Trust katika Mahusiano

Trust katika Mahusiano

Yaani unakuta wapenzi wanaongea kwa muda mrefu, wanaongelea kila kitu vya muhimu na visivyo muhimu
Ngoja niweke maana yake nisije kuichakachua bure

'A conversation in which two or more people talk for hours, discussing everything under the sun, and yet some of the topics were so random and pointless that it seems like they talked for hours about nothing.'
hapo sasa nimekuelewa saaaanaaaaaa.....
na hasa mkiwa wawili, mnaweza kupotezana humo humo kwenye maongezi (talking from experience, lol!)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unamwambia so what?

What if na kesho coincidentally mnakutana tena utamwambia?

Haya mambo mengine hana tija kabisa na nikutaka kuwaharibia wenzenu mood...

Na akishindwa kazi unaanza kumlaumu wakati wewe mwenyewe ndiye mchawi...

Naomba mtu asinambie mambo ambayo hayana tija na wala hayagusi uhusiano wetu...!

Babu DC!!
ndo maana hapo babu hata mimi nalipinga hilo, halina tija, hiyi ni kama mligongana tu njiani hakukuwa na mipango yoyote, sasa kwanza utaanzaje kusimulia? nimeomba mwongozo wa hilo simulizi hata sijapata
 
ha haaaa, nimekuelewa sana mtani. mimi pia sipendi uongo. nyumbani kwangu tunaambiana nataka kufanya hili, kama mwenzio hataki anakuambia usifanye na anakupa sababu kwa nini usifanye, mkielewana yanaishia hapo (itategemea nani atashinda katika maongezi yenu).
Mtu akinidanganya naona ananiona mimi mjinga, I can't think/ I don't understand...... yaani hawezi niambia kitu nikaelewa, ndo maana anaona dawa yake ni kunidanganya tu. I can stand mtu akinidanganya jambo lenye tija..... for God's sake husband hawezi niambia ukweli kuwa ana mpango wa kando, lazima adanganye.... nikimbamba kwa hilo nitaelewa kuwa hakupaswa kusema ukweli, alipaswa kunidanganya. hapo atasema kilichomsibu na kuomba msamaha.
cc. Kaizer, Dark City, Asprin, BAK, The Boss, KakaKiiza, Arushaone, Baba V

Nimekuja @FP, talk to me...
 
Last edited by a moderator:
Yaani umenichekesha sana na umenikumbusha habari ya nyumbani kwangu yaani mtot anakudanganya mpaka unajiuliza walinibadilishia nini nilipojifungua unatamani sijui hata umfanye nini tu. Kwangu mimi hii issue ya kupiga mswaki huyu wa mwisho bwana anaoga vizuri , sasa muulize je umepiga mswaki atasema ndio mama . Huwa namwita ili nimkague nakuta amenidanganya basi utamsomea hapo risala lkn akisahau anarudia tena sasa siku hizi kuna mkakati nimemuwekea akisema uongo tu hakuna kwenda kucheza. Naamini akikua ataacha nae ana mazuri yake mengi sana kiasi kwamba nampenda sana.
ha haaa, umenikumbusha wakati nasoma primary huko Mtakuja Primary school, kuna rafiki yangu wao kwao wakikosa wanapewa adhabu ya kuuza duka, lol! sisi kwetu ilikuwa fimbo/kwenda kukata kuni/kuchota maji/kufunga mbuzi.... wao kuuza duka.......hii dunia hii....
 
Nimekuja @FP, talk to me...
ha haaaa, kwanza salamu zako nyingi sana kwa snowhite, eti alikumiss sana....... na wewe anajua ulimmiss.
eti.... unadhani nikimwambia ukweli teja kuwa nina mpango wa kando naweza kesho yake onekana huku JF just sababu nilisema ukweli?
 
Last edited by a moderator:
ndo maana hapo babu hata mimi nalipinga hilo, halina tija, hiyi ni kama mligongana tu njiani hakukuwa na mipango yoyote, sasa kwanza utaanzaje kusimulia? nimeomba mwongozo wa hilo simulizi hata sijapata

Utaanza hivi...

wewe:'honey..guess what'
yeye: 'what babe?'
wewe:'basi yesterday wakati narudi nyumbani pale karibu na dukani kwa Meku nilikutana na Abuu'
yeye: 'huh..Abuu ndo nani tena huyo'
wewe:'hmm honey na wewe mbona msahaulifu hivo....Abuu si yule ex wangu nilikwambiaga wakati ule'
yeye: 'ulinambia lini mimi?'
wewe:'honey umesahau tu lakini nilikwambiaga siku ile tumeenda kwenye send-off ya Habiba'
 
Endapo wapenzi wa zamani wakipanga kukutana, kwa sababu yoyote ile...basi hapo kuna mambo. Kama ni genuine, NI LAZIMA kumweleza mpenzi wako wa sasa na pia kumwomba ushauri na radhaa. Ila watu wakiamua kukutana kwa appointment zao za siri...kwangu hiyo ni cheating!

Ila wapenzi kuelezana petty issue sometime inaweza kutafsiriwa kuwa mtu anajijenga kinga mapema ili siku yakimpata asikose pa kuchoropokea..!

Honestly, sihitaji kuambia mapocho pocho yote hayo na mie sina muda wa kueleza.. simply because hayana tija na yanaweza kuanzisha series za matukio ambayo siyo ya lazima.

ha haaaaa, nimeipenda hiyo "honey guess what?"
unafikiri baada ya hiyo stori atajisikiaje? au ndo kumwongezea mwenzio maswali ya nyongeza.... kwa nini kaniambia? kuna ajenda gani ya siri? mbona wengine anaokutana nao haniambii?
 
That's too much and unnecessary confession....

Cost yake ni kubwa kuliko kukaa kimya...

Babu DC!!
 
Kweli Kaunga, huo uongo anaoongelea FP hauna tija kabisa....

Ila nilishasema kwamba, uongo mtakatifu au kutosema baadhi ya mambo ni vitu vya muhimu na haviepukiki katika mahusiano.

Mfano, kwa nini umweleze mpenzi wako kwamba umekutana na ex-BF/GF mahali wakati unajua itamuumiza?

Kwa nini umweleze kuwa utapita kwa rafiki yako John/Amina wakati unajua hampendi?

Babu DC!!

Mhhhh......mmmhhh.....
 
ha haaaaa, nimeipenda hiyo "honey guess what?"
unafikiri baada ya hiyo stori atajisikiaje? au ndo kumwongezea mwenzio maswali ya nyongeza.... kwa nini kaniambia? kuna ajenda gani ya siri? mbona wengine anaokutana nao haniambii?

Ndo maana yake.
 
Endapo wapenzi wa zamani wakipanga kukutana, kwa sababu yoyote ile...basi hapo kuna mambo. Kama ni genuine, NI LAZIMA kumweleza mpenzi wako wa sasa na pia kumwomba ushauri na radhaa. Ila watu wakiamua kukutana kwa appointment zao za siri...kwangu hiyo ni cheating!

Ila wapenzi kuelezana petty issue sometime inaweza kutafsiriwa kuwa mtu anajijenga kinga mapema ili siku yakimpata asikose pa kuchoropokea..!

Honestly, sihitaji kuambia mapocho pocho yote hayo na mie sina muda wa kueleza.. simply because hayana tija na yanaweza kuanzisha series za matukio ambayo siyo ya lazima.

Babu DC!!
ndo maana nikasema kuwa kama mmepanga kukutana basi mpenzi anatakiwa kuniambia kabla hawajaenda kukutana na siyo baada, kuniambia baada ya kukutana nachukulia ni uongo mwingine, ulishadanganya, kwa nini unidanganye?
ila kama walibambana tu hata asiponiambia haijalishi
 
ha haaa, umenikumbusha wakati nasoma primary huko Mtakuja Primary school, kuna rafiki yangu wao kwao wakikosa wanapewa adhabu ya kuuza duka, lol! sisi kwetu ilikuwa fimbo/kwenda kukata kuni/kuchota maji/kufunga mbuzi.... wao kuuza duka.......hii dunia hii....
Hii dunia haina usawa kabisa lkn unajua adhabu ya kuuza duka ni kubwa sana bora hata kwenda kukata kuni . Huko kwenye kuni bado utacheza na utafurahia adhabu hiyo. Mtakimbizana huko na kupanda kwenye miti. Nimekata sana kuni mimi na kumwagilia bustani ya nyanya. Nakumbuka sisi ilikua ukikosea unapata kipondo tu au kufinywa mashavu na kuvutwa masikio na kupigwa kibao cha kelb lol.
 
ha haaa, nimekupata saaana mdogo wangu, hapo sasa.....
hebu fikiria sasa hapo shostito kama huyo utamweka katika kundi gani? anafaa au ndo wa kumwaga tu!
hivi cacico bado ananyonyesha? kawa adimu sana siku hizi mitaa hii
wangu mzima lakini? mapacha wakubwa sanaaaaaaa sasa! namnyonyesha baba yao tu! naomba kuchangia kama ifuatavyo!

kuna watu WAONGOOOOOOOOO, YAANI ANAKUDANGANYA LIVE MPAKA UNASHTUKA! Mtu anadiriki kusema aliolewa bikra wakati woteeeeeeeee tunajua ana mtoto mkubwaaaaa wa nje ya ndoa! labda alimaanisha bikra ya ukuta wa nyuma! kwi kiw kiw kwi, huo ni mfano tu! kuna watu kwa kifupi wana masters ya uongo, sasa wanafanya PHD zao!
 
ndo maana nikasema kuwa kama mmepanga kukutana basi mpenzi anatakiwa kuniambia kabla hawajaenda kukutana na siyo baada, kuniambia baada ya kukutana nachukulia ni uongo mwingine, ulishadanganya, kwa nini unidanganye?
ila kama walibambana tu hata asiponiambia haijalishi

Labda naomba niweke hii declaration hapa....

KWA BABU, BIASHARA NA MA-EX NI ZAIDI YA MIIKO YOTE...!!

Naweza kusikia jambo jingine lolote lakini siyo hadithi zao hao watu....hata mimi siwezi hata kwa dawa kumweza bibi habari za hao wadudu....Ingawa wapo na wakati mwingine wanasumbua sana...

Mood ya mtu kitu cha muhimu sana kwangu na kwa hiyo, hakuna sababu ya kumtibua mtu kama hakuna ulazima....

Babu DC!!
 
ha haaaaa, nimeipenda hiyo "honey guess what?"
unafikiri baada ya hiyo stori atajisikiaje? au ndo kumwongezea mwenzio maswali ya nyongeza.... kwa nini kaniambia? kuna ajenda gani ya siri? mbona wengine anaokutana nao haniambii?
Unajua mimi huwa nashindwa kuelewa inakuaje mwanaume kukuambia juu ya ex wake anaona sawa ie kama vile amekutana nae leo ofisi flani na anakuambia hata maendeleo ya huyo ex wake na mama unaona hakuna shida. Lkn wewe ukimwambia leo nimekutana na ex wangu mahala flani na pia kumwambia maendeleo yake , mwanaume anajisikia vibaya ni kwanini.
 
leo nakoroma kama gari lilikata muffler.
iyo kesho kutwa nafikiri watu wataweka pamba maskion mweeeh!

hapa niko rehasal nanguruma hadi mtu kaniambia inabidi ujifayie utafiti hiyo sauti yako nimecheka ile mbaya.
mi nipe venue tu at least nije nipige picha hata na mabody guard! khaaaaaaaaa! upo mwakwetu!
 
wangu mzima lakini? mapacha wakubwa sanaaaaaaa sasa! namnyonyesha baba yao tu! naomba kuchangia kama ifuatavyo!

kuna watu WAONGOOOOOOOOO, YAANI ANAKUDANGANYA LIVE MPAKA UNASHTUKA! Mtu anadiriki kusema aliolewa bikra wakati woteeeeeeeee tunajua ana mtoto mkubwaaaaa wa nje ya ndoa! labda alimaanisha bikra ya ukuta wa nyuma! kwi kiw kiw kwi, huo ni mfano tu! kuna watu kwa kifupi wana masters ya uongo, sasa wanafanya PHD zao!

Hao achana nao, ingawa wanaboa kwani wanaongea uongo kwenye vitu ambavyo hata mhusika hana maslahi navyo!!

Linalogomba ni pale ambapo mtu anajaribu kusema uongo ambao hata hauna tija...

Mfano unataka kwenda kuonana na shoga yako FP pale Kinondoni kwa akina G (ambaye pia ni shoga yenu) na hakuna mpango wowote wa maangamizi...badaya ya kumweza baba mapacha ukweli unamwambia kuwa una safari ya ghafla kwenda kumwona ndugu yako mgonjwa Temeke hospitali...

Huo si upuuzi kweli?

Kwa watu unpredictable kama mie, naweza kukupa offer ya sympathy na kuamua twende wote kumwona mgonjwa..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom