Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

Juzi tu hapo.
Ipo ile ya miaka ya tisini was Elinino eti eeh ?
Umenikumbusha mbali sana Elnino nilikuwa chekechea ilileta balaa sana pale mtaani mapaa ya nyumba yaliezuliwa kama karatasi tu.na sunami ya 2004 nilikuwa standard 7 madhara makubwa sana yalikuwa Philippines nadhani.
 
Back
Top Bottom