mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Aisee kipindi icho ndo namaliza chuo kikuu na naanza kazi serikalini aisee humu bado watoto sana kiukweli
Na uvae sweta wakati huu, baridi haipendi wazee.Kwahio wakati najiunga JF huyu mleta Mada alikua hana miaka 10? Aagh itabidi nianze kupunguza matumizi ya chumvi
Udom ilianzishwa 2007 ujue 😅Mwaka gani?
Kumbe dogo huyuHuyo huo mwaka hata hajazaliwa.
Kabisa kaka😅Kwahio wakati najiunga JF huyu mleta Mada alikua hana miaka 10? Aagh itabidi nianze kupunguza matumizi ya chumvi
Basi nimekufananisha samahani.....Hahaha naandikaje kwani? Mimi nimesoma udom
Hahaha kwaniniKumbe dogo huyu
2007 mwezi wa 6 ndio naanza kazi mwenzio.Hahaha kwanini
Kumbe mimi nina masihara sana😭Basi nimekufananisha samahani.....
Kuna mwamba ana masihara sana yaani na huwa namwambia kama nakufananisha hivi huko mitaa ya jf.....
Jibu swali🤣Udom ilianzishwa 2007 ujue 😅
Mhmm dada shikamoo ila mimi chuo nimeanza 20082007 mwezi wa 6 ndio naanza kazi mwenzio.
2008Jibu swali🤣
Duh umri wa Binti yanguMimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelingsView attachment 3447714
View attachment 3447711
View attachment 3447712
Sio mbaya muhimu kutimiza uliyoyatarajia.Mhmm dada shikamoo ila mimi chuo nimeanza 2008
Kuna watoto wana miaka 45 na hawajahama kwa wazazi wao bado.Mtu mwenyew miaka 28 unasema mtoto? Are you serious???
HahahaDuh huku tupo na madogo mno😅
Hata natimiza basi?😭Sio mbaya muhimu kutimiza uliyoyatarajia.
Eeeh¡¡Kumbe mimi nina masihara sana😭
Hata kunywa beer ni moja ya kutimiza.. au mpka umiliki ghorofa ndo ujue umetimiza??Hata natimiza basi?😭