Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

mwaka 2005 nilikua jijini Mwanza nikimalizia Elimu yangu ya PSLE.

baada ya kupata Degree mwaka huo nikaondoka kwenda UDSM
 
Mwa huu ndio mwaka natoka kijijini kwa mara ya kwanza naenda mjini kusoma.
Ndio mwaka naanza kuona nguzo ya umeme.

Kwa nilivo kuwa nimesoma huko Nyuma, nilikuwa siwezi hata kusogelea nguzo ya umeme.
 
Wala sijasema msiwepo. jamii forums ni jukwaa la kila mtu. Nimetoa tu angalizo. Tuwe tunajibizana kwa hoja. Inafurahisha na kupendeza nikijibizana na mjumbe mwenzangu kwa hoja hata kama tuna tofauti ya umri! Na siyo nitukane tu kwa sababu sina uwezo wa kujenga/kumjibu mtu kwa hoja.
Matusi anaweza kutukana mtu wa umri wowote tu!!
Mtu mwenye miaka 28 hauwezi kusema huyo ni mtoto
 
Ndo maana Jf imekosa mvuto .kwamba 2004 unaanzs shule..Mbwilage be!
Umri wa member wa Jamii forum ndo unaleta mvuto wa hii forum,, sio hoja tena???
Au nyie wazee hmna hoja za kuendana na usasa

Basi wazee mtengewe jukwaa lenu ili muweze kupata mvuto mnaoutaka!!
 
All in all, huo mwaka 2004/2005 ndiyo miaka miwili ambayo niliishi maisha ya raha sana. Kwanza nilikuwa meneja wa Bar na lodge ya familia.

Nilikuwa nalipa mishahara (posho), na kubadilisha wahudumu kila baada ya mwezi mmoja! Na kila intake nilihakikisha nachagua kisu kikali kwa ajili ya meneja! (Sijui hata hawa mameneja wa siku hizi bado wanaendeleza huu upuuzi!!)

Hakika namshukuru Mungu mpaka sasa nipo salama.

ephen_ usisome tafadhali huu upuuzi wangu nilio ufanya miaka zaidi ya 20 iliyopita. Hivi sasa nimeokoka.
Nyie ndo watu mmefanya watoto wa 2000 Wawe wa hovyo! Afu mnakuja Tena kuwalaumu, 80s and ealy 90s they can't be parents
 
Back
Top Bottom