet
-DSL ambayo ndio unapata ADSL na SDSL (ya ttcl ndio hii, hutumia nyaya za simu)
-fiber (mkonga wa taifa)
-cable modem (waya za tv)
-wireless etc
 
Unachanganya Mkubwa 1GBps(One GigaByte per Second) sio kitu kidogo kama umavyokitamka labda ulikusudia 1Gbps(1 Gigabit per second).

Hiyo Speed nayopata mm natumia MiFi ya kawaida yenye 150Mbps Downlink na sio wired connection,Speed 6MB/sec au kwa maneno mengine 48Mbps sio ya kutisha sana.

Na si kweli kwamba flagship zote za simu zinaishia 4G LTE mimi simu yangu inasoma 4.5G kwa Tigo na Vodacom 4G

Angalia pucha sehemu ya network

View attachment 426115
Nimekupata m kuu nilichanganya
 
wired connection ni aina ya broadband, kuna broadband nyingi kama
-satelite internet
-DSL ambayo ndio unapata ADSL na SDSL (ya ttcl ndio hii, hutumia nyaya za simu)
-fiber (mkonga wa taifa)
-cable modem (waya za tv)
-wireless etc
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom