Dah now nimepunguza kidogo ,nina mpango wa kuacha kabisa🤔Hata kunywa beer ni moja ya kutimiza.. au mpka umiliki ghorofa ndo ujue umetimiza??
shibe mama shibela.Jamii forum is where we dare to talk openly!
Unapunguza shida nn na kwa Nini uache????Dah now nimepunguza kidogo ,nina mpango wa kuacha kabisa🤔
😅😅😅😅mbwa mwitu ndio niniUnapunguza shida nn na kwa Nini uache????
Hapa nilipo tu dada ako nina mbwa mwitu kwenye pochi.
Boss kaniita weka nukta.😅😅😅😅mbwa mwitu ndio nini
.Boss kaniita weka nukta.
Halafu inakuta linavimba kukutusi humu, fumbaf kabisaDuh huku tupo na madogo mno😅
Hili ni tatizo la pili la watu wazima wengi. "Ku assume kwamba vijana tu ndio wanafanya makosa, na kwamba inabidi wawasikilize watu wazima kila wanachosema"Hata syo kweli! Shida yenu kubwa nyinyi watoto mliojaa humu jukwaani, ni uwezo wenu mdogo wa kujenga hoja/uwezo wa kumjibu tu kwa hoja.
Mtu akitoa maoni yake humu jukwaani, muwe mnajibu kwa hoja na siyo kukimbilia kumtukana matusi ya nguoni/kumtweza utu wake as if hamkuzaliwa na kukuzwa kwenye maadili na wazazi/walezi wenu.
Kijana, wewe kubali tu sikio halizidi kichwa.Hili ni tatizo la pili la watu wazima wengi. "Ku assume kwamba vijana tu ndio wanafanya makosa, na kwamba inabidi wawasikilize watu wazima kila wanachosema"
Humu jukwaani hata watu wazima wanatukana wenzao, na kuna vijana wengi tu wenye busara. Busara haziangalii umri, tatizo Bongo mnataka kutuaminisha eti waliotangulia kuja duniani wana busara kuliko sisi tuliochelewa. Mambo ya ajabu kabisa
Unaona sasa. Hiyo ndio shida yenu, halafu baadae mnashangaa kwa nini vijana hawawaheshimuKijana, wewe kubali tu sikio halizidi kichwa.
Dogo kabisa.Kumbe dogo huyu
Thubutuuuu!2008
Nimekazidi😅Thubutuuuu!
Haiwezekani hata kwa bahati mbaya. Mie chuo nimehitimu 1999.Nimekazidi😅
Nilikuwa shambani na mzee wangu tunapalilia pambaMimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelingsView attachment 3447714
View attachment 3447711
View attachment 3447712
Kumbe mtoto wa juzi kabisa weweMimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelingsView attachment 3447714
View attachment 3447711
View attachment 3447712