Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,542
- 23,859
Mimi ni mwanachuo hivyo ni mnufaika wa boom pack bundle kutoka TTCL. Nime renew lain, bundle la boom pack ikasitishwa nikajaribu kuwasiliana na customer care wakanijibu vibaya. Nipo Arumeru Arusha.