unakumbuka nini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu mgomo wa madaktari mwaka 2012?

    Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi hicho Dr. Jakaya Marisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mzee wa “utapigwa tu”), issue ambayo ilipelekea chama...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Je, unakumbuka nini ulivyokuwa unasoma hasa kwenye presentation, Imepekelea baadhi ya hotuba za viongozi kuwa na sintofahamu

    Natumaini muwazima wote. Kwa wale ambao wanachangamoto za kiafya, kiuchumi na nk. Mungu afanye njia kila Mtu awe kwenye hali anaipenda. Twende kwenye mada yeti. Leo nimekumbuka baadhi ya adha nilizopitia hasa kwenye presentation hii ni kutokana kufuatilia taarifa au hotuba za kiranja mkuu wa...
  3. The introvert

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukisikia jina la Adam Simbeye kwenye THIS WEEK IN PERSPECTIVE

    Leo kwenye urejeo wa fikra zangu nikapata kukumbuka kipindi maridhawa kilichokuwa kikiruka hewani kupitia chaneli ya TBC ,THIS WEEK IN PERSPECTIVE kikiongozwa na mtangazaji mahiri enzi hizo bwana Adam Simbeye. Mule kulikuwa na wazee wanachapa ngeli ya mambele kama wanakunywa supu ya kongoro tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale wasafiri wa zamani waliopita mlima Sekenke, unakumbuka nini?

    Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus likaanza kukata mlima. Kwakweli ilikuwa hali ya kutisha.
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TBT: Unakumbuka nini maeneo haya?

    Hapo pembeni karibu na jengo la Tanesco ndipo palikuwa stendi ya daladala ubungo. Wewe unakumbuka nini maeneo hayo?
  6. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu Radio Free Africa Mwanza, Hizi zilikuwa Enzi halisi za Kusikiliza RADIO

    Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali! Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania. Hapa tunawakumbuka watangazaji waliotikisa nchi na vipindi vilivyotupa utamu ambao watoto wa 2000 hawaufahamu kabisa 😄👇 Orodha ya...
  7. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tsunami ya mwaka 2004 unakumbuka nini na ulikuwa wapi?

    Mimi nakumbuka ndio mwaka uliofuata yaani 2005 naanza darasa la Kwanza rasmi.. ndio nakumbuka home kulikuwa na redio ya cassette tunasikiliza kanda ya Ray c na kibao chake cha "Na wewe Milele" pamoja na kanda ya Toni Braxton. Hakika tukio hilo la Tsunami limeniletea Nostalgic feelings
  8. Foffana

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini enzi za JKT?

    Habari zenu Wakuu Natumaini mnaendelea vyema kabisa.Leo nimeona tuweze kushare matukio au mambo ambayo tulikutana nayo tukiwa katika makambi ya JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kujitolea Tukio ambalo sitolisahau ni kwenye kambi X tukiwa tunapiga kozi yetu na ikiwa tayari ishachanganya kilikuwa...
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Bibi na babu yako bado wako hai? ni kipi unakipenda na kukikumbuka kuhusu wao?

Back
Top Bottom