min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,248
- 177,237
Mkuu madogo itakua wanakupandisha sukari sana😅Wala sijasema msiwepo. jamii forums ni jukwaa la kila mtu. Nimetoa tu angalizo. Tuwe tunajibizana kwa hoja. Inafurahisha na kupendeza nikijibizana na mjumbe mwenzangu kwa hoja hata kama tuna tofauti ya umri! Na siyo nitukane tu kwa sababu sina uwezo wa kujenga/kumjibu mtu kwa hoja.