Ttcl kuzindua 4.5G

utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
990
800
Kwa Majibu wa account yao ya instagram leo, kampuni ya simu ya Ttcl imekuwa kati ya makampuni machache Africa kuzindua hii 4.5G au LTE-Advanced Pro, Mlimani City leo. Yenye theoretical 1Gbps speeds sawa na speeds za Broadband/Adsl (Internet za waya)
f8f9175ca7248d8014f435ba24e10344.jpg

Mfano wa demonstration ya speeds ya 4.5g.

Kwa picha zaidi ya uzinduzi TTCL, Huawei wazinduwa huduma ya teknolojia ya 4.5G Tanzania | MTAA KWA MTAA BLOG
 
Mimi niulize tu, kwani hili shirika ni kwa ajili ya watu wa kawaida au makampuni makubwa ambayo kupitia hayo makampuni makubwa ndiyo watu wa kawaida tunanufaika??
Nmeuliza hivi kwani mimi pia nmewahi pewa kipeperushi chao
 
Sawa tumewasikia,maana nikisema kwamba HUDUMA ZAO BADO HAZIWAFIKII WALIO WENGI NITAONEKANA SIO MZALENDO.
Hamna Mkuu hata mimi mwenyewe mkazi wa Dar wanani kera.. Mnara wao kwetu Bar moja aifiki.. Nilivyo nunua line na wakanipa GB za bure nilibidi nitembee umbali wa nusu saa ndio 4g yao ikakubuli
 
4G yao imefika mikoa yote? Kwa hapa Dar yenyewe iko sehemu chache.
Je vocha zao ziko kila sehemu kama za mitandao mingine?
Kwa ushauri, TTCL wangetumia business plan ya Halotel. Bila ya kujipanga na kujua ni nini wateja wanahitaji wataendelea kuburuta mkia tu.
 
Mimi niulize tu, kwani hili shirika ni kwa ajili ya watu wa kawaida au makampuni makubwa ambayo kupitia hayo makampuni makubwa ndiyo watu wa kawaida tunanufaika??
Nmeuliza hivi kwani mimi pia nmewahi pewa kipeperushi chao
Wako pote pote kwa sasa wao ndio wana c
Simamia mkonge wa Taifa na hapo hapo kwa sasa kwa maeneo machache Dar es salaam wanatoa huduma za simu na Internet.
 
Wako pote pote kwa sasa wao ndio wana c
Simamia mkonge wa Taifa na hapo hapo kwa sasa kwa maeneo machache Dar es salaam wanatoa huduma za simu na Internet.

Asante kwa kunijulisha, je bado wako na kale kamchezo ka kuuza line na simu au naweza pata line pekee? Msaada tafadhali. Niliwahi sikia kuwa mfumo wa mawasiliano yao hauendani na hizi handset zetu. Technology yao iko juu, sina uhakika kwa hili
 
Ile ilikuwa zamani walivyokuwa chini ya Airtel walikuwa hawruhusiwi kushindana nao ndio maana wakawa wanatumia Technologia ya CDMA (unauziwa simu na line) lakini sasa serikali imenunua asilimia zote kwahiyo ingali una simu ya 4g unapata line yao bila shida
 
4G yao imefika mikoa yote? Kwa hapa Dar yenyewe iko sehemu chache.
Je vocha zao ziko kila sehemu kama za mitandao mingine?
Kwa ushauri, TTCL wangetumia business plan ya Halotel. Bila ya kujipanga na kujua ni nini wateja wanahitaji wataendelea kuburuta mkia tu.
Wsmekurupuka sana ni kweli wangeanza kama Halotel na kuweka minara kila kona ndio wawashe mtandao.

Lakini kwa sasa ni kama vile wapo kwenye testing na wana Dar ndio testers wao.
 
Mbwembwe tu, hawa jamaa kila siku wanafungua vipya lakini wateja wao unakuta ofisi chache tu ndani ya Dar.
Hadi siku walete true unlimited internet majumbani kwa affordable price ndo nitawachukulia serious, hii ya sasa hivi ya 2MBPs kwa 95K/month ni utani. Give me 1GBPs at home ndo tuendelee kuongea.
 
Hii mitandao yetu ingefanya la maana kama wangeboresha hizi internet zao za 3g kwanza ili sehemu zote speed ifike atleast 1MB/s. Maana hapa nilipo tu airtel 3g inanipa 40KB/s hii ni 3g hspa or 2g?
 
Ntaitafuta hiyo. Ila inakubali kwenye simu gani? Au hizi hizi za kawaida
Wenyewe kwenye account ya Facebook hawatoi Majibu lakini itakubali kwenye simu yoyote ya 4g lakini kuipata vizuri kama kweli watagonga speed za 300Mbps+ utaitaji simu yenye Lte cat 6 au lte cat 9
 
Mbwembwe tu, hawa jamaa kila siku wanafungua vipya lakini wateja wao unakuta ofisi chache tu ndani ya Dar.
Hadi siku walete true unlimited internet majumbani kwa affordable price ndo nitawachukulia serious, hii ya sasa hivi ya 2MBPs kwa 95K/month ni utani. Give me 1GBPs at home ndo tuendelee kuongea.
Nakubaliana na Weeee 100%, tumeshafika wakati Tanzania tuachane na hii tethering na simu na kuwa na reliable broadband speeds kwa bei rahisi.
 
Katika kampuni ambayo ilitakiwa itishe kwa unafuu na ubora wa huduma hapa TZ ni hii ya Ttcl ila kuna namna ya hujuma zinafanywa na viongozi wetu na wafanya kazi wasio waaminifu kuia hii kampuni aisee ili kuboost kampuny za mitandao binafsi kama halotell(familia ya braza msataafu)
 
TTcl ina nafasi kubwa sana ya kuwa mtandao bora kwenye Data kama wataamua kuwa kibiashara na kiushindani zaidi
 
Sio Kwamba wanatoa 4G services tu hata 3G service kwa wakazi wa DSM ipo!

Kwa kweli napenda Sana speed ya TTCL kwa sasa nilikua nawakandia ila kwa sasa wako
kamili kabisa!

100%

Screenshot_11.png
 
Back
Top Bottom