Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,088
Reaction score
20,355
Mimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelings
Sumatra-tsunami-amplitude-map-with-travel-time-shown-by-contours-in-30-min-time-interval.jpg

RayC_milele.jpg

Toni_Braxton_-_The_Heat.png
 

Attachments

  • Sumatra-tsunami-amplitude-map-with-travel-time-shown-by-contours-in-30-min-time-interval.jpg
    Sumatra-tsunami-amplitude-map-with-travel-time-shown-by-contours-in-30-min-time-interval.jpg
    110.3 KB · Views: 27
Kwahyo mlitaka wawepo wazee tu?!
Hivi mtu miaka 28 Ni mtoto huyo!

Kweli 70s and 80s they can't be parents ndo walio haribu watoto wa 2000
Achilia madogo! Mpaka watoto na wajukuu zetu tupo nao humu. Ila adabu ndiyo hawana. Akianza kukutukana mtu mzima tena bila ya sababu za msingi, utatamani upate access ya kupata taarifa zake ili umtafute na kumpiga risasi ya kichwa.
 
Back
Top Bottom