Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

All in all, huo mwaka 2004/2005 ndiyo miaka miwili ambayo niliishi maisha ya raha sana. Kwanza nilikuwa meneja wa Bar na lodge ya familia.

Nilikuwa nalipa mishahara (posho), na kubadilisha wahudumu kila baada ya mwezi mmoja! Na kila intake nilihakikisha nachagua kisu kikali kwa ajili ya meneja! (Sijui hata hawa mameneja wa siku hizi bado wanaendeleza huu upuuzi!!)

Hakika namshukuru Mungu mpaka sasa nipo salama.

ephen_ usisome tafadhali huu upuuzi wangu nilio ufanya miaka zaidi ya 20 iliyopita. Hivi sasa nimeokoka.
 
Umeandika nini mbona sioni?😂
 
Sawa, mjinga mimi ambae nilikupa uvulana wangu, ukanichezea wee, sasa 🥒, limeanza kuisha mguvu unaniona sifai
😂🤣
🤣🤣🤣 kwani wapi nimesema hufai jamani!! Acha kunisingizia.
 
Back
Top Bottom