Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Mimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelingsView attachment 3447714
View attachment 3447711
View attachment 3447712
Nilikuwa darasa la nne.
Hapo kwenye Tv taarifa za habari za kiingereza. Ikionesha tukio na chini maandishi yanasomeka ASIA basi mi nikawa najua “Asia” ni jina la mtangazaji aliyekuwa akiisoma hiyo taarifa na ukizingatia ni wa kike.
 
Nilikuwa sista duu mmoja.... Hapo nina mambo mengi ni full kusafiri huku napambania kumfanya modelling.
Nakumbuka nilifanikiwa kutoka kwenye gazeti la bang ile page ya katikati!!!!!!

Nakumbuka Kuna sehemu flani hivi masista duu wa miaka hiyo tulikuwa tunaenda kula burger...
Basi wakaka wote wa mujini na wadada ndio ilikuwa makutano junction...
leo dada shikamoo da mkubwa😊
 
Back
Top Bottom