Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Tatizo watu wazima wanapenda kuact kama vile peke yao ndio wapo smart. Kumbe la hasha. Even fools get old
Hata syo kweli! Shida yenu kubwa nyinyi watoto mliojaa humu jukwaani, ni uwezo wenu mdogo wa kujenga hoja/uwezo wa kumjibu tu kwa hoja.

Mtu akitoa maoni yake humu jukwaani, muwe mnajibu kwa hoja na siyo kukimbilia kumtukana matusi ya nguoni/kumtweza utu wake as if hamkuzaliwa na kukuzwa kwenye maadili na wazazi/walezi wenu.
 
Achilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
Tulia mzee umri ni namba tu
Akili ndio inamatter
 
Miaka miwili baada ya kumaliza elimu ya msingi, muda haungoji aisee!
Mwaka huo nilikuwa morogoro nilifuatia kwa ukamilifu kabisa, Bbc Cnn ndio ilikua tv pendwa za ulaya zilizo tupa update zote za tsunami.
Dah .. inawezena kipindi hicho hizo tv channels zilikuwa za moto sana kwenye habari za kimataifa..
 
Kwahyo mlitaka wawepo wazee tu?!
Hivi mtu miaka 28 Ni mtoto huyo!

Kweli 70s and 80s they can't be parents ndo walio haribu watoto wa 2000
Wala sijasema msiwepo. jamii forums ni jukwaa la kila mtu. Nimetoa tu angalizo. Tuwe tunajibizana kwa hoja. Inafurahisha na kupendeza nikijibizana na mjumbe mwenzangu kwa hoja hata kama tuna tofauti ya umri! Na siyo nitukane tu kwa sababu sina uwezo wa kujenga/kumjibu mtu kwa hoja.
 
Kama nisingeweza kuutunza uvulana wangu vizuri, na kuanza mchezo mibaya mapema, basi ningekuwa na mtoto kama wewe 🤣😂

Nashukuru nilimtunzia uvulana wangu, mai waifu kipenzi Atoto
😂🤣
 
Back
Top Bottom